ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Ripoti ya CAG, bado kuna anayeamini Tanzania imeingia uchumi wa kati?

    Hili ndio swali langu la leo kwa wananchi wote wa Tanzania, kwamba pamoja na njaa waliyonayo watanzania ukichanganya na huu wizi uliovunja rekodi ya Jumuiya ya SADC uliofichuliwa na CAG, hivi bado kuna Mtanzania yeyote anayeamini nchi yake imeingia kwenye Uchumi wa Kati, kwa lipi hasa?
  2. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu kuhusu kupendwa kwa Magufuli mitandaoni na mitaani baada ya kufa na Ripoti ya CAG

    Magufuli pamoja na mazuri yote yanayosemwa kama yapo, lakini ndio kiongozi pekee Tanzania aliedhibiti sana vyombo vya habari kuliko Raisi yoyote yule. Kama Kuna watu hawalioni hili kuna tatizo. Baada ya kuanzisha Bunge Live, ni Utawala wa Magufuli pekee ndio ulioondoa Bunge kuoneshwa Live. Ni...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Kufuatia ripoti ya CAG, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi asimamishwa kazi

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali. =============== DEVOTHA MDACHI =============== "Mimi naweza kuwekwa Pembeni...
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kipo tunachokihitaji sasa zaidi ya ripoti za Ukaguzi

    TUNAHITAJI NINI SASA KULINGANA NA RIPOTI YA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI. Ofisi ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali imekuwa ikijitahidi sana kufuatilia matumizi bora ya raslimali za Umma na kutoa taarifa zinazoonesha namna gani raslimali hizo hutumika kwa maslahi mapana ya Taifa hili. Takwimu...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwa ripoti hii ya CAG, ingekuwa nchi kama China kuna watu wangenyongwa

    Na Thadei Ole Mushi. Someni Ripoti ya CAG, Kuna madudu mengi mno mengine yanatia kinyaa kabisa. Ukurasa wa 70 wa Ripoti hiyo unazungumzia issue ya Kucheleweshwa ujenzi wa kiwanda Cha Pamba kule Simiyu. Naomba kuinukuu hiyo Ripoti neno kwa neno: "Mnamo tarehe 11 Novemba 2016 Ofisi ya Mkuu wa...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali. Kazi ya UDHIBITI hajaifanya ndio maana kuna madudu kibao kwenye ripoti yake, atimuliwe

    CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali. Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni...
  7. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hii ripoti ya CAG tutaanza kukanyagana, "Sijui tuanze kumlaumu nani?"

    HII RIPOTI YA CAG TUTAANZA KUKANYAGANA, "SIJUI TUANZE KUMLAUMU NANI"? Na Elius Ndabila 0768239284 Riporti ya mwaka huu ya CAG inaonyesha kunaubadhilifu mkubwa wa fedha za umma. Rushwa sasa inaonekana imeota mizizi mikuu. Waliokuwa wakikemea rushwa kwa mkono wa kulia, walikuwa wametega mkono wa...
  8. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

    Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli. Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Wabunge ishaurini Serikali, iendelee kununua ndege au isitishe

    Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa. Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwa ‘madudu’ haya kwenye ripoti ya CAG, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa achia ngazi

    Ripoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja. Ni aibu kwa madudu haya mpaka sasa upo ofisini, unafanya nini? Ona aibu mwenyewe uchukue hatua kwa heshima...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu Ripoti ya CAG: Wanasubiri tupoe waendelee na mambo yao (business as usual)

    Niwaambie tu, hawa CCM na serikali yao, japo kwa sasa wanaonekana kugawanyika, ila ukweli ni kwamba wote ni wale wale tu (wapigaji), hivyo msitarajie jipya kutoka kwao zaidi ya maigizo ya kuwahadaa kwa muda na kisha waendelee kulindana. Ripoti za CAG tangu enzi za Kikwete ni madudu matupu, na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya hakuna, halafu hela mnakula wenyewe, Good God will pay you

    Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri. Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG : CHADEMA yapata hati safi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama cha siasa ambacho kimeshikilia rekodi ya dunia ya kushambuliwa na serikali, kimeonekana na CAG kuwa chama kinachozingatia weledi katika matumizi ya pesa zake, na hivyo kuudhihirishia ulimwengu kuhusu umakini wa viongozi wake, jambo...
  14. Informer

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Ubadhirifu wa Fedha wa Shilingi Bilioni 3.93 katika Mamlaka ya Bandari Tanzania

  15. Informer

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mashirika ya Umma yanayotegemea Mikopo ili kujiendesha

  16. Informer

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mashirika ya Umma ambayo Hayana Uwezo wa Kulipa Madeni ya Muda Mfupi

  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

    Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana? Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika. Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAG kuwasilisha ripoti yake leo Bungeni, uozo kuwekwa hadharani

    Nimepewa dokezo kwamba leo CAG atawasilisha ripoti yake Bungeni. Japo naona taarifa hazijawekwa wazi sana lakini tusubiri muda sio mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Hali ni mbaya sana kwa TAMISEMI na Halmashauri zake. Kuna wizi na uozo mkubwa sana utawekwa wazi. Usiondoke
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nchi 14 zatilia shaka ripoti ya ‘WHO’ kuhusu asili ya COVID-19

    Japan nchi za Umoja wa Ulaya na Marekani zimesema wanasayansi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) walichelewa kufuatilia asili ya Virusi vya Corona. Aidha wamesema hawakupewa ushirikiano wa kutosha na China kwa kuwa walinyimwa uwezo wa kupata taarifa sahihi za ugonjwa huo. Hivyo wanaona ni vyema...
  20. Shadow7

    JamiiForums Tanzania WHO, China zatoa ripoti kuhusu chanzo cha Corona

    Ripoti ya pamoja ya shirika la afya duniani WHO na China kuhusu chanzo cha mlipuko wa COVID-19, inaonyesha kwamba maambukizi kutoka kwa popo kwenda kwa binadamu huenda yalipita kwa mnyama mwingine na sio kutoka maabara. Ripoti ya pamoja ya utafiti wa shirika la afya duniani WHO na China...
Back
Top Bottom