SoC01 Uwe na kipaji kama Messi, Kiba ama uwe na bidii kama Ronaldo au Diamond Platnumz

Stories of Change - 2021 Competition

Drop shipping Tanzania

Senior Member
Jun 15, 2020
198
472
Karibuni Sana Marafiki zangu Damdam!!

Kama hukubarikiwa kipaji huna option nyingine zaidi ya kuwa na bidii.

Ukizaliwa na kipaji, its God given, huna option nyingine zaidi ya kutumikia hiko kipaji.

Hutumii nguvu, yani effortlessly. Hutoki jasho kbs.

Mwangalie Messi, mwangalie Kiba anavyonyoosha Remix ya Songi Songi. Anagusa tu kidogo imoo😂

officialalikiba_163154088404982.jpg

Ukiwa hardworker lazima uumie. Lazima utoke jasho na damu.

Ni sawa na kuogelea upande tofauti na maji ya mto unapoelekea. Utahitaji kutumia nguvu sana.

Angalia CR7, anaenda wa kwanza mazoeani na anatoka wa mwisho.

cristiano_1631540792229788.jpg

Angalia Diamond miaka 10/11 anakaza vibaya mno.

diamondplatnumz_1631540852603318.jpg

Ukiwa na kipaji automatically huitaji reward yoyote, hakuna kitu kinakusukuma zaidi ya kutumia kipaji chako

Huitaji kutafuta ushindi, yaani ushindi unakufata effortlessly. Na hata ushindi usipokuja life goes on

Huumii, huteseki.

Mwangalie Kiba, Dinho, Messi, Rafa Nadal, Sharapova
Hardworker anavyopitia maumivu na uchungu anakuwa na mentality kuwa he/she MUST be rewarded

Kila siku unakaza bila kuchoka ukitegemea ushindi kama malipo ya bidii yako

Ushindi usipopatikana wanaumia sn

Mwangalie CR7, Davido, Chibu, Roger Federer, Serena Williams
Watu waliobarikiwa na Kipaji mara nyingi huwa hawapati mafanikio makubwa sana.

Baada ya kipaji kikichuja wanakuwa raia wa kawaida sana financially.

Tena wengine huishia kwenye situations mbaya sana kijamii na kifedha
Hardworker ni kama kala kiapo. Maumivu yote aliyopotia lazima ayalinde kwa gharama yoyote, ni kama identity yake.

Usually wanapata best deals, financially wanakuwa safi sana.

Wanafanya mambo yao professionally ili ku-maximize faida ya maumivu waliyopitia.
Hardworkers wengi kutokana na maisha waliyochagua huwa sio watu social sana

Wanapenda kujitenga kabisa na jamii ili wafanye mambo yao, wa-Practice, wapumzike nk

Solitude huwa ina tabia ya ku-develope ego. Hardworkers wengi wanakuwa na Ego sana na sio friendly kihivyo. Ni watu wa kuvimba.

Ukizaliwa na kipaji huitaji huitaji ku-Practice kitu chochote, muda wote upo tayari kutumia kipaji chako

leomessi_1631540905345510.jpg

So mara nyingi hawa watu hawajifungii, wanajichanganya na watu ili wa-maximize ku-Enjoy kipaji

Socially wanakuwa watu poa sana. Mtu kama Dinho, very welcoming & friendly
Personally naamini HARDWORK beats TALENT

Uzuri wa kipaji ni kwamba kila mtu atakupenda, tena unapendwa bila kutumia nguvu.

Sijui nani anamchukia Nadal ama Dinho. Mtu anayemchukia Messi, Maradon ama Kiba ana matatizo makubwa.

Kitu kibaya kuhusu hardworking ni huwezi kuzuia kuchukiwa

Huwa wana self entitlement, ego, socially awkward na at the same time wana mafanikio makubwa sana kifedha.

So automatically wanakuwa na haters wengi. Angalia CR7, Diamond, Pele, Federer, Serena Williams etc
Hakuna mtu anayeamua awe na talent fulani, its naturally given!

Lakini mtu yeyote anaweza kuamua kuweka bidii ktk kitu fulani.

Bidii inahitaji muda kuona matunda yake, its not instant gratification. Unahitaji miaka 10-15 kuenjoy jasho lako.

The worst of all ni pale ambapo hauna kipaji na pia hutaki kuwa na bidii katika unachokifanya.

Hii dunia itakuumiza mpaka siku unarudi mavumbini; except kama umerithi utajiri mkubwa ama umelamba bingo kubwa (bahati)

Ubaya ni kwamba huwezi kuchagua uzaliwe na wazazi wamatajiri.

Pia bahati ni ngekewa, huwezi jua kama ipo ama haipo, unaweza kujikuta unasubiria bahati ambayo haipo mpk siku ya mwisho.

Hii inawakuta sana watu wanaoamini mazingaombwe na miujiza.

Mara nyingi wanaishia kuwa na bahati mbaya wkt akisubiri bahati nzuri.

Kiufupi, suffering is inevitable. Kabla hujafa lazima uteseke kwa namna 1 au nyingine, be smart kuweza kupredict extent ya mateso ambayo upo tayari kupitia.

Mateso hayatakiwi kukukuta in a surprise.

VOTES please.
 
Kipaji bila juhudi ni bure kwa hakuna juhudi zozote anazofanya Messi au Kiba eb kuwa serious Mkuu
 
Messi and Diego maradona ni wachezaji ambao nawakubali,,,bado cjaona wakuwalinganisha. These are real talent kuwai tokea ulimwenguni

Screenshot_20210913-124556_Instagram.jpg
 
Karibuni Sana Marafiki zangu Damdam!!

Kama hukubarikiwa kipaji huna option nyingine zaidi ya kuwa na bidii.

Ukizaliwa na kipaji, its God given, huna option nyingine zaidi ya kutumikia hiko kipaji.

Hutumii nguvu, yani effortlessly. Hutoki jasho kbs.

Mwangalie Messi, mwangalie Kiba anavyonyoosha Remix ya Songi Songi. Anagusa tu kidogo imoo

Ukiwa hardworker lazima uumie. Lazima utoke jasho na damu.

Ni sawa na kuogelea upande tofauti na maji ya mto unapoelekea. Utahitaji kutumia nguvu sana.

Angalia CR7, anaenda wa kwanza mazoeani na anatoka wa mwisho.

Angalia Diamond miaka 10/11 anakaza vibaya mno.

Ukiwa na kipaji automatically huitaji reward yoyote, hakuna kitu kinakusukuma zaidi ya kutumia kipaji chako

Huitaji kutafuta ushindi, yaani ushindi unakufata effortlessly. Na hata ushindi usipokuja life goes on

Huumii, huteseki.

Mwangalie Kiba, Dinho, Messi, Rafa Nadal, Sharapova
Hardworker anavyopitia maumivu na uchungu anakuwa na mentality kuwa he/she MUST be rewarded

Kila siku unakaza bila kuchoka ukitegemea ushindi kama malipo ya bidii yako

Ushindi usipopatikana wanaumia sn

Mwangalie CR7, Davido, Chibu, Roger Federer, Serena Williams
Watu waliobarikiwa na Kipaji mara nyingi huwa hawapati mafanikio makubwa sana.

Baada ya kipaji kikichuja wanakuwa raia wa kawaida sana financially.

Tena wengine huishia kwenye situations mbaya sana kijamii na kifedha
Hardworker ni kama kala kiapo. Maumivu yote aliyopotia lazima ayalinde kwa gharama yoyote, ni kama identity yake.

Usually wanapata best deals, financially wanakuwa safi sana.

Wanafanya mambo yao professionally ili ku-maximize faida ya maumivu waliyopitia.
Hardworkers wengi kutokana na maisha waliyochagua huwa sio watu social sana

Wanapenda kujitenga kabisa na jamii ili wafanye mambo yao, wa-Practice, wapumzike nk

Solitude huwa ina tabia ya ku-develope ego. Hardworkers wengi wanakuwa na Ego sana na sio friendly kihivyo. Ni watu wa kuvimba.

Ukizaliwa na kipaji huitaji huitaji ku-Practice kitu chochote, muda wote upo tayari kutumia kipaji chako

So mara nyingi hawa watu hawajifungii, wanajichanganya na watu ili wa-maximize ku-Enjoy kipaji

Socially wanakuwa watu poa sana. Mtu kama Dinho, very welcoming & friendly
Personally naamini HARDWORK beats TALENT

Uzuri wa kipaji ni kwamba kila mtu atakupenda, tena unapendwa bila kutumia nguvu.

Sijui nani anamchukia Nadal ama Dinho. Mtu anayemchukia Messi, Maradon ama Kiba ana matatizo makubwa.

Kitu kibaya kuhusu hardworking ni huwezi kuzuia kuchukiwa

Huwa wana self entitlement, ego, socially awkward na at the same time wana mafanikio makubwa sana kifedha.

So automatically wanakuwa na haters wengi. Angalia CR7, Diamond, Pele, Federer, Serena Williams etc
Hakuna mtu anayeamua awe na talent fulani, its naturally given!

Lakini mtu yeyote anaweza kuamua kuweka bidii ktk kitu fulani.

Bidii inahitaji muda kuona matunda yake, its not instant gratification. Unahitaji miaka 10-15 kuenjoy jasho lako.

The worst of all ni pale ambapo hauna kipaji na pia hutaki kuwa na bidii katika unachokifanya.

Hii dunia itakuumiza mpaka siku unarudi mavumbini; except kama umerithi utajiri mkubwa ama umelamba bingo kubwa (bahati)

Ubaya ni kwamba huwezi kuchagua uzaliwe na wazazi wamatajiri.

Pia bahati ni ngekewa, huwezi jua kama ipo ama haipo, unaweza kujikuta unasubiria bahati ambayo haipo mpk siku ya mwisho.

Hii inawakuta sana watu wanaoamini mazingaombwe na miujiza.

Mara nyingi wanaishia kuwa na bahati mbaya wkt akisubiri bahati nzuri.

Kiufupi, suffering is inevitable. Kabla hujafa lazima uteseke kwa namna 1 au nyingine, be smart kuweza kupredict extent ya mateso ambayo upo tayari kupitia.

Mateso hayatakiwi kukukuta in a surprise.

VOTES please.
Umeandika ushuzi tu mwamba, tayari nine vote
 
Back
Top Bottom