UZUSHI Rihanna na Asap Rocky wameachana

Baada ya tathmini, tumebaini kuwa taarifa hii ni ya uzushi
Source #1
View Source #1
Source #2
View Source #2
Watumiaji mitandao ya kijamii bado wanauliza kama Rihana na Asap Rocky huenda wameachana baada ya chapisho la mmoja wa mashabiki wa muziki kuchapisha kuwa Rihana na Asap wameachana na kupelekea kusambaa sehemu mbalimbali duniani.


1657980016429.png
 
Tunachokijua
Baada ya kipindi cha muda mrefu mwezi Mei 2021 wanamziki hao wawili (Rihana na Asap) walikiri kuwa wapo kwenye mahusiano ambapo kwa muda walikuwa wakificha kuonesha kuwa wapo kwenye mahusiano.

Mwishoni mwa mwaka 2021 Rihanna na Asap walitangaza kutegemea kupata mtoto ambapo mwezi wa kwanza 2022 Rihana alichapisha chapisho ikionesha tayari ana ujauzito.

Habari zilizoenea zinaonesha kuwa Asap alimsaliti Rihanna baada kuwa na mahusiano ya karibu na mwanamitindo Amina Muaddi.

Kupitia Jarida TMZ, Rihanna aliiambia kuwa chapisho la 15 Aprili 2022 ni la uzushi halina ukweli wowote, na alithibitisha kuwa Asap hakuwa na mahusiano na msichana mwingine

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom