Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ
Anamwaga pesa mno. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN.
Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la...
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Maendeleo...
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash...
Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Azizi ameahidi kutoa Sh1 bilioni kwaajili ya vitakasa mikono kwa daladala za Jiji la Dar es Salaam na Unguja katika kuunga juhudi za Serikali kukabiliana na virusi vya corona.
Rostam alitoa ahadi hiyo mbele ya Waziri Mkuu, Majaliwa Khasim Majaliwa.
Wa...
Tanzanian Tycoon Rostam Aziz Sells Last Tranche Of Vodacom Shares For $220 Million
Tajiri Kongwe nchini Tanzania Rostam Aziz, Hatimaye amemalizia Ngwe ya Mwisho ya Mauzo fungu la mwisho la Hisa zake za Vodacom Tanzania kwa kuwauzia Vodacom South Africa.
Kwa Mujibu wa report kutoka Citizen...
SAKATA la Kampuni ya Kagoda iliyokwapua sh bilioni 33 kutoka kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), mali ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), limechukua sura mpyaa baada ya ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
Ndugu wana jamii, taarifa nilizoweza kupata kutoka kwenye original source, ni kwamba Rostam Aziz na Yusuph Manji wamemtafuta Kato na mwenzake waliohusika kama chambo kufungua kampuni ya kagoda ili kuwapoza.
Ikumbukwe kuwa kwa msajili wa makampuni (BRELA,) majina yaliyotumika ni halisi lakini...
Mmiliki wa Kagoda akwama kutokea kortini
Ni katika kesi iliyofunguliwa na Manji
Kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara wa Dar es Salaam, Yusuf Manji dhidi ya kampuni tata ya Kagoda Agriculture Ltd., jana ilitajwa rasmi katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, huku mmiliki wa Kagoda...
Wakuu JF.
Nimesoma kwenye mtandao kuwa Tariki Azizi wa TZ leo angetoa tamko la Serikali Kuhusu Mengi.
Tafadhali mlioko nyumbani tupasheni habari kama kalitoa na amesema nini.
=====
Rostam Na Mengi: Serikali Yatoa Tamko
MONDAY, MAY 11, 2009
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Mh...
Wakuu,
Tuliwahi kuweka doc moja ambayo ilikuwa detailed kwa kina juu ya wahusika wote wa EPA na nahisi wengi hawakuigundua section hii. Sasa nimeonelea niziwasilishe katika mtiririko ambao hata ambao hawajajisajili wanaweza kuona wahusika hao na kujiuliza KWANINI hawajachukuliwa hatua. Au...
Hicho ndicho nilichosema nimenotice katika maelezo ya Rostam. Siyo kwamba hakuhusika, na hajawahi kukanusha hicho. Yeye anasema walichunguza na hawakuona jina lake. Vitu hivi ni viwili tofauti. Rostam hajawahi kukana kuhusika na Richmond na Dowans. Sikiliza tena majibu yake alipoulizwa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.