waziri mkuu wa Ethiopia asema sasa wanauwezo wa kutengeneza Risasi zao wenyewe na Hata kuuza??

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
2,760
4,145
akikagua kiwanda cha Silaha Ethiopia
Huyu jamaa ana akili nyingi ndo maana mabepari walitaka wamuondoe

AE2D2851-51B9-4A15-8CAC-A3B2A906E45D.jpeg
 

Attachments

  • 0CBD4B35-85F9-4EE8-A779-77D5E196AB3D.png
    0CBD4B35-85F9-4EE8-A779-77D5E196AB3D.png
    396.7 KB · Views: 4
  • 1706EDDD-AE34-4CE5-87A0-CFD93939CB7C.jpeg
    1706EDDD-AE34-4CE5-87A0-CFD93939CB7C.jpeg
    141.9 KB · Views: 2
  • 4353BEB2-5149-4A44-A49F-8B2447793C7A.jpeg
    4353BEB2-5149-4A44-A49F-8B2447793C7A.jpeg
    170.1 KB · Views: 1
  • 59A4E630-6D8F-49CB-B220-86FA52A4B85E.jpeg
    59A4E630-6D8F-49CB-B220-86FA52A4B85E.jpeg
    187.2 KB · Views: 2
Kiwanda cha silaha kinawekwa juu ardhi hivyo si wawaige iran .. si kitalipuliwa maram moj tu
ina tegemea silaha gan mkuu!
Vinavyowekwa chini ya ardhi ni zile silaha nzito au za uficho ambazo zinatakiwa zioneshwe by surprise sasa hicho ni cha bunduki kitu ambacho dunia hata aikip attention maana washatokako huko miaka 100 ilopita
 
NCHI INA NJAA BADALA KUTENGENEZA ZANA ZA KILIMO HILI WA KULIMA WAPATE KWA BEI NAFUU MNATENGENEZA BULLETS
Ulinzi ni kitu cha kwanza,,,,
Hicho kilimo utalima kama hamna stability!
Kawaulize wakongo leo wanatamani wangetambua mapema kua silaha ni bora kuliko mauno ya sindimba
 
Back
Top Bottom