Na wenye Akili tunajua kuwa huyo FISADI Mwenzako mwenye Makazi mengi Dar es Salaam achilia kule kulikotupwa Kitovu chake Bagamoyo ndiyo amekutuma uharakishe kufanya Press ili kusafisha Upepo, ila jua ya kwamba umeshachelewa na kilichobakia sasa Wewe subiria tu Watanzania waungane na Wakushtakie...
Rostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii.
Inawezekana siku moja tukamuona akitaka kuingia magogoni ofisi namba moja kabisa kufanisha ndoto zake za Tanzania...
Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.
Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la...
Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli...
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6...
Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao?
Yaani Rais mzima unaruhusu mtu mwenye bandari kavu kukupa pesa halafu TRA watamdai vipi kodi???
Mama na Kikwete bila watanzania kuamka
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.
Jamaa akainunua Petra...
Muda wowote kuanzia sasa kupitia akaunti yao ya youtube kundi la ROSTAM wataachia wimbo wao uitwao “Abdul” ukiwa na dakika 7 zilizoshiba.
Kaa mkao wa kula
Sisi waswahili husema, baniani mbaya, kiatu chake dawa. Hata kama hukubaliani na uanachama wa Polepole CCM, haya anayoyasema kukuhusu yana athari za moja kwa moja kwa CCM. Watanzania tunahitaji kujua maelezo yako kwenye hili.
Itakumbukwa marehemu mzee Reginald Mengi, alikutaja ww kuwa fisadi...
Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana.
Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa...
Nitakuwa branded kama mbaguzi, lakini ngoja ukweli usemwe.
Polepole jana katuweka mguu sawa!
Reject Rostam na washenzi wenzake! Tusikubali kutwaliwa na Rostam. Huyu ni Mkoloni, ngozi nyeupe kama Waingereza, wajerumani and the like!
Hawa kawaida yao wana uraia wa nchi nyingi..notablt Canada...
Rostam ni muhindi kama walivyo wengine
Ni miongoni mwa magenge ya wahuni walioingia kwenye siasa
Ni miongoni mwa wanasiasa wapiga dili
Najiuliza serikali ya ccm iliyoshindwa kuendesha mradi wa MWENDO Kasi wangeweza kuendesha Mgodi, ni mradi Gani uliwai simamiwa na serikali ujafanikiwa...
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama...
The Ngaka Coal Mine /Tundu Lissu's Arrest
The Ngaka Coal Mine, located in Mbinga District, Ruvuma Region, is the same mine that opposition leader Tundu Lissu was speaking about shortly before his arrest.
In 2011, the Government of Tanzania entered into a Public–Private Partnership (PPP) with...
Niliwahi Wauliza , Haya Matendo yenu ambayo ndio njia mloichagua , Hayatawahukumu huko mbele Kwa namna ambavyo mmezalisha MAISHA YA KISASI Kwa Manufaa yenu tu ?.
Uongozi na Mali, huja na kuondoka, ni vitu ambavyo kufumba na kufumbua unavyo au vinapotea .
Watanzania yamewafundisha nani hasa...
Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam.
JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile...
NARUDIA ukimnya wa Zitto na wenzake dhidi ya kauli za Zitto zitafanya tumwamini pole pole dhidi ya Act kuwa TAWI la CCM aise ni aibu kubwa sana.
Kumbe ndio maana wagombea wa Act ni masalia ya CCM? Tena wale utengenezewa ngiriba dhen sisi ulagaiwa yakuwa wamekataliwa kumbe uwa ni mpango wa CCM...
Siongei sana, maneno mafupi tu. Kampuni Ya Richmond ilianzishwa na Rostam akiwa na back up ya Kikwete Raisi, Na Lowasa Waziri Mkuu.
Lowasa alitoa maelekezo makali Kwa Mkurugenzi wa TANESCO wa wakati huo, pamoja na Tenda bodi ya TANESCO ndani ya Ikulu ya Magogoni, akitoa mkwara mzito kweli, Kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.