ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania LHRC: Ripoti ya utafiti wa Sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai na Uhujumu Uchumi

    06 September 2021 Morogoro, Tanzania LHRC YAWASILISHA RIPOTI YA UTAFITI WA SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI NA UHUJUMU UCHUMI, YALIA WASHIRIKI kutoka taasisi za Serikali, viongozi, wahadhiri vyuo vikuu UDSM na UDOM, Asasi za Kiraia, walimu wa vyuo vikuu pamoja na waandishi wa habari...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mlipuko wa Corona umeathiri zaidi Wanawake kuliko Wanaume

    Ripoti ya Jukwaa la Uchumi Duniani 2021 (World Economic Forum) ya pengo la Jinsia imeeleza kutokana na athari za mlipuko wa COVID-19 inaonyesha kuwa madhara ya kiafya na mtikisiko wa kiuchumi umeathiri zaidi wanawake kuliko wanaume, hivyo kizazi kingine cha wanawake kitalazimika kungojea usawa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania NEC yataka Tume yao ipewe meno ili iwe Huru

    Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage, Agosti 21 akiwasilisha ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa Rais Samia alitoa mapendekezo saba ya kufanyiwa kazi, likiwemo la kuanzishwa kwa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo itawapa meno zaidi. Mapendekezo ya NEC ya kutaka ianzishwe...
  4. mshale21

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT Wazalendo hawashiriki uzinduzi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2020 wakati wameunda Serikali huko Zanzibar?

    Wakuu, natumai hamjambo! Mbali na CHADEMA, walioonesha nia ya dhati ya kutoshiriki hafla ya kukabidhi report ya uchaguzi 2020 inayotarajiwa kufanyika Leo , tar 21/8/2021, Vyama vya ACT na NCCR, vimetoa misimamo yao ya kutohudhuria hafla hiyo kwa madai mwaka 2020 hakukua na uchaguzi. Kwa...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni mwendo wa kususa.Cuf nao wasusia ripoti ya uchaguzi mkuu 2020.

  6. L

    JamiiForums Tanzania Ripoti kuhusu mabadiliko ya tabia nchi yasema juhudi zikiwa endelevu tunaweza kuinusuru dunia

    Ripoti iliyotolewa Agosti 9 na jopo la kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi (IPCC), imetoa tahadhari kuwa mabadiliko ya tabia nchi yanayoendelea kutokea duniani yanaweza kuchukua maelfu ya miaka kurudi katika hali ya kawaida. Lakini pia ripoti hiyo hiyo imetoa matumaini kuwa kama juhudi za...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya kamati ya Moto soko la Kariakoo imeshamalizika na kukabidhiwa?

    Tangu janga la moto, waziri mkuu aliunda kamati ya uchunguzi akaipa wiki moja, then ikaongezewa wiki ya pili! Hivi sasa mwezi umepita bado kimya, Je tuendelee kusubiri report au LAH?
  8. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: COVID-19 imewarudisha Watanzania takriban 600,000 chini ya mstari wa umasikini

    Leo Tarehe 29 Julai, 2021 Benki ya Dunia inazindua Toleo la 16 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania, yaani "16th Tanzania Economic Update" Toleo la Hali ya Kiuchumi Tanzania huchapishwa mara mbili kwa mwaka na Benki ya Dunia, likiwa na lengo la kutoa mtazamo wa uchumi wa ndani wakati pia...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane

    Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane baada ya ripoti za vifo na wagonjwa wa corona kuongezeka. Watu wametakiwa kutotoka nje ya nyumba zao kuanzia Jumamosi tarehe 17 mpaka tarehe 26 Julai, ili kuzuia maambukizi ya virusi...
  10. Kasomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake muwe makini wanaume ni wachache sana

    Leo napenda kuwatonya wanawake kuwa wawe Makini na wanaume kwa sababu zifuatazo. Gazeti la Independent lilichapisha Ripoti iliyo tolewa na UN mwaka 2019. Ripoti hiyo ilijumuisha idadi ya watu duniani na kufafanua kama ifuatavyo. 1- Ripoti ilionyesha kuna jumla ya watu Billion 7.8 duniani...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Kuripoti utapeli Halotel

    Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na njia rahisi ili kuripoti utapeli. Piga *148*90# kisha chagua lugha. Baada ya lugha chagua tena njia moja wapo Baada ya hapo ingiza namba ya tapeli Mfano 062xxxxxxx kisha tuma.
  12. Kasomi

    JamiiForums Tanzania TCRA: Ripoti utapeli kwenye namba 15040

    Mamlaka Ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaomba wanachi kuripoti utapeli wowote unao fanywa kwa njia ya mitandao kwa kutuma aina ya message na namba iliyo tumika kufanya utapeli kwenye namba 15040. Utapeli huo ni wa Aina yeyote hata ule unao andika "...Ile pesa itume kwenye namba..." Au...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Saluti kwao: Hii ndio ripoti ya wasanii wa Tanzania waliotazamwa zaidi mwezi uliopita (Juni)

    Ripoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za Youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi muda mrefu ila bado watu walikuwa wanacheki kazi zao za zamani. Namba hazidanganyi, kama mnavyoona lebo ya WCB wasanii karibu wote wamo, kwa upande wa lebo nyingine labda...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Zitto, wataka ripoti BoT iwekwe hadharani

    Rais Samia alikabidhiwa ripoti hiyo kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, kama alivyoagiza uchunguzi ufanyike wa fedha zilizotolewa benki hiyo kati ya Januari na Machi, mwaka huu. Wakitoa maoni yao baada ya kuzungumza na Nipashe jana kwa nyakati...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchunguzi wa pesa zilizotolewa BoT kupokelewa Juni 30, 2021

    Hii ni moja ya habari katika magazeti ya leo na pia iko mitandaoni, hivyo wacha tusubiri hiyo kesho kusikia kilichomo katika hiyo ripoti. Swali ni je, ripoti hiyo itajibu maswali watu waliyonayo au ndio itaongeza maswali na pengine kukatisha watu tamaa? Kuna mtu ukimuona amehudhuria...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane inbox kama unahitaji 'huduma hii' kwa bei nafuu

    Ndugu wanaJF, unahitaji kuhaririwa habari au ripoti yako kwa Kiingereza au habari, ripoti, dissertation (BA, MA, PhD), paper au translation kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili kazi nzuri kwa bei nafuu. Kama jibu ni ndiyo, basi tukutane inbox.
  18. Baba Swalehe

    JamiiForums Tanzania Vituko vya watoto na ripoti za matokeo

    .
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ungepitia Ripoti ya CAG, wapo wengi mule wa kusimamishwa na wengi kupisha Uchunguzi

    Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia makofi ya kutosha. Hizo ni pesa za mboga tu mkuu.
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mkaguzi wa Hesabu za Serikali(CAG) akabidhi Ripoti kwa Rais Hussein Mwinyi

    Baadhi ya masuala aliyogusia katika Ripoti hiyo ni kama ifuatavyo: CAG ASHINDWA KUTHIBITISHA MALIPO YA MILIONI 376 KWA MADAKTARI Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Zanzibar, Dkt. Othman Abbas Ali amesema Hospitali ya Mnazi Mmoja imefanya malipo ya Tsh. Milioni 376 kwa ajili ya wito wa...
Back
Top Bottom