rostam aziz

  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Jengo la Kituo cha Polisi Oysterbay lawa gumzo Nigeria

    Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo...
  2. dubu

    JamiiForums Tanzania Marekani kuiwekea Vikwazo mirambo Kampuni ya Rostam Aziz?

    Salaam Wakuu, Inadaiwa kuwa, kampuni ya Rostam Aziz, LPG/C Mirambo, ilinunua Gesi kutoka Iran na kuleta Tanzania wakati ambapo Marekani imeiwekea Vikwazo vya Gesi ya LPG Nchi ya Iran. Inadaiwa Kampuni ya Mirambo imeingiza gesi hiyo kutoka Iran na kuingiza Zanzibar. Hivyo Benki za Tanzania...
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz amezuiwa kuuza gesi yake Kenya kwa sababu ya mazingira

    Nimekutana na hii habari kwamba Rostam Azizi amezuiwa kuuza Gesi yake Kenya kisa eti maswala ya mazingira. Wakenya kwenye figusifigusi wako vizuri sana hawa jamaa hata Dange amewavulia kofia. Wao wana enjoy sana freedom ya kufanyabiashara Tanzania lakini Kampuni za Kitanzania kule Kenya huwa...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz akunwa na Uteuzi wa Angelina Ngalula kuwa Mwenyekiti wa East African Business Council

    Katika hafla iliyoandaliwa na TANZANIA PRIVATE SECTOR FOUNDATION (TPSF), Angelina Ngalula amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa EAST AFRICA BUSINESS COUNCIL (EABC) Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali akiwemo bilionea Rostam Aziz. Akiongea wakati wa kutoa pongezi zake, Rostam Aziz alisema...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

    Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi! Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira...
  6. Fred Katulanda

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wafanyakazi New Habari waitaka Serikali imshinikize Rostam Aziz awalipe madai yao. Kuandamana nyumbani kwa Rostam na Bashe

    Wafanyakazi zaidi ya 200 waliokuwa wameajiriwa kwenye kampuni ya new habari(2006) limited inayomiliki magazeti ya Mtanzania na mengine wameiomba Serikali imshinikize mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz kuwalipa fedha zao ambazo ni mafao yao. Msemaji wa wafanyakazi hao, Arodia Peter amesema...
  7. babu M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz anunua asilimia 31.5 ya Williason Diamonds (Mwadui)

    Caspian Limited imefikia makubaliano na Kampuni ya South Africa Petra Diamonds ya kununua asilimia 31.5 ya hisa za Williamson Diamonds Limited(WDL) kwa thamani ya dola za Kimarekani million 15. Caspian Limited ambaye ni technical services contractor wa WDL wamefikia makubaliano mwishoni mwa...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Mkapa: Nilipata wazo la Bima ya Afya (NHIF) kutoka kwa Rostam Azziz

    Another way to help the poor in a direct way was the National Health Insurance Fund which offered health insurance to families. I learnt about this scheme from Rostam Azziz, a member of parliament and successful businessman. In 1996 he started a health insurance scheme for the resident of his...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuhuma za Rostam Aziz zichunguzwe. Wawekezaji walikuwa wanaikimbia Tanzania na kama tusingewapokea ungekuwa ujinga

    Jamaa anasema alitaka kuwekeza $130 million halafu akazinguliwa, kha kwa namna tunawahitaji wawekezaji na kuwabembeleza kwa kila namna hainiingii akilini huyo Mhindi alitaka kuwekeza hela yote hiyo tukamtupia nje, ichunguzwe kwenye ngazi zote. Ikumbukwe kwa kipindi cha JPM wawekezaji wengi...
  10. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Siasa za huko ni ngumu Rostam, CRDB na Dangote walishindwa

    Nimekuwa nikisikiliza watu wengi wakitoa maoni yao kuhusu ile kauli ya Uhuru. Wengi wanasema "afadhali Sasa nikafungue biashara yangu Kenya" Unajiuliza biashara gani hiyo wewe kapuku unaenda kufungua huko? Huko siasa zao ni ngumu Sana utaweza kweli ikiwa ma-tycoon wa biashara walishindwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Namna Rostam Aziz alivyotoa hoja Kenya, ni kielelezo cha utajiri bila maarifa

    Rostam Aziz ameshambuliwa na makundi mbalimbali nchini Kenya baada ya kutoa maoni yake kuhusu mfumo wa biashara wa nchi hiyo huku akieleza kutotekelezwa ahadi ya Mhe. Rais ya Kenya aliyompa miaka kadhaa yakuwekeza kwenye gesi. Rostam hajawahi kuishambulia Wala kuzungumza chochote kibaya kuhusu...
  12. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, Rostam Aziz anasahau kuwa Tanzania na Kenya ni tofauti kwani yawezekana kwa Kenya kumuona Rais na kuambiwa wekeza sio kutokufuata sheria?

    Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania (sina uhakika kama ni mlipa kodi maarufu!), Rostam Aziz amelalamika kuwa uwiano wa uwekezaji kati ya Wananzania na Wakenya sio sawa. Alienda mbali na kutoa ushahidi wa kiasi cha dollar zilizowekezwa na idadi ya makampuni Tanzania na Kenya na kinyume chake...
  13. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania US$ Billionaire Rostam Aziz scolded at protectionist Kenya

    Rostam Aziz speaks out on the difficulty of Tanzanians investing in Kenya WEDNESDAY MAY 05 2021 Mr Rostam Aziz in an interview with BusinessWeek PHOTO|SYRIACUS BUGUZI Summary Rostam was speaking at a high level business forum that was hosted by Presidents Samia Suluhu Hassan and Uhuru...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kenya: Rais Samia afungua kongamano la wafanyabiashara nchini Kenya, Rostam Aziz atema madini ukumbi mzima wamshangilia

    Rais Samia amefungua kongamanano la wafanyabiashara nchini Kenya ambalo limehusisha pia wafanyabiashara kutoka Tanzania. Rostam Aziz ametaka uwepo wa uwiano mzuri wa kibiashara kati ya Kenya na Tanzania badala ya nchi moja kuwa msambazaji wa mali ghafi na mwingine akiwa muuzaji wa finished...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

    Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses. Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, Rostam Aziz ataitikia wito wa kugombea Ubunge Morogoro Mjini?

    Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu Ubunge wa Jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara. Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz? Ikumbukwe kuwa hawa...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tusifurahie uwekezaji wa Rostam Azizi tukasahau tulivyopigwa kupiti Kagoda, Epa na Richmond

    Naona sasa viongozi wa chama dume CCM mmesahau kilichotokea mwaka 2011 ambapo CCM ilijinasibu kujivua gamba. Ccm ilijinasibu kujivua gamba kwa kuwa ilikuwa imechafuka kwa ufisadi na mafisadi wengi waliokuwa wanaliibia taifa letu walikuwa ni viongozi wa Ccm. Mmoja wa watu waliosadikiwa kuwa...
  18. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya misaada ya kukabiliana na COVID-19 anayoendelea kutoa Rostam Aziz?

    Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ Anamwaga pesa mno. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN. Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

    Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19. Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini. Maendeleo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz atoa msaada wa sh 500 milioni kukabili Covid 19 Zanzibar, makamu wa Rais Idd Seif awataka watanzania waache ukaidi

    Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash...
Back
Top Bottom