Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa Asilimia 5.4 tofauti na matarajio ya awali ya Asilimia 4.7 katika robo mwaka ya kwanza ya Mwaka huu wa 2022.
Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kukabiliana na athari za UVIKO-19 na Mgogoro wa Vita ya Urusi na Ukraine umedhihirisha uimara na ukomavu Kwa...
Adam ndiye mwanaume aliyeoa kwa mahari kubwa kuliko mwanaume mwingine yeyote tangu dunia kuumbwa. Imagine alitoa mbavu zake ili kumpata Eva!
Halafu hawa "ng'ombe" wa siku hizi wakipangiwa mahari ya milioni 5 tu wanalalamika utadhani wamekatwa kichwa.
Hakuna wanaume siku hizi.
Kwa kuwa Yanga wana mechi na waarabu wa Sudan AL-HILAL nikalazimika kwenda kupekuwa pekuwa kwenye kumbu kumbu za CAF kama Yanga wamewahi kufanya jambo lolote dhidi ya waarabu hapo Taifa nilichokutana nacho aisee SHIKAMOO YANGA
Confederation Cup 2018
Young Africans-USM Alger 2-1...
YANGA imeendelea kuboresha rekodi yake ya kucheza mechi mfululizo za Ligi Kuu Bara bila kupoteza, ikifikisha 41, baada ya Jumanne wiki hii kuifumua Mtibwa Sugar kwa mabao 3-0 katika pambano lililopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
Mara ya mwisho kwa Yanga kupoteza...
Kampuni ya Apple inc kupitia devices zake za iphone leo zimeweka rekodi duniani ambayo haijawahi kutokea. Zaidi ya devices 10 ml zimeuzwa leo huku ikiwa ni rekodi duniani.
Iphone wanasema hiyo rekodi haiwezi vunjwa kwa miaka 100 ijayo na kampuni zote za simu hata zikishirikiana.
Congrats 👏...
1. Nyimbo zinazosikilizwa zaidi ulimwenguni
Nokia Tune. Nyimbo ya Nokia ilitungwa na mtunzi Gran Vals, na mtunzi wa Kihispania Francisco Tárrega. Anssi Vanjoki, pamoja na Lauri Kivinen, walichagua kipande hicho maarufu kilichowekwa kwenye simu za Nokia mwaka 1993. Mlio huo maarufu wa kuita...
Rais Samia anaendelea kupita katika kila Mkoa kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali na kutatua kero za wananchi. Licha ya kufanya ziara katika nchi mbalimbali zilizoleta tija kubwa, Rais hapumziki na kungojoea ripoti yuko "FIELD" katika Mikoa, Wilaya, Kata hadi Vijijiji. Baadhi ya mambo...
Karibu tuongee.
Jiunge na mjadala wa kuendesha biashara yako kwa mfumo wa digital kupitia smartphone yako kiganjani.
Sisi hapa tunatoa application ya simu inayosaidia wafanyabiashara kutunza rekodi zao za biashara kupitia simu
Kwa mawasiliano zaidi tuma email kupitia service@hesabu.app...
Habari wanaJF?
Nami nimeona nishiriki katika jukwaa hili la soc kwa kutoa mawazo yangu kuhusiana na mada tajwa hapo juu.
Kumekuwepo na tabia ya watu wengi sana katika familia, jamii, kazini, shuleni serikalini na kwingineko; kupenda kutumia neno mimi pekee yangu nilifanya hili au lile, mimi...
Rais Samia Suluhu Hassan anaitambua nguvu ya mwananmke ndio maana ameteua wanawake wengi kwenye uongozi wake ile dhana ya mwanamke hawezi imefutika na hii ni maana halisi ya haki sawa.
Kwa sasa Tanzania ina Wakuu wa Mikoa wanawake 8 tena wenye uwezo sana. Hii ni rekodi ya kuwa na Wakuu wa Mikoa...
RC MAKALLA: DSM IMEFANYA VIZURI MKATABA WA LISHE.
- Awapongeza Maafisa Lishe kwa kufuta rekodi mbaya ya lishe iliyokuwepo.
- Awaelekeza Wakurugenzi kuwawezesha Maafisa Lishe kutekeleza Majukumu yao na kutoa fedha kwa wakati.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Amos Makalla amewaelekeza...
Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya
KAMA utani imetimia miaka 27 tangu vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Yanga ilipoandika rekodi ya aina yake jijini Kampala.
Kwa waliosahau ni kwamba Januari, 1993 mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania, iliyosafiri kichovu kwenda...
Mkoa wa Simiyu wafunga mwaka wa fedha unaoishia Juni30, 2022 kwa kuvunja rekodi ya makusanyo ya Halmashauri,
Simiyu imekusanya 14.2bn sawa na asilimia 108% kulinganisha na makusanyo ya 10.9bn sawa na asilimia 76% mwaka ulioisha Juni30, 2021.
Huku Maswa ikiongoza kwa makusanyo ya asilimia...
Zuchu anaenda kuachia project mpya ya 4-4-2.
Kama kawaida queen huyu wa bongofleva na msanii namba moja wa kike Africa mashariki na kati anaenda kuandika rekodi mpya kama kawaida yake.
Huyu mtoto ni wamoto sana na anaubeba kwa mikono miwili muziki wetu wa Africa mashariki ndio maana sina shaka...
Inasikitisha sana kwa nini watu wanakuwa na tafsiri tofauti juu ya mtu kuzungumzia ukweli wa suala husika. Lakini mtu anakuwa na povu ambalo halihusiki kabisa.
Nani asiyejua kuwa hayati JPM ndio alianzisha mfumo kuwa mapato yote ya serikali yawe centralized na pesa zote ziingie hazina. Huko...
Serengeti Girls imekuwa timu ya kwanza kukaa eneo maalum wanalokaa wabunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Juni 7, 202
Timu hiyo imealikwa bungeni baada ya kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia litakalofanyika India Oktoba 2022.
Chini ya wiki 2, Bandari ya Mtwara imeweka rekodi mpya kwa kupokea meli kubwa yenye uwezo wa kubeba Tani elfu 60 za Makaa ya Mawe.(60,000).
Meli hiyo imetia nanga tayari kupakia Makaa ya Mawe kutoka kampuni ya Mwekezaji mzawa Ruvuma Coal Mining Limited.
Hii ni baada ya Meli nyingine ya Uswisa...
Bila shaka mmeona viwango vipya vya mafao kwa wastaafu ambavyo vimetangazwa hivi majuzi. Ikumbukwe kwamba, Rais Samia anasiku 433 madarakani na amefanya mambo makubwa sana kana kwamba amekaa madarakani miaka 5 au 10. Ngoja niwape na hii leo..
Picha linaanza kwamba, Kikokotoo kipya cha mafano ya...
STAA wa muziki wa Bongofleva na bosi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvanny) amefikisha (streams) milioni 100 kupitia jukwaa namba moja la muziki barani Africa Boomplay 🙆🏿
Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya streams kwenye boomplay...
Mfumko wa bei umegonga rekodi mpya katika nchi 19 za ukanda unaotumia sarafu ya Euro. Hali hiyo imesababishwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta kufuatia vita nchini Ukraine. Katika mwezi huu wa Aprili, mfumko wa bei umefikia asilimia 7.5 kiwango ambacho ni kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.