Bilionea wa Tanzania, Rostam Aziz amepiga kizuizi cha kisheria nchini Kenya, ambapo mahakama imekataa kuondoa amri ya kufungia kiwanda chake cha gesi ya petroli iliyoyeyushwa yenye thamani ya Sh16 bilioni (dola milioni 103).
Uamuzi huo uliotolewa Jumanne, unaacha mradi wa Aziz wa Taifa Gas...
Wakuu baada ya kufatilia maojiano ya The Chanzo na mwanzilishi wa Jf kuhusu kufungiwa kwa huu mtandao nikabaki na maswali mengi! Moja ya sababu iliyotajwa na TCRA ni kuhusishwa kwa RA na ununuzi wa mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kama ikiwa ni kweli au si kweli kwanini huyo jamaa asijitetee...
Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma!
Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k
Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu...
Upo usemi kuwa usihukumu kabla ya kusikia upande wa pili. Kwa aliyepata bahati ya kumsikia Polepole kuhusu sakata Rostam kujinyakulia mgodi wa makaa ya mawe na ule wa almas atakubaliana na mimi kuwa maelezo ya Rostam kujibu tuhuma hizo, hata kama humpendi vipi, yamezififisha sana hoja hizo...
Jana majira ya mchana ziliibuka habari za kuvamiwa kwa Ofisi za JF Mikocheni.
Inasemekana wavamizi walikuwa wanamtafuta Ndg Melo.
Usiku wa Jana hiyo hiyo Mfanyabiashara mashuhuri Rostam Aziz alionekana akitolea maelezo baadhi ya mambo anayotajwa kuhusika nayo kwenye biashara zake na pia kundi...
Habari za Sabato!
Nimemsikia Rostam kwa umakini, amejieleza vizuri sana na yapo mambo kupitia Press yake yameniongezea kitu hasa katika utafutaji na biashara.
Kuhusu tuhuma zake, zote alizoulizwa amejibu kiufasaha kabisa na maelezo yake yamenyook na yenye kueleweka.
Tatizo nililoliona lipo kwa...
Kama una cha kujifunza utajifuna na kufanya reformation. Hakuna anayejadili ulichokiongea maana wanajua unachowafanyia watanzania na ukweli wa MUNGU unajulikana.
Linganisha na trending ya press conference za Polepole! Ina maana watu wanaona substance from his mouth!
Lakini kwa vile...
Kwenye biashara na uwekezaji skill pekee ambayo ni muhimu kuliko zote ni 'The art of deal making'
Na mtanzania pekee ambae naona anafaa kuwa rolemodel wa wengine kwenye hilo si mwingine bali ni Rostam Aziz.
Sasa wewe kijana au mzee mfanyabiashara au mwekezaji endeleza ushabiki wa kisiasa...
PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu.
Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani...
Katika mahojiano maridhawa ya Mwanahabari nguli Tido Muhando wa TBC na Mfanyabiashara "guru" Rostam Abdulrasul Aziz pamoja na kuongea mengi juu ya biashara na siasa, Watanzania tumeshauriwa kutokuuona Umasikini kama jambo la fahari au la kawaida.
Watanzania wengi imesemekana tunauona Umasikini...
Mimi nilikuwa mfanyabiashara wa kwanza kuingia bungeni, wakati huo fomu za bunge za kugombea ubunge zinabox mbili awe mkulima au mfanyakazi mimi nilikrozi zote mbili nikaandika mfanyabiashara, kwahiyo nilizua kasheshe kwenye kamati kuu ya chama wanabishana sasa huyu tunafanyaje kwa sababu si...
Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais lazima kuwe na mtandao. Huwezi kushinda uchaguzi kama huna mtandao labda uwe Dikteta.
Amesema mtandao...
Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo...
Naam wakuu
=========================
Mfanya biashara na mwanasiasa maarufu ndugu Rostam Aziz anahojiwa katika kipindi kinachoruka muda huu kupitia channel ya UTV Azam Tv, lakini kipindi sio live, mahojiano yanaendeshwa na nguli wa habari nchini, Tido Mhando...
Hizi stories za michongo ya Rostam toka zilivyo anza kupata umaarufu mkubwa zaidi miaka ya 2000s nchini Tanzania zinanikumbusha jambo moja kumuhusu Jack Ma.
Jack Ma tajiri mmoja hivi toka alikuwa maarufu sana na kama unavyojua umaarufu unatabia ya kulevya ukichanganya na pesa, pesa ni kila kitu...
Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.
Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na...
Nimeangalia clip moja ya kichekesho, bwana mmoja kaja na briefcase ina mahela kamkuta jamaa na mke wake. Kaanza kutoa mabulungutu ya hela akampa jamaa ili ammwachei mke wake. Jamaa akagoma lakini kadri mabulungutu yalivyoongezwa ndivyo jamaa akalegea na kuyachaukua mabulungutu hayo then...
1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali.
Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa kuleta kampeni ya matumizi ya nisshati safi, uku mitungi ikisambazwa bule kwa bibi na mamako...
Hili ndilo Swali wanalojiuliza watu wote Duniani.
Awali liliwekwa Tangazo hili hapa
Alipotangaza jambo hilo alijiamini nini na sasa kakimbia nini? Au naye kaogopa Mkata Swichi?
Majibu anayo mwenyewe na wanamtandao Wenzake
02 September 2025
CHONDE CHONDE POLEPOLE ASIJIBIWE ASEMA KIGOGO WA CCM
https://m.youtube.com/watch?v=NqHXXRL3-bI
Baada ya mazungumzo ya Humphrey Polepole kuwa gumzo na kufuatiliwa kuliko kampeni za CCM kumnadi mgombea wao wa urais, Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa CCM asema Humphrey Polepole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.