Wana jamvi habari zenu? Awali ya yote poleni kwa Msiba mzito kwa Taifa kwa ndugu yetu Kipenzi Spika wa Bunge la JMT Mstaafu Ndugu yetu Mhe. Job Augustino Ndugai bila kujali itikadi zetu za kisiasa na hisia.
Niende kwenye mada moja kwa moja.Hivi karibuni JMT ilizindua Dira ya Maendeleo 2025/2050...
Habari zenu wakuu.
Baada ya kukutana na vijana kadhaa wanatamani wamiliki gari used kuwahi shughuli zao ila bajeti haitoshi, Yaani ni kazi kukusanya milioni 5 au 4 kwa pamoja.
Naielewa vyema hali hiyo nami nilipitia nikianza maisha ya kujitafuta. Sasa nimekuja na plan kuwawezesha kutimiza...
Habari Tanzania !
Naomba kuweka mawazo mseto kwa maendeleo ya nchi yetu. Naomba paanzishwe " Vijana Village Funds" huu uwe mfuko wa ukopeshwaji kwa vijana kwenda kuishi Vijijini na kuhakikisha wanaanzisha maendeleo na kuwa wazalishaji bora wa bidhaa mbalimbali kutokana na asilia ya eneo...
Wakuu inakuwaje mwanamke wako asiyefanya biashara ya kukopesha ukimwomba akukopeshe lazima aweke riba ya mwezi mmoja? Hapa kuna mapenzi kweli? Cha kushangaza anataka attention yako balaa. Kila mara SMS & calls. Hii imekaaje? Kukopeshwa sio tatizo, riba ndo tatizo.
Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal sector na kuongeza watumiaji wa bank
SIFA ZA HAO WAFANYAKAZI
Lazima mishahara yao iwe inapitia bank...
Kwa mara ya kwanza Gavana wa BOT aamuru Mabenki yanayo toa mikopo kwa wananchi na haswa watumishi wa umma kushusha riba hadi kufikia asilimia kumi 4.
Hakiki kupunguzwa kwa riba kutarahisosha ukali wa maisha kwa wananchi wengi.
Benki ya NMB ambayo ndio inaongoza kutoa mikopo yenye riba kali kwa...
Serikali kupitia Halmashauri inatoa mikopo kwa ajili ya vikundi vya wajasiriamali na mikopo hiyo haina riba wakati ni kwa ajili ya biashara, maana yake wanufaika wanapata faida, lakini mikopo inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kwa ajili ya wanafunzi (ambao kwa sasa hawana uhakika wa ajira...
Katika kujisomea kwangu mambo ya uchumi. Naona sasa ni rahisi kukopa kenya na kuja kuwekeza Tanzania. Riba yao ni nafuu kuliko ya kwetu.
Kwa hari hii sisi tutaendela kuwa chini kiuchumi. Serikali na BOT fanyeni mpango mpunguze Riba ili wananchi wakope pesa na wawekeze.
What is the CBK base...
Habari zenu wadau. Hivi ni Bank gani ina toa riba nzuri pale mtu anapoweka pesa Kwa lengo la kupata faida. Je Kuna ukweli kuwa ECO Bank Wana riba kubwa kuzidi UTT??
Naomba mawazo yenu, maana nipo kwenye process ya kuanza uwekezaji mdogo kwenye hizi Financial Entities. Nawasilisha Ahsante.
Kwanini NSSF Wasiweke Mfumo wa Riba Kwenye Michango ya Wanachama Wao?
NSSF chini ya sheria yake inamuagiza mwajiri kuwasilisha 20% ya ujira wa kila mfanyakazi wake kila mwezi, ambapo sheria inaeleza mfanyakazi hatakiwi kuchangia zaidi ya 50% ya kiwango hicho.
Fedha hizi huwekezwa kwenye...
Zanzibar Yaanzisha Hati Fungani Isiyokuwa na Riba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefungua dirisha la uwekezaji katika hati fungani inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu, Zanzibar Sukuk, ambayo inalenga kusaidia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo visiwani humo.
Akizungumza...
Kama kisemavyo kichwa cha habari riba za benk za kibiashara hazitakiwi kuzidi asilimia 5 hii itachochea ukuaji wa uchumi kwa sababu mikopo itapatikana kwa bei nafuu faida za mikopo kuwa na riba ndogo
Kuongeza mzunguko wa fedha
Kuondoa hofu ya kukopa ambayo wanayo watu wengi
Kuongeza ajira...
Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu,
Nimeshangaa serikali inaapprove taasisi yenye riba 42%?
Serious BOT?
Fanikiwa microfinance 42%
Magere credit 42%
Platinum...
Makampuni yanayojihusisha na mikopo umiza yameonywa kuacha tabia ya kutoa mikopo bila kufata utaratibu na kuishia kuumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa.
Naibu waziri wa nchi ofisi ya raisi mipango na uwekezaji Stanslaus Nyongo ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la ofisi za hazina ndogo...
Ukisoma vitabu vya Biblia takatifu vya Warumi 13:8 na Methali 22:7 vyote mtawalia vinasema msiwiwe na mtu chochote na kwamba mkopaji ni mtumwa wa mkopeshaji...sasa nyi wakristo mmepigwa marufuku kabisa kukopa ila mnakaza fuvu. Muokoke.
Napenda kudecrale interest, Binafsi nilikuwa mmoja wa watumiaji wa hii mikopo, Kwa mkopo wa 83,000 ndani ya miezi mitatu iliyopita, marejesho yalikuwa ni 93,000
Nimekopa kiasi hiki mara tatu na kuilipa ndani ya muda wa mwezi mmoja on time pasipo kuvuka muda huo
Cha ajabu ni siku ya jana nikiwa...
Kampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .
M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada.
Wateja wote wa M-Pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.