rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Safari ya Makamba Wizara ya Nishati, Rushwa, Kuachia ngazi na Mengineyo toka 2010

    Alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, January Makamba alipata nafasi ya kuhudumu katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati nyeti ya Nishati na Madini ikiwa ni Wiki chache tu tangu kuingia kwake bungeni. Ilikuwaje akaaminiwa katika nafasi hiyo? Na nini kilipelekea kamati hiyo kuvunjwa...
  2. Lyatonga Mrema ni shujaa wa taifa. Alifanya kazi kubwa kudhibiti misingi ya rushwa

    Ndio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani. Sisi wanaCHADEMA huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja wa watanzania wazalendo ambao walitumika kwa moyo mkuu. My take; Tunafanya kosa kubwa kumuona Mrema...
  3. N

    Humphrey Polepole adaiwa na Mwana-CCM kushiriki kuhujumu Katiba ili Samia asiwe Rais

    Hii ni kwamujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya Chama kwamba ndugu yetu mzee wa darasa la uongozi na genge lake walijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, waliratibu mbinu zote ili Samia asiwe Rais lakini wakashindwa, kwa hali hii natamka rasmi kwamba sisi vijana wa CCM hatumtaki Polepole kwenye chama...
  4. Maajabu ya Tanzania

    Ni Tanzania pekee ambayo watu wake ni wavivu wa kufikiri na kuwaza, nchi ambayo watu wake wanachagua kiongozi kwa sababu wamehongwa kilo moja ya chumvi halafu wamiwa hawana uhakika wa kupata hela ya mboga na ugali. Nchi ambayo watu wake wanapenda sana uongo kuliko ukweli. Ni nchi ambayo watu...
  5. Walimu kuajiriwa na TSC badala ya Wizara kunaenda kutengeneza rushwa, undugu na kujuana kwenye ajira. Rais litazame hili linaenda kukuharibia

    Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi. Japo utaratibu wa kuomba hizo ajira bado haujafahamika lakini nadhani maombi yatakuwa yanatumwa moja...
  6. Chuo cha Sokoine/Mzumbe mnaacha division 1&2 mnapokea division gani? Ama kuna kifurushi kinatakiwa?

    Yaani haya mambo yamebadilika sana jamani aisee yaani leo hii div 1&2 wanaachwa. Je, mnachukua 3&4? Kama kuna malipo watoto waingie semeni please. Watoto wanafaulu wana aaply yanatoka majibu mnawaambia wa apply upya aisee mnatupeleka wapi?
  7. TAMWA: Ukimya kuhusu masuala ya rushwa ya ngono unapaswa kuvunjwa

    Mila na desturi zimetufundisha ya kwamba masuala ya rushwa ya ngono hayazungumzwi, hivyo tuvunje ukimya kuanzia ndani ya vyombo vya habari mpaka katika jamii yetu kwa kuwa tunajua tatizo lipo tulifanyie kazi liweze kumalizika" Dk Rose Reuben: Mkurugenzi Mtendaji - TAMWA Takwimu za Ofisi ya...
  8. Video: Ni Askari hawa mnaotaka tuwaonee huruma?

    Hawa wanaofanya hivi kwa Raia? Inaumiza sana. Watanzania wameshachoka sana na haya mambo. Mimi nawaambia tunakoenda ni kubaya sana.
  9. Maslahi, mishahara duni kwa Polisi chanzo cha rushwa na dhuluma

    Wasalaam. Nimefanya utafiti mdogo kujua kwanini police wanakula rushwa na kudhulumu raia nikagundua ni mishahara duni wanayolipwa na serikali sikivu ya ccm. Police walishaua wafanyabiasha wa madini kutoka mahenge na kuwadhulumu pesa na madini kisha kutangaza wameua majambazi. Dhuluma na uonevu...
  10. K

    Kati ya Rushwa hizi mbili, Rushwa ipi ni mbaya zaidi

    1) Mtu ana Mali yake mbovu, na anajua kwamba ni mbovu, anahonga ili itoke haraka. 2) Mtu ana Mali yake safi kabisa, na anajua kwamba ni safi kabisa, anahonga ili itoke haraka.
  11. Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

    kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi...
  12. Nchi imeanza kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu, bila rushwa TANESCO hawafungi umeme

    Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo. Mfano Mzuri ni shirika letu la Tanesco Maeneo Mengi watu wanalalamika, likiwemo eneo letu...
  13. SoC01 Jamii ya wala rushwa ndio inatengeneza viongozi wala rushwa

    Rushwa. Kila mmoja anapozungumza huona huonekana kama kitu kilichopo mbali sana naye. Mara nyingi inapozungumzwa rushwa inawahusu vigogo au watu walio na nyadhifa katika taasisi mbalimbali. Inawezekana kuwa sahihi lakini ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wanajamii ndio wanaotengeneza viongozi...
  14. Achukua rushwa ili Mwanafunzi asiende Shule

    DODOMA - JULAI 19, 2021 TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI ACHUKUA RUSHWA ILI MWANAFUNZI ASIENDE SHULE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma leo Julai 19, 2021 inatarajia kumfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma Bw. Maliselo Kapampa Saveli (29) na...
  15. Chato: Wauguzi wahamishwa kituo madai kuomba wagonjwa rushwa 90,000/-

    WAUGUZI wawili wa Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato mkoa wa Geita, wamehamishwa, kwa kutuhumiwa kuomba Sh. 90,000 kwa wagonjwa waliokuwa wamelazwa. Wanadaiwa kuomba fedha hizo kwa wagonjwa ili kuitumia kama nauli kwenda kufuata damu katika vituo vingine vya afya kutokana na kituo...
  16. Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
  17. I

    Rais wa zamani wa Mauritania ahukumiwa kwenda jela kwa rushwa

    Rais wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, amehukumiwa kifungo cha jela na jaji anayehusika na uchunguzi wa rushwa. Rais huyo alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani katika siku za nyuma. Aziz ambaye aliongoza taifa hilo la kaskazini magharibi ya Afrika kuanzia mwaka 2008 mpaka 2019...
  18. Katibu Baraza la Kata jela miaka mitatu kwa rushwa

    Mahakama ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imemhukumu Katibu wa Baraza la Kata ya Binza wilayani humo, Daud Willison Elias kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh 500,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuomba rushwa ya Sh 50,000. Hukumu hiyo ilitolewa Jana na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...
  19. Rushwa ni halali Tanzania? Askari wa barabarani wanachukua rushwa bila kificho wala hofu

    Habari wanakamati? Naomba kuuliza kaswali kadogo tu. Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa kwa bodaboda, watu wa bajaji na daladala kweupe. Ukitaka kuhakikisha haya panda daladala ujionee...
  20. TBS bila rushwa gari lako halitoki bandarini

    Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…