ruzuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tumechezwa shere! Ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta ni changa la macho

    EWURA imetangaza bei mpya za mafuta Tanzania kwa mwezi July. Ni bei kikomo na bei elekezi.. Maumivu ni kwamba mafuta yamepanda tena bei, kwa hiyo vilio zaidi vinakuja. Hapa kuna kitu cha kushangaza mno kuhusu serikali yetu, na watu inaowaamini katika kutoa maamuzi...Hivi kuna haja gani ya kutoa...
  2. Vijana waliopo Tanzania wanashangilia ubabe wa Putin

    Kijana mmeba box nikipata nafasi ya kupumzika huwa napitia sana mitandaoni si unajua huku hauli bila kazi, kilichonishangaza ni update za Vijana waliopo Tanzania wakishangilia ubabe wa Putin na story kuhusu uharibifu wa Putini. Nikajiuliza Vijana hawa wanafahamu balaa lililopo mbele Yao hawa...
  3. Serikali kutoa ruzuku ya mbolea shilingi Bilioni 150

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa saba wa Bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika mengi aliyoyazungumzia mimi nimefurashishwa na kitendo cha...
  4. D

    Kati ya Mkulima na CCM nani anastahili ruzuku?

    Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati ruzuku ya pembejeo. Kati ya mkulima na vyama vya siasa nani anastahili ruzuku?
  5. Vita Ukraine itaisha na zile billion za ruzuku kwenye mafuta hatutaona manufaa yake.

    Salama wandugu,si ajabu zile billion zilizotolewa kwa ajiri ya kupunguza Bei za mafuta tusione manufaa yake tutashangaa Vita Ukraine imeisha na Bei ya mafuta ipo palepale na billions zetu zimetumika na wajanja nimeamua kuja hapa baada ya kuona Hali ni tete kwenye usafiri wa umma wameanza mwendo...
  6. Swali: Ruzuku ya 100B iliyotolewa ni kwa mafuta yote? ama ni kwa petroli na dizeli tu? na je kwa miezi mingapi?

    Habari wakuu kuna hesabu za mafuta nafanya hapa ili nije na hesabu Kamili hapa jukwaani. Ila kuna mahali nahitaji data kamili kupitia swali hili. Swali: Ruzuku ya 100B iliyotolewa ni kwa mafuta yote? ama ni kwa petroli na dizeli tu? na je kwa miezi mingapi? Mwenye majibu, tusaidie.
  7. Ukokotoaji wa bei ya petroli kwa mwezi June baada ya ruzuku ya Sh 100 billion huu hapa: Bei inapaswa kupungua kwa zaidi ya asilimia 60%

    (i) 1 barrel = 159 litres (ii) Tanzania average daily petrol/ diesel consumption per day is 18,000 barrels. (iii) The CIF price in April 2022 was TZS 2,100/ per litre as we've been told by the minister of energy during this budget national assembly. This is the average cif price of the private...
  8. S

    Rais Samia kwa sasa utakapoweka ruzuku kwenye bei ya mafuta utakuwa umewapa zawadi wafanyabiashara, sio kuwapunguzia Watanzania makali ya maisha

    Kutokana na hali kali za maisha zinazotokana na kupanda kwa bei ya mafuta, juzi hapa mama Samia aliondoa tozo ya Shs 100 kwenye bei ya mafuta, na baada ya Bunge kuitaka serikali kuchukua hatua zaidi kutoa nafuu ya bei ya mafuta, Mama Samia alimuagiza January Makamba kutangaza ruzuku ya shilingi...
  9. Chadema wasipewe fedha za ruzuku zilizotokana na ubunge wa Mdee na wenzake

    Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge. Huwezi kula usichopanda. Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
  10. Ruzuku ya serikali ya bilioni mia moja kwenye mafuta ni kituko katika kupunguza bei ya mafuta

    Hakika serikali inacheza na akili zetu ni afadhali ingekaa kimya kuliko kutoa matumaini ya unafuu wa maisha ambao haupo. Ni ukweli uliowazi kuwa serikali imehusika kwa kiasi kikubwa kupanda kwa gharama za maisha kwa sababu ingewezekana kabisa serikali kuchukua hatua za kuzuia kupanda kwa bei za...
  11. Nafikiri CHADEMA wana kila haki na ruzuku inayotokana na wabunge wao 19

    Wabunge wale wa viti maalumu hawajatokana na juhudi zao wenyewe. Wametokana na kura alizopata Tundu Lissu. Na kura hizo ni nguvu na jasho la CHADEMA. Haita ingia akilini kwa wabunge wale kufikiri kwamba wanaisaidia CDM ikipata ruzuku kupitia ubunge wao. Ruzuku hiyo ni haki halali ya CHADEMA...
  12. W

    Mjadala: Je, ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta itapunguza bei ya mafuta kwa kiasi gani? "Jambo letu hatarini"

    Ndugu zangu, Leo siku ya jumanne tarehe 10.05.2022 Ndugu Januari Makamba, Waziri wa Nishati akiwa bungeni ametangaza uamuzi wa serikali kutoa ruzuku ya takribani bilioni 100 za kitanzania. Nikirejea uamuzi wa Waziri Makamba miezi michache iliyopita wa kuondoa tozo ya shilingi 100 kwenye mafuta...
  13. Viwanda vya Pombe vipewe Ruzuku!

    Ikiwa vyama vya Siasa vinapewa Ruzuku. Iweje sekta inayoingiza Kodi kwa wingi hawapewi Ruzuku toka mfuko mkuu wa Taifa? Tatizo ni Nini? Tumechelewa sana!
  14. W

    Je, CHADEMA wataendelea kugomea ruzuku?

    Waungwana, Uongozi wa Chadema chini ya Mbowe ulitangazia watanzania uamuzi wa kususia ruzuku hadi pale kutakapokuwa na "tume huru ya uchaguzi" na katiba mpya. Hadi sasa mambo yako vilevile na hakuna dalili ya mabadiliko. Je, Mbowe ataendelea kugomea ruzuku hata baada ya kutoka jela?
  15. ACT Wazalendo michango ya nini wakati mna ruzuku na mnaunda Serikali?

    Mkutano Mkuu @ACTwazalendo ⁃Kuchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa ⁃Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama ⁃Kuzindua Mfumo wa kisasa wa uandikishaji Wanachama ⁃Kuzindua Mkakati mpya wa Siasa ili kuimarisha Demokrasia TUNAOMBA MCHANGO WAKO KUFANIKISHA MKUTANO WETU https://t.co/8e1AA2HLEz
  16. M

    ATCL yatakiwa irejeshe Serikalini Tsh bilioni 896 ilizopewa kama ruzuku bila kufuata utaratibu

    Tanzania (TC, Dar es Salaam) will have to repay TZS896 billion shillings (USD388.8 million) illegally received from government coffers without prior approval from the country’s Ministry of Finance and Planning, according to the Parliamentary Accounts Committee (PAC). Committee Vice-Chairman...
  17. J

    CHADEMA kweli haipokei ruzuku kutoka Serikalini?

    Naomba Msajili wa vyama vya siasa mh Jaji Mutungi atupe taarifa rasmi kama Chadema wamegoma kuchukua ruzuku. Pili, jaji Mutungi atujuze kama CHADEMA hawachukui ruzuku hakuna sheria yoyote wanayovunja kwa kuendelea kuwachangisha wanachama ilhali ruzuku ipo lakini wanaikataa? Tatu, je ni halali...
  18. Uombaji wa Ruzuku Pasi na Kutangazwa Wito wa Uwasilishaji wa Michanganuo ya Miradi (Proactive Grant seeking)

    Kuna aina mbili za uombaji wa fedha ama ruzuku kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi; aina ya kwanza ni kuomba ruzuku baada ya kutangazwa wito wa kuwasilisha michanganuo ya miradi (hii tunaita "Reactive Grant seeking") aina ya pili ni uombaji wa ruzuku pasina kutangazwa wito wa uwasilishaji wa...
  19. Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

    Friends and Enemies, Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti? Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya...
  20. Fahamu Kuhusu Ruzuku (Grant)

    Ruzuku ni kiasi cha fedha kinachotolewa na mashirika binafsi ya hisani (charitable giving foundation), mashirika ya ya umma ya hisani (public charity) au wakala/Taasisi za serikali (government agencies/insitutions) kwa asasi za kiraia (Civil Society Organizations) ili kuziwezesha kutekeleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…