Je Ronaldo leo atauvunja mwiko?: Hajawahi kufunga goli dhidi ya Ujerumani!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,661
18,035
Ronaldo amecheza mechi 4 dhidi ya Ujerumani. Mara zote hizo hajawahi kufunga goli! Je leo atauvunja mwiko huo na kuzifumania nyavu? Ngoja tuone, yetu macho!
 
Ronaldo tayari amefanikiwa kuuvunja mwiko wa kutokuwavunga wajerumani. Tayari ametikisa nyavu!! Nawahurumia wasiompenda R7!! Porgugal 1 Ujerumani 0.
 
Portugal wamejifunga wenyewe magoli mawili na aliyejifunga magoli yote mawili ni huyohuyo!
 
Walio na updates watuwekee na sisi tulioko maeneo hatarishi tuone jinsi mjerumani anavyotaabika...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom