rihanna

  1. John Haramba

    Rais Samia akutana na baba yake mzazi Rihanna katika uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo Aprili 22, 2022. Filamu hiyo...
  2. MSAGA SUMU

    Rihanna ategemea kupata mtoto wa kwanza na mwanamuziki Asap Rocky

    Rihanna na A$AP Rocky ni mojawapo ya couple kali zaidi katika tasnia ya muziki! Rihanna amekuwa kwenye mahusiano na mpenzi wake A$AP Rocky kwa muda mrefu, kwa siri kabla ya kuthibitisha kuwa wapenzi rasmi mnamo Mei 2021! Akiongea na GQ, rapper huyo mwenye umri wa miaka 33 alimwita mpenzi wake...
  3. Kasomi

    Mkizungumzia ya Rihanna kumfollow Flaviana Matata huko IG, Mkumbuke na John Cena Amemfollow Ebebe Jamal

    Leo mitandao ya Facebook, Instagram, Twitter, na YouTube imechafuliwa na Media ndogo na kubwa hii yote kuzungumzia Msanii Maarufu zaidi hapa Duniani Rihanna kumufuata Mwanamitindo Mbongo na Mzaliwa wa Shinyanga Flaviana matata. Leo Rihanna katika mtandao wa Instagram amemfollow Flavianamatata...
  4. BAK

    Rihanna is now worth $1.7 billion, making her the richest female musician in the world

    One of the most famous singers in the world made the bulk of her money offstage — in a joint venture with LVMH Rihanna's beauty line accounts for most of her wealth. CAROLINE MCCREDIE/GETTY IMAGES FOR FENTY BEAUTY BY RIHANN In one of her most popular songs, Rihanna says a certain someone...
  5. E

    Kijana mtanzania kaimba moja ya wimbo mgumu wa Rihanna

    Kijana mtanzania kaimba moja ya wimbo mgumu wa Rihanna
  6. MK254

    Rihanna picks Kenyan girl for posh role

    Rihanna (Left) and Kenyan Comic Elsa Majimbo. Fenty Beauty, a cosmetics brand launched in September 2017, by 9-time Grammy winner Rihanna, picked Kenyan comedy star Elsa Majimbo to showcase their array of sunglasses. The young comedian expressed her joy after landing the gig in a video that...
  7. Analogia Malenga

    Mwanamuziki Rihanna aingia orodha ya matajiri wa Uingereza

    Mwanamuziki Robyn Rihanna Fenty (32) maarufu Rihanna kwa mara ya kwanza ameingia kwenye orodha ya Wanamuziki tajiri wanaoishi Uingereza na kushika nafasi ya 3. Amehamia London mwaka 2019 Rihanna ambaye pia ndiye Mwanamke wa kwanza kwa utajiri kwenye orodha hiyo ana utajiri wa takriban Tsh...
  8. Dr Matola PhD

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Mashabiki wa Ally Kiba wajumuike hapa kumpa ushauri what is next baada ya mashabiki kuonesha mapenzi yao ya dhati kwa Kiba kwenye Fiesta na kuandika historia mpya Tanzania. Mimi kama Matola nitatumia effort zangu binafsi kuhakikisha nakutana na Kiba na manegement yake ili kuwapa mikakati ya...
Back
Top Bottom