Urusi na Marekani zote zinamilija ASAT hizi ni siraha za kuweza kushusha aridhini Satelite zilizoko kwenye Obiti. Hii ni moja ya jambo ambali hakuna mtu anataka litokee.
Vira itakuwa nu ya kubadilishana Vichwa vya nuclea and this time vichwa viatatua New York,Moscow,London, Washington, Berini...