roho

Rohō Yukio (born March 9, 1980 as Soslan Feliksovich Boradzov, Russian: Сослан Феликсович Борадзов, in Vladikavkaz, Republic of North Ossetia–Alania in the Russian Federation) is a former sumo wrestler. The highest rank he achieved was komusubi. His younger brother is also a former sumo wrestler, under the name of Hakurozan. In September 2008 both were banned from the sport for life after testing positive for cannabis.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimeuza roho yangu kwa Mammon

    Hail lucifer,shemhaforash, Leo hii nimeuza roho yangu kwa pepo wa uchoyo na ubinafsi( demon of greedy( mammon ) kwa ajili ya Mali na pesa . Nilitumia kitabu cha VILE OF DARKNESS na vitabu vingine vya grimoire. Nimekula kiapo cha damu (" nitamtumikia kaskazini na kusini ,mashariki na...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tulizani ni binadamu wenzetu kumbe baadhi yao ni wanyama kiasi hiki? Sakata la Gwajima limefunua roho mbaya za watu

    Sikutarajia kabisa kuona Mwanamke asimame kushangilia utekaji na mauaji! Mwanamke halisi anaejua uchungu wa mtoto hawezi kufurahi kuona watu wakiuwawa! Hata kama kuna makosa ndiyo maana kila nchi ina sheria na mahakama! Sasa unapoona mwanamke anasimama bungeni anasema ALIYETEKWA AKOME AKOME...
  3. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Mafanikio nguvu ya Roho

    Naam mipango na matumizi pia nidhamu.....huwa thabiti pale unapokuwa huna kitu yaani kabla hujashika fedha. Lakini pindi fedha inapokuwa mkononi ile mipango yooote ile nidhamu yooote na ile listi ya matumizi uliyoipamga mwenyewe,,,wewe mwenyewe ndio unaibomoa... Hii ni namna ya utaalamu wako...
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wana roho ngumu mno

    Nimebadilisha dini ili nimuoe Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha. Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga mlango sijafunguliwa... Naona madilisha yanafunguliwa ila hakuna ishara yoyote. Nimejaribu...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Roho mbaya na ubahili Wapare walivitolea wapi?

    Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
  6. excel

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli mtoto wa mchungaji ameniletea Roho ya Kishetani sana..

    Nimeingiwa na Roho ya Tamaa sana baada ya kuona video jongeo ya mtoto wa pastor Yule si mtoto wa 2009 kabisa? Shetani pita kaa mbali nisije kwenda Jela😅😅😅
  7. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Enai Na Abes Life

    Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha. . Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
  8. Isenye

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa yangu ni mchawi au ni roho mbaya tu?

    Huyu mshikaji wangu nashindwa kumuelewa,tuko nae kwenye harakati kitambo tu ila naona ni kama kaanza kuwa na roho ya kichawi hivi. Yeye ameanza hizi harakati za kupiga paper za ajira za serikali kitambo tu na kwa maelezo yake hajawahi kufika oral hata moja. Sasa me mwaka huu nilimuambia tukaze...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Atheist wanafahamu kuwa kuna ulimwengu wa roho?

    Wanayazungumziaje matukio kama haya? 1. Uebert Angel alitabiri kuwa Trump atashinda uchaguzi wa Marekani na ikawa hivyo! 2. Uebert Angel alitabiri kuwa Papa Francis ataaga dunia Jumatatu Asubuhi na unabii wake ukatimia! 3. Uebert Angel alimtabiri mtu atakayechaguliwa kuwa Papa mpya na hilo...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO

    Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote "Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41 Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kajala ni bibi wa ovyo. P.Funky ana roho ngumu. Harmonize ushamba haujamtoka?

    Kama kuna bibi wa ovyo nchini ,Kajala yumo,anaulizwa kuwani kiungo gani kwenyemwili wake anakipenda zaidi anajibu eti makalio yake. P Funky ana roho ngumu sana,enzi za ujana wake kakimbiza sana wasanii na bastola pale studio kwake nilidhani angezeekana ukorofi,ila amekuwa mpole anaugulia...
  12. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ana roho mbaya Iseee!

  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Usiku wa leo wanaitaka roho yako!

    Usiku wa leo wanaitaka roho yako! Leo usiku roho yako itachukuliwa! Leo usiku maisha yako yatafikia mwisho, utaondoka duniani... Usishtuke wala usiogope; sio wewe! Maneno hayo aliambiwa mtu fulani tajiri. Shamba lake lilizaa sana. Akawaza moyoni mwake, ‘Nifanye nini? Sina mahali pa kuhifadhi...
  14. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Reels zinaisha lakini Roho inabaki

    Habari zenu mabingwa wa mahekalu ya ghorofa, mabepari wa Instagram, na ma celebrity wa maokoto group, Twende kazi……………! Mmejenga nyumba za kupendeza hadi ukipita sakafu inafanya screenshot. Mmeseti vibanda vya mbwa vya kisasa kuliko bedroom ya bibi yangu kijijini matemanga. Mmeweka ring light...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Amini Nawaambieni , Pamoja na Mapungufu Yake Yote ya Kibinadamu, Mtu Huyu Ana Mungu Ndani Yake!, Anaongozwa na Roho wa Mungu!. Mshuhudie Hapa!.

    Wanabodi Kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo ninavyozidi kumkubali mtu huyu, amenyooka kama reli!, hakika mtu huyu ana roho wa Mungu ndani yake!, mtu bila kuwa na roho wa Mungu, bila kuongozwa na Roho Mtakatifu, huwezi kumpa makavu live tena bila kupapasa, kwanza kumtambulisha mbunge...
  17. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kazi za barabarani roho mkononi

    Hapa nazungumzia bodaboda na Bajaj Ni wazi kuwa ajali anapanga Mungu, ila ukiwa na KAZI tajwa hapo juu basi uwezekano wa kupata ulemavu wa kudumu ni 65% Na uwezekano wa kupata kifo muda wowote ni 50% Ni aina ya KAZI ambayo inakushape kupata hela ya kula kesho, kulipa Kodi na kuvaa. Sio KAZI...
  18. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Roho mbaya na ubinafsi sumu inayotumaliza

    Roho mbaya, ubinafsi ni sumu tunayoilea. Ukiinuka, wananyamaza. Ukidondoka, wanatabasamu. Ukifaulu, wanahoji: “Aliwezaje?” Ukishindwa, wanafurahi. Hakuna uchungu mkubwa kama kupambana mbele ya macho yanayotamani uanguke. Watu hawakuombei ufanikiwe… wanakuombea usiwapite. Unaweza kuwapa...
  19. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwanini watu wana Roho mbaya?

    Sababu za watu kuwa na "roho mbaya" ni ngumu kuelezea kwa jibu moja rahisi, kwani ni mchanganyiko wa mambo mengi yanayohusika. Hivi ni baadhi ya sababu zinazowezekana: 1. Mfumo wa Kisaikolojia na Kibiolojia: Hali ya Akili: Watu wanaweza kuwa na matatizo ya akili kama vile ugonjwa wa...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania ROHO YA KUNYIMANA ISHINDWE TUKIELEKEA PASAKA.......MNATUTESA SANA WAMAMA..

    HAYA MAOMBI SIRUDII TENA MAANA NIMEOMBA TOKA JAN MUNGU ATUSAIDIE SANA NDOA NYINGI ZINATESEKA SHIDA KUNYIMANA UNYUMBA YAAN WANAUME WALEVI WANALEWA USIKU HAWAWEZI HATA KUSHUGHULIKA WANAWAKE WANANYIMWA PESA ZA MSOSI USIKU WANANZISHA MAPAMBANO YA KUNYIMANA UNYUMBA YAAN USIKU UNAKUWA...
Back
Top Bottom