ratiba

Ratiba Hefny (Arabic: رتيبة الحفني‎; 2 December 1931 – 16 September 2013) was an Egyptian and an international Opera singer (Soprano) who has performed in more than 500 opera performances. She was the dean of the Higher Institute of Arabic Music in Cairo. She became the director of the Cairo Opera House in 1988.
She grew up in a musical family, her father Mohamed Ahmed El-Hefny has written more than 45 books on music, and her grandmother to her mother was of a German origin, who also was a German opera singer. Ratiba started playing the piano at the age of five.
She also gave her singing voice to Snow White in Snow White and the Seven Dwarfs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

    Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mbeya kuna tatizo kubwa, tunaomba viongozi wa makao makuu pamoja na wizara ya Nishati mliangalie hili. Hali ni mbaya sana. Kuna matatizo yafuatayo: 1. Ratiba ya kile kinachoitwa, "upungufu wa umeme" haifuatwi. Pamoja na TANESCO mkoa wa Mbeya kutoa ratiba hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Temeke: Mgawo mkali wa Umeme kuliko hata ule uliotangazwa, wanakata mchana na usiku hakuna ratiba

    Haieleweki sababu yake hasa ni nini , ukiuliza Wafanyakazi wa Tanesco hawana majibu ? bali wanasema kwamba wao wameelekezwa kukata tu. Tunafahamu kwamba Temeke mara zote inatajwa kuishi watu duni , lakini watu wake siyo duni kama Tanesco ilivyokaririshwa, wanazo akili na iko siku watalipa huu...
  3. JamiiForums Tanzania Ratiba ya tendo la ndoa kwa wanandoa na wachumba hudhoofisha upendo wa ndani ya ndoa na kuimarisha upendo nje ya ndoa

    Tendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba. Ni tendo muhimu sana linaloweza kuimarisha na kuchochea zaidi uimara wa ndoa au uchumba likitumiwa vizuri, kwa hiyari, ubunifu...
  4. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi mipango yenu ya kuipangia Yanga ratiba ngumu ili idondoshe point imezikwa rasmi, Mungu sio Athumani

    Kwakweli Hawa watu ni makatili sijawai Kuona, walikuwa wametega mtego mbaya sana dhidi ya yanga lakini wameferi na wameshindwa vibaya sana. Hii ratiba aikupangwa kwa bahati mbaya bali walikuwa wamedhamilia na walikuwa na Nia mbaya kabisa, yanga kacheza na Azam baada ya siku tatu kacheza na...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo ya kawaida saba lakini yatasababisha ufe mapema

    1: Kupenda kujitamkia kifo au kufakufa hata kama ni utani. Sisi watu wa maandiko tunamstari unasema, mtu atakula matunda ya kinywa chake. 2: Kustaafu kabla ya Muda wako Watu wanaostaafu kwa hiyari kabla ya muda wa lazima wanauwezekano mkubwa wa kufa mapema. 3: Matumizi ya vidonge vya usingizi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

    Huu ni mrejesho wa yenye kujiri: (a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya: 1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa: "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" 2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu. 3. Wajumbe...
  7. JamiiForums Tanzania Simba nendeni Misri kukamilisha ratiba. Ukuta wa Yericko umegeuka kuwa ukuta wa biskuti, kila mechi bao

    Nilikuwa nawashangaa sana mashabiki wa hii timu walivyokuwa wanatamba sana mitaani wakijiapiza kumfunga Aly ahly goli za kutosha! Lakini kwa wale wanaojitambua tulikuwa tunajua madhaifu ya mwakarobo na lilikuwa ni suala la muda tu kuzima tarumbeta zilizokuwa zinapigwa na vijana wa Rage, Baada...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya michezo ya CAF kwa timu za Yanga na Simba

    Mwenye ratiba ya mechi zote naomba aitupie hapa.
  9. JamiiForums Tanzania Kwa kipigo cha juzi na kwa hii ratiba ya mechi zao tano zijazo kuna mtu anaweza kurejea kwao Maradona Country kwa kufukuzwa

    Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza. Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam. Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam. Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam. Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga. Kila...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua ratiba ya mgao wa Umeme!

    Nchi ni ngumu sana hii.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mgao wa umeme

    Wadau Mimi nina mashaka Sana na suala la mgao/upungufu wa umeme? Hivi Kuna mgao mkali au kuna upungufu mkali? Kama hapa Mwanza Mjini ratiba haileweki usiku au mchana. Nimekaa wilaya ya Magu umeme kila siku kuanzia saa kumi na moja jioni wanakata. Huu Ni mfano hata Mwanza Katikati ya Jiji sehemu...
  12. JamiiForums Tanzania Juma Duni "Babu Duni" Mwenyekiti, ACT Wazalendo; ACT Tumefarijika Sana na Rais Samia Kubadili Sheria, Tunaomba Ratiba ya Utekelezaji

    Wanabodi Nimekutana Face2Face c̅ Juma Duni Haji al maarufu "Babu Duni" Mwenyekiti, ACT Wazalendo, amesema "ACT Wazalendo wamefarijika sana na hatua mbalimbali ambazo Rais Samia Suluhu Hassan anazochukua kuimarisha demokrasia nchini ambapo kikao cha Bunge cha mwezi October, kitapokea miswada 3...
  13. JamiiForums Tanzania Ratiba za CAF huwa zinapangwa kabla, hizi draw ni kiini macho tu

    Mimi huwa napenda kuobserve sana mambo, kwa hiyo mtanisamehe nikiwa naleta hoja ninazoitaga "hoja fukunyuku". Mechi ya kwanza lazima wangetaka iwepo Al Alhy au Wydad. Nimeedit huu uzi baada ya kurudi tena kuiangalia video ya draw baada tu ya kufungua huu uzi. Kuna vitu kadhaa nimeviona...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga shukuruni maana ratiba ya African Football League msingeiweza

    Yanga wamekuwa na tabia ya kuomba mechi zao ziahirishwe pale wanapokuwa na mfululizo wa mechi . Ni juzi juzi tu hapa tulikuwa tunajadili ni kwa nini mechi ya Yanga vs KMC iliahirishwa ilhali Yanga walikuwa wacheze na katimu kadogo ka ASAS Djibouti kwa mechi zote zilitakiwa kuchezwa Dar es Salaam...
  15. JamiiForums Tanzania Ratiba ya mkutano wa kumi na mbili wa bunge tarehe 29 Agosti – 08 Septemba, 2023

  16. JamiiForums Tanzania Anayejua ratiba za minada ya kila wiki ndani ya mikoa kati Dodoma, Morogoro na Tanga

    Kama nilivoandika hapo juu anayeajua ratiba za hii MINADA inayokuwepo ndani ya hii MIKOA naomba anisaidie na maeneo inayo patikana na siku gan ndan ya wiki. Hasa Dodoma 🙏🙏🙏🙏
  17. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ngao ya Jamii hii hapa, kupigwa jijini Tanga

    Hatimae TFF wameachia ratiba ya Ngao ya Jamii kwa timu nne ambazo ni Yanga, Simba, Azam na Singida. Mechi zote kupigwa katika dimba la Mkwakwani kuanzia August. Kwa ratiba hii unamuona nani akiwa bingwa?
  18. JamiiForums Tanzania TANESCO: SGR haitokosa umeme, ratiba kutovurugwa

    SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema reli ya kisasa (SGR) haitokosa umeme wala kukwama kufanya kazi kwa sababu ya kukatika au kutokea hitilafu katika miundombinu ya umeme. Kauli hiyo ilitolewa jana na Mhandisi wa Idara ya Mipango ya TANESCO, Lucas Magero, alipozungumza na waandishi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa wanandoa kupangiana ratiba ya kufanya tendo la ndoa?

    Ni sahihi kwa wanandoa kupangiana ratiba ya kufanya tendo la ndoa?
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni halali sehemu za starehe Ma DJs kupiga nyimbo za hovy na mbaya watakavyo kisa wameweka ratiba mziki wenye vybez upigwe saa7;usiku na kuendelea?

    Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja. Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏 Mimi mpambanaji, mjasiliamali, niliejipambanua kutafuta pesa Kama kipaumbele changu kwa mawanda mapama kwa sekta mseyo, ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…