Meli kubwa ya makontena duniani inayotumia gesi ya LNG, CMA CGM NOTRE DAME, imeandika historia baada ya kufanyiwa kwa mara ya kwanza ujazaji wa mafuta ya Bio-LNG katika Bandari ya Rotterdam, Uholanzi.
Bio-LNG ni aina ya mafuta yanayotengenezwa kutoka kwenye taka za kilimo na mabaki ya viumbe...