Ratiba ya mgao wa umeme

seneni

New Member
Jul 28, 2023
4
2
Wadau Mimi nina mashaka Sana na suala la mgao/upungufu wa umeme? Hivi Kuna mgao mkali au kuna upungufu mkali?

Kama hapa Mwanza Mjini ratiba haileweki usiku au mchana. Nimekaa wilaya ya Magu umeme kila siku kuanzia saa kumi na moja jioni wanakata. Huu Ni mfano hata Mwanza Katikati ya Jiji sehemu kama Nyegezi umeme unakatika usiku.

Hofu yangu!! Kama kunamgao/upungufu kwanini ratiba isitoke nchi nzima? Pili; Hatuoni kukaa gizani muda wa usiku nihatari Sala Kwa usalam wa watu na Mali zao? Nawaza na sipati majibu!!!

Hili nijanga na kama Serikali suala la umeme walichukulie kama dhararu ya haraka ili kutatua hii kero vinginevyo tujue kabisa kuwa limeshindikana kwa miaka 60+ya uhuru.
 
Wako kudhalilisha wengine Huku:

https://www.google.com/url?sa=t&sou...wqsBegQIDBAG&usg=AOvVaw1TZLWU5phY9v1QPgqHvtml

Lakini siyo kina ma beans au ma ropes.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom