rostam

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Rostam Aziz awasili Monduli kumuaga Lowassa

    Mfanyabishara, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kushiriki shughuli za kuaga mwili wa Lowassa zinazoendelea nyumbani kwake leo Ijumaa.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wameamua kumpuuza Makonda?

    Chadema wameamua kumpuuza Makonda. Hakuna kiongozi wa CDM anayeangaika na maelekezo yake. Matokeo yake hata mazungumzo yake na vyombo vya habari hayana comments wala hakuna aliyeyapa attention . Je hii ni style mpya yakutoshirikiana naye wala kumpa mada zakupambana nazo? Tumemsikia leo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka maneno ya Rostam Azizi kuhusu " Mapilato" wa Bongo kupigiwa simu za maelekezo

    Huyu Bwana licha ya kukabiliwa na tuhuma nyingi za ufisadi, kitu pekee tunachoweza kumshukuru ni kauli yake juu ya Mapillato wa Bongo kupigiwa simu na kupewa maelekezo watoe judgement za ain gani. Hakika aliongea ukweli na atakumbukwa sana kwa kauli yake hii na tutakuwa tunaifanyia rejea kila...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali tuambieni je, huyu Rostam ndiyo Gupta wa Tanzania kwa sasa?

    Anaweza akawa wala masikini ya Mungu hana baya kwa Rasilimali za Tanzania, za Watanzania na siyo Fisadi au Opportunist na hajamweka Mtu Mfukoni mwake ila kwakuwa Siku hizi anaonekana kila mara ( utadhani Wachezaji wa Kiungo wa Yanga SC akina Max Zengeli na Pakome Zouzou ) si vibaya Watanzania (...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila wanapokwenda viongozi wakuu wa nchi Rostam anatangulia kufika?

    Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi? Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Rostam abonga na Hichilema kuzalisha umeme nchini Zambia. Pia aangazia usambazaji wa gesi

    Rostam Aziz amekutana na Rais wa Zambia, Haikande Hichilema mjini Lusaka na wamejadiliana kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya nishati na madini. Taifa group kupitia kampuni yake tanzu ya Taifa Gas tayari imeingia ubia na kampuni ya Delta Marimba ya Zambia kuzalisha megawat 100 kwa kutumia gesi...
  7. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Jaji Mkuu: Je, ni haki kwa kina Rostam Aziz kutozwa faini badala ya kifungo lakini kina Mbarikiwa kupewa kifungo badala ya faini?

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Mheshimiwa Jaji Mkuu, Tarehe 29 Septemba 2023, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mbeya, Paul Ntumo, alimhukumu kifungo cha miaka mitatu na nusu, Mchungaji Mbarikiwa Dickson Mwakipesile (39), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kupinga uwekezaji wa DP; Mahakama sasa ithibitishe yale maneno ya Rostam yalikuwa ya ukweli au uongo!

    Mwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo! Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza! Pamoja na Rostam kuombwa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rostam kulinunua Raia Mwema na kumkabidhi Saed Kubenea limekosa mvuto

    Baada ya Rostam kulinunua Raia Mwema na kumkabidhi SAID Kubenea limekosa mvuto. Rostam anapenda sana kununua magazeti critical. Gazeti limekosa mvuto; kila siku kuwashambulia CHADEMA na Magufuli; Tunajua kubenea anachuki na chadema baada ya kukimbilia ACT Wazalendo.
  10. The Boss

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rostam hajifunzi?

    Why huyu Rostam hajifunzi? Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?... Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana na wala siko hapa kusema Rostam ni fisadi sana. Hapa mjadala sio usafi au ufisadi...hapa mjadala ni kwanini...
  11. R

    JamiiForums Tanzania MO na GSM wako kimya suala bandari Rostam amewawakilisha

    Kuna mjadala nimeukuta mahali watu wanahoji kwanini Mfanyabiashara Maarufu Mohamed Dewji maarufu MO na Mfanyabashiara Maarufu Gharib Mohamed Maarufu GSM ambao ndiyo wadau wakubwa wa bandari kuingiza mizigo nchini kwamba mbona hawajasema chochote kuhusu mjadala wa DP Wold kuhusu Bandari. Mimi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz awaomba radhi majaji, asema ULIMI ULITELEZA

    Rostam Aziz ameomba radhi kwa majaji akisema ulimi uliteleza na hakumaanisha ambacho alikisema kuhusu majaji kuhongwa. Nadhani amefanya jambo la kiungwana sana. === Leo Jumanne July 4, 2023 mfanyabiashara mashuhuri nchini, Rostam Aziz ameongea na vyombo vya habari, pamoja na mambo mengine...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ameiweka serikali ya Tanzania mfukoni? Kwanini hakemewi kwa kuleta nadharia ya chuki na kudharau hadharani mhimili muhimu wa nchi?

    Kwa nafasi yake katika jamii kama kiongozi mwandamizi mstaafu wa CCM na pia mfanyabiashara mkubwa mwenye ushawishi bila shaka Rostam Aziz anatakiwa awe makini sana na kauli zake kwenye public kwa sababu tulio wengi tunayapa uzito unaostahili maneno yoyote atakayosema. Kwenye mkutano wa kujadili...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz alifanya makubaliano haya tuache uzushi!

    Tycoon Rostam Azizi, just two weeks after trending on social media after becoming the new owner of Tigo and Zantel, has again surfaced across social media after being spotted in President Samia’s delegation to the United States of America. Many people online seemed unclear about Rostam’s...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Hakuna mwekezaji atakubali kuwekeza halafu umwambie aende Mahakama ya Kisutu ambapo Majaji wanaweza kupigiwa simu na watu wa Serikali

    "Kwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu, Kisutu ambapo mtu yeyote wa Serikali anaweza kumpigia simu jaji akamwambia huyo usimpe hukumu hiyo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nini kauli ya Mahakama kama Muhimili kwa kauli ya Rostam Aziz kuidhalilisha mahakama ya Kisutu?

    Rostom Aziz amesema hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya. Na kwamba mahakama zetu hazina uwezo wa kusikiliza kesi za kimataifa hivyo lazima tuzipeleke huko nje. Je, kauli hizi...
  17. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Rostam sitamsahau kwa hili Akichokozwa Unakuwa Ugomvi wa Nchi nzima...

  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya hizi kauli za Tundu Lissu na Rostam Aziz juu ya Hayati Magufuli?

    Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM. 1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii. 2. Rostam Aziz yeye...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

    Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa. Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa. --- Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
Back
Top Bottom