Messi vs Ronaldo: Rekodi mechi za kimataifa-Namba hazidanganyi!

Messi kaanza mpira lini na ronaldo kaanza lin..tuanzie hapo...
Angalia hata goals per minute! Je kila mmoja anahitaji dakika ngapi ili afunge goli moja kwenye mechi za kimataifa? Hapo hoja nani kaanza mpira lini inakufa kifo cha mende! Namba hazidanganyi!

Halafu angalia tofauti ni kubwa mno!! Tukubaliane namba hazidanganyi, hakuna haja ya kusema nani zaidi, namba zenyewe zinasema bila kudanganya!
 
nakaxia hapo hapo...
shabiki weng wa cr hawajuagi kuwa cr kacheza mechi nying kuliko messi...
Na kasi ya kufunga je? Yaani minutes per goal? Je kkla mmoja anahitaji dakika ngapi aweze kufunga goli moja? Hata ukianzia kuwahesabia magoli kwa mwaka ule ambao mdogo (maana hapa hatutaji majina ni namba tu zinazungumza) alianza kuchezea timu ya wakubwa bado mmoja anazidiwa sana!! Maana kupishana kwao ni takriban miaka miwili tu.
 
Namba zimewakamata! Huwezi kubishana na namba! Ndio maana wengi wanapita hapa kimya tu!! Wachache wanaojitosa wanajikuta hawana hoja ya msingi na hawawezi kuzifanyia ubishi namba!!
Messi amebakiza kufunga magoli ya tuta na nina uhakika hafikishi goli 90 taifa. Scoring & working rate inashuka kwa kasi na mwakani atakimbilia marekani. Bado namuona cr at top level miaka 3 ijayo
 
Kwani tuzo ya Ballon d or ,inamaanisha ndiye mchezaji bora ,sasa aliyechukua nyingi kumzidi mwenzie huyo ndo bora mi staki kumjua ni nani

Nipo na neymar fundi wa mpira hapa Brazil
Neymar mzee wa game la show, hawa sio level zake..

Unanikumbusha okocha, na mbwembwe zake nyiingi, wakati mwingine anafosi kufanya vitu havina faida na timu, hii ilimcost saana huyu legend wa kinaijeria.
 
Neymar mzee wa game la show, hawa sio level zake..

Unanikumbusha okocha, na mbwembwe zake nyiingi, wakati mwingine anafosi kufanya vitu havina faida na timu, hii ilimcost saana huyu legend wa kinaijeria.
Mzee wa game la show wa muda wote ni Ronadinnho!! Wote waliowahi kucheza mpira hakuna anayejua kuuchezea mpira kama anavyotaka!! Jkitaka kuyaona maajabu yake weka bandk la nguvu halafu mtafute you tube!!
 
Back
Top Bottom