Huyu refa humwambii kitu kuhusu Man U

Huyu refa humwambii kitu kuhusu Man U

Miss Halima

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
327
Reaction score
716
Mwamuzi wa kimataifa Michael Oliver ameteuliwa rasmi kuwa mwamuzi wa kati (Pilato) kwenye mtanange mkali wa Manchester Derby kati ya Manchester United na Manchester City.

Pambano hilo la kwanza la dabi ya Manchester kwa msimu wa 2026/2027 litapigwa siku ya Jumapili, Septemba 13, 2026, katika dimba la Old Trafford majira ya saa 18:30 EAT.
1788851267455.png
 
Back
Top Bottom