rihanna

  1. X

    Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

    Kuna msemo wa Kiswahili unaosema muda ni mwalimu mzuri. Hili linaonekana wazi kwenye maisha ya wanawake. Labda tuzungumzie mastaa fulani wa kike ambao wanajutia sana maisha waliyoishi miaka ya nyuma. ●RIHANNA Kwenye mahojiano yake ya karibuni alisikika akisema "Huenda ikaonekana ni unafiki...
  2. Forbes 2024: Michael Jordan, JAY-Z, Lebron James, Rihanna watajwa orodha ya Mastaa wenye Utajiri Mkubwa duniani

    1. Michael Jordan Utajiri: Tsh. Trilioni 8.2 | Miaka: 61 | Uraia: Marekani. 2. Oprah Winfrey Utajiri: Tsh. Trilioni 7.2| Miaka: 70 | Uraia: Marekani. 3. Jay-Z Utajiri: Tsh. Trilioni 6.4| Miaka: 54 | Uraia: Marekani. 4. Kim Kardashian Net Worth: $1.7 Billion | Age: 43 | Citizenship: U.S. 5. Tyler...
  3. Rihanna na Shakila ni wanawake warembo sana

    Katika hawa watu wewe unakwenda na yupi Hawa ndio warembo ambao dah nawakubali sana
  4. THE BATTLE OF 3: Evra, Cole & Marcelo

    Hawa ni miongoni wa beki tatu bora waliowahi tokea duniani. Bila ya kujali ushabiki waorodheshe kuanzia alie kuwa bora zaidi ya mwenzake katika nyanja ya beki wa kushoto.
  5. H

    18 Years Ago Today, Rihanna

    18 years ago today, Rihanna released her debut single ‘Pon De Replay.’ Launching one of the biggest music careers in history, the classic peaked at #2 on the Billboard Hot 100 and in the United Kingdom. It has been named one of the greatest debut singles of all time by Rolling Stone.
  6. H

    17 years ago today, Rihanna released her sophomore album ‘A Girl Like Me’

    17 years ago today, Rihanna released her sophomore album ‘A Girl Like Me.’ The singer’s second album spawned the chart-topping ‘SOS,’ which became her first of 14 #1 hits, along with ‘Unfaithful.’ The album ranked among the Top 20 best-selling of the year globally and is certified 2x Platinum.
  7. Jay-Z, Rihanna na Lebron James watajwa kwenye orodha ya Forbes ya Mabilionea wa Dunia

    Kupitia orodha hiyo inayojumuisha Matajiri 2,640 wakiongozwa na #BernardArnault na Familia yake wakiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 493.9 akifuatiwa na #ElonMusk mwenye utajiri wa Tsh. 421.3 na #JeffBezos mwenye Trilioni 266.8. Kwa upande wa Mastaa, #JAYZ yuko nafasi ya 1217 akiwa na Tsh...
  8. H

    16 years ago today, Rihanna released ‘Umbrella’ featuring Jay-Z

    16 years ago today, Rihanna released ‘Umbrella’ featuring Jay-Z. The Grammy-winning song served as the lead single off ‘Good Girl Gone Bad.’ It reigned atop the Billboard Hot 100 for seven consecutive weeks and is widely recognized as the hit that propelled Rihanna into superstardom.
  9. Wasanii wa Bongo badilikeni, jifunzeni kwa wenzenu namna nzuri ya kufanya show

    Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights. Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni sio kutupigia kelele stejini. Kushoto kulia mara washa light ya simu yako Mara tuimbe woote hata...
  10. Miezi 8 baada ya kujifungua mtoto wa kwanza, Rihanna ni mjamzito tena

    Msanii #RobynFenty a.k.a Rihanna ameweka wazi taarifa za kuwa Mjamzito wakati akiwa kwenye steji za Apple Music Super Bowl LVII Halftime zilizofanyika katika ukumbi wa State Farm Arena. Rihanna na mpenzi wake Rapa #ASAPRocky wanatarajia mtoto wa pili ikiwa na siku 270 zimepita baada ya kupata...
  11. Tems na Rihanna watajwa kwa mara kwanza kuwania Tuzo ya Oscar

    Mwimbaji Temilade Openiyi a.k.a #Tems kutoka Nigeria, ameweka historia ya kuwa msanii mwenye muda mfupi kwenye muziki na kufanikiwa kutajwa kuwania Tuzo maarufu ya #Oscar kupitia wimbo wa Lift Me Up alioshiriki kuuandika pamoja na #Rihanna. Licha ya Ukubwa wake kwenye tasnia ya Muziki, kwa...
  12. Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

    Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa. The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani! Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na...
  13. Miaka mitano ya Hayati Magufuli taifa lilipiga hatua kubwa kuliko miaka kumi ya Jakaya

    Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga. Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku...
  14. M

    UZUSHI Rihanna na Asap Rocky wameachana

    Watumiaji mitandao ya kijamii bado wanauliza kama Rihana na Asap Rocky huenda wameachana baada ya chapisho la mmoja wa mashabiki wa muziki kuchapisha kuwa Rihana na Asap wameachana na kupelekea kusambaa sehemu mbalimbali duniani.
  15. Ukweli mtupu wa Rihanna kutokuja Tanzania

    Naona comments everywhere watu wanalalamika kwanini Rihanna hajaiona Tanzania kuleta vipodozi vyake vya Fenty, wengine wanasema kwanini ameiacha Tanzania wakati Babaake alikutana Rais Samia kwenye Royal Tour. Mnataka awaletee Tanzania kuna soko? Jiulize we unayelalamika ushawahi kuagiza hata...
  16. Rihanna has her baby! The singer and beau A$AP Rocky 'welcomed their son LAST WEEK' but have yet to share the name of the child

    The 34-year-old singer from Barbados had her baby boy on May 13, according to a report from TMZ. The Savage x Fenty designer and the 33-year-old DMB singer have yet to confirm the baby's arrival and the site did not yet have news on a name. The last time the cover girl was seen out in public...
  17. Serikali: Mafanikio makubwa ya Royal Tour ni kufanikiwa kumshawishi baba yake Rihanna kuja kuishi Tanzania

    Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA! Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa. Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
  18. Rais Samia kukutana na Baba Mzazi wa Rihanna tunafaidika vipi kama Taifa?

    Wasalaam Mtanzania Mwenzangu! Naomba uitikie KILA KITU KITAPANDA BEI! Nimepita mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali zinazoendelea hapa Nchi na ulimwenguni kwa ujmla. Na nisikatae kwa Juma moja saivi na siku kadhaa kumekua na taarifa inayosemwa sana mtandaoni ni Juu ya ROYAL TOUR! Nikiwa napita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…