refa

REFA, the Association for Work Design, Business Organization and Business Development is Germany's oldest organization for work design, business organization and business development.
It was founded in 1924 as the Reichsausschuß für Arbeitszeitermittlung (English: Reich Committee for Working Time Determination). During the Nazi era, it was known as the Reichsausschuß für Arbeitsstudien (English: Reich Committee for Labour Studies).

View More On Wikipedia.org
  1. Eti refa akiharibu mchezo wa kesho tutamfunga!

    Hii ni kauli ya Karia,kwahiyo siku hizi masuala ya mpira yanapelekwa mahakamani? Wakati jamaa fulani walikuwa wanapeleka kesi mahakami,si mlipiga kelele kuwa masuala ya mpira hayapelekwi mahakamani,sasa imekuwaje?
  2. Tupunguze makelele kwa refa tuongelee magoli waliyokosa wakisoma wajue wanarekebisha wapi

    NAONA MAKELELE.MTANDAON KILA.KONA WELL NASHAURI WAJUE PIA KUNA MAKOSA WALIFANYA YAMEWAGHARIMU WAKISOMA.WASIKIMBILIE WAMEONEWA NA REFA JE ZILE NAFASU 2 WANGETULIA SI WANGESHINDA MECHI ASSUME WANGEKOSA. MOJA MEANS DRW JE UDHAIFU ULIKUW WAPI NA UKO.WAPI NA NN KIFANYIKE TUBORESHE TIMU ZETU...
  3. Berkane ni timu dhaifu sana na wamepewa refa wa kimkakati kuwasaidia

    Kwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba wangejua outplayed. Ila nilichokiona na wadau wa mpira nilikua nao tumeona tofauti, Simba imepiga...
  4. Mwamuzi aliyekataa goli la Aziz K dhidi ya Mamelodi amepangwa kuchezesha fainali Simba VS RS Berkane Mei 25, Zanzibar

    CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25 huko Zanzibar. Hawa ndio waamuzi wa VAR kwa mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane • Mkuu wa VAR...
  5. Kefa Kayombo, refa mbovu anayebebwa na mfumo.

    Mechi ya Namungo Vs Dodoma Jiji ilipaswa kuwa ya mwisho huyu binadamu kuchezesha. Amechezesha zaidi ya Mechi 7 Kwa kiwango kibovu lakini bado Mamlaka zinamfumbia macho. Coastal, KMC, Tabora Utd, Fountain Gate, Mashujaa, JKT na Pamba ni wahanga WA maamuzi mabovu ya Kayombo, lakini bado YUPO!
  6. T

    Kabla ya kumlaumu refa kuongeza DK 15, je, wewe ulihesabu DK Ambazo mchezo ulisimama?

    Si mama kwenye ukweli pasipo na ushabiki, wewe unaepinga Jana refa kuongeza DK 15, tueleze wewe ulizihesabu NI DK ngapi zilipotezwa na pia lile tukio la ubishi WA kado nyekundu Kwa kipa ndio lililozaa upotevu mkubwa WA muda Liliana DK ya ngapi na liliishia DK ya ngapi?
  7. Tumsikilize Askofu BANGONZA; CCM ni Refa na ni Mchezaji

    Tumsikilize Askofu hapo chini ; Well , kuna mmoja alihoji mbona Kenya iliweza kukitoa chama tawala kabla ya reforms ? - Kenya sio Tanzania, Kenya wapo mbele ya muda sana. Kwenye Uchaguzi Polisi na Jeshi huwa wanakuwa upande wa wananchi ndio maana walifanikiwa. Tanzania Jeshi na Polisi kwenye...
  8. M

    Asec wagomea penati hadi refa akaangalie kwenye VAR

    RS Berkane wamepata penati ya kijinga, Asec wamegoma katakata hadi refa akacheki kwenye VAR, hili ni fundisho kubwa kwetu kuelekea mechi na waafrika kusini
  9. Refa Arajiga hacheki na wowote

    Referee wa Tanzania ndugu Arajiga ndie referee katili na asiyetaka masihara na kazi yake hapa bongo .. Huyu jamaa nilianza kumuogopa nakumuona nuksi ile Siku alipomlima kitasa Ibrahim Bacca kadi nyekundu dakika ya 16 mchezo kati ya Bingwa wa mabingwa , nguli wa soka la bongo "Yanga" " Azam...
  10. TUKUMBUSHANE KIPIGO CHA REFA ISRAEL MKONGO VS STEPHEN MWASIKA(AZAM VS YANGA) KILA JAMBO LINAMWISHOOOOO

    Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google Mechi n Azam vs YANGA REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji alimrukia Refa akampa ndonga ya maana Refa akashtuka akahamaki alienipiga katokea wapi kumbe...
  11. Mjadala uliopo ni camera za Azam tv kurudia na kushindwa kuona tukio lililofanya refa kutoa red card je camera hizo hazikuweza kuona tukio hili?

    Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
  12. Juma Ayo: Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba apewe Derby ya Kariakoo, anajua kutafsiri vyema sheria za soka

    “Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo. Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio” Hayo ni maneno...
  13. Bondia azichapa na refa ulingoni

    Mwamuzi Said Mkonde apigana na bondia Said Likaule baada ya kutokea mtafaruku baina ya wawili hao ulingoni. Mkonde alimaliza pambano kutokana na kile kilichotokea ulingoni kitendo ambacho kilichosababisha Likaule kupandwa na jazba na kupigana na mwamuzi huyo. Ikumbukwe mwamuzi huyo aliwahi...
  14. Refa ashangilia goli la Yanga

    Naangalia magoli ya Yanga dhidi ya KMC jana imenishangaza kuna goli Yanga walifunga refa akashangilia.
  15. Huyu refa alikuwa na haraka ya nini?

    Tangu nianze kufatilia soka sijaona kituko cha refa kuwa na haraka ya kutoa kadi mbili kwa pamoja kama huyu refa wa leo. Ni aibu kwa ligi ya 4 Afrika. Hii haraka ya nini? Soka letu lina safari ndefu sana
  16. Refa kutunyima Penati ya wazi: Wazee wa Simba watoe tamko.

    Kwanini refa ametunyima penati? Baada ya kipa kupata kadi mbili za njano ilibidi tupate penati ili kufidia dakika zetu. Yani alivyotoa kadi yapili ya njano angetenga mpira kwenye box, na azuie mtu yeyote kukaa golini ili mutale afunge tuongoze ligi. Kwa maamuzi haya ya leo ya refa wazee watoe...
  17. Refa aliecheza mechi ya simba aondolewe achunguzwe...Tff msibebe wajinga kama hawa mtasababisha fujo

    Niliwahi sema aliesema mpira wa tanza kichwa cha mwendawazimu hakukosea kabisa. Yaan maamuzi ya kijinga ya kipuuzi kabisaa Goli la simba offside kabisa hakuna goli kama lille hata kama mhamala wa simu umesoma. Amejizalilisha sana refa na wenzie Kaongeza dk 10 Unachezesha dk 13 Kwenye nchi za...
  18. Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga

    Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports Vs Jkt Tanzania Vs Coastal Union Vs Tabora United SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani Vs Singida Black Stars Vs...
  19. Yupo wapi Refa wa Yanga Ramadhani Kayoko?

    Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko. Yupo wapi?
  20. FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

    Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…