rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna Bora na Endelevu ya Kutatua Tatizo la Mrundikano wa Machinga Katika Maeneo Yasiyo Rasmi kwa Biashara

    Utguanlizi: Machinga ni jina maarufu wanaloitwa wafanya biashara ndogondogo wa mijini na vijijini kote nchini. Wafanyabiashara wa kundi hili wanatabia ya kuhamahama kutembea huku na kule kutafuta maeneo wanayoona wanapata wateja wengi wanaowaungisha bidhaa zao. Utamaduni huu wa kuhamisha...
  2. JamiiForums Tanzania kumbukumbu namba ya barua rasmi

    jamani walimu humu ndani naombeni mnieleweshe, unapoandika kumbukumbu namba, katika barua rasmi, kumbukumbu namba hiyo inahusiha mambo gani?
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mavazi rasmi kwa kazi

    Mavazi ya juu ya mavazi ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi Ili kuwa na maoni mazuri, lakini angalia mtaalamu na mtindo, angalia mavazi haya ya mavazi ya wanaume ambayo ni bora kwa mahojiano ya kazi. Unahitaji kuonyesha mwajiri kwamba unaweza kuvaa kwa hafla rasmi. Kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

    Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam. Chanzo: bavicha.tz Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi kishtakiwe rasmi UN

    Ni wakati muafaka Vyama vyenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wajiwezeshe na kujipanga ili kuishataki CCM katika Umoja wa Mataifa. Tunajua ipo kesi au madai ya WaZanzibari kudai nchi yao ambayo yamefikia mahala pazuri,ila hilo halitoshi kuona haki za binadamu zinakiukwa na wananchi wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Simba kwa huyu mgeni rasmi wa Simba Day leo, mmetuangusha sana mashabiki

    Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na kimipango lakini kuna jambo moja ambalo klabu imetukusea sisi mashabiki wa ukweli wa Simba. Tangu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Green Cup Shinyanga: Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda kuwa mgeni rasmi

    VIVA TANZANIA | VIVA UVCCM UZINDUZI WA UVCCM GREEN CUP KITAIFA, KAMBARAGE-SHINYANGA18/9/2021 __________________________________ MGENI RASMI : MH WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MJUMBE WA KAMATI KUU CCM TAIFA MIZENGO PINDA AKIAMBATANA NA MHE KENANI KIHONGOZI KATIBU MKUU UVCCM-TAIFA KARIBUNI SANA...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Shutuma Kubwa walizonazo sioni akina Sabaya na Mbowe wakikwepa kuyaanza Maisha yao mapya na rasmi Gerezani

    Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa. Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani. Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi...
  9. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa machifu Tanzania ataka Serikali iwatambue rasmi machifu

    Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
  10. JamiiForums Tanzania CEO wa Tigo aaga rasmi

    Ukiwa umepita mwezi mmoja tangu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom, Hishem Hendi kutangaza kuachana na kampuni hiyo baada ya kupata nafasi nyingine Hispania, Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Karikari ametangaza kuondoka nchini. Taarifa za kuondoka kwa Karikari zilizoenea tangu Ijumaa iliyopita...
  11. JamiiForums Tanzania Exhibition Fight Mwakinyo vs Twaha Kiduku

    Ili kuondoa kisingizio kisichokuwa na sababu ya msingi ya kumkwepa Twaha Kiduku. Ninashauri liandaliwe Exhibition Fight kati ya Hassan Mwakinyo vs Twaha Kiduku. Exhibition fight hakuna bondia atakayepungukiwa chochote akipigwa na hakuna atakayetangazwa mshindi kama raundi za mchezo zote...
  12. B

    JamiiForums Tanzania CCM wakubali badaliko rasmi

    Kuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano: Mwaka Juzi Tulishangilia Watumishi Walio Na Vyeti Feki Kufukuzwa, Leo Wamerudishwa Kazini Tunashangilia Tena. Juzi Tulishangilia Tozo Zilivyowekwa Leo Tozo Zimepunguzwa Tunashangilia Tena...
  13. JamiiForums Tanzania Hujuma Rasmi: sina hakika kama kufika Desemba Deluxe Dar-Arusha itakuepo tena

    Huu utakuwa uzi wangu wa pili kuzungumzia mradi huu ambao Hayati aliacha kama Legacy. Kwa wanaosafiri mara kwa mara wanaweza kuja na maelezo ya kutosha sababu nilichoshuhudia jumamosi ni hatari kwa Tanzania Railways Corp . Tumetoka Arusha usiku wa Jumamosi tumeingia Dar saa 10 jioni Jumapili...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi "KiziMkazi Day" Festival Visiwani Zanzibar Jumamosi Agosti 28

    Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA __________________________________ Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT, #KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao...
  15. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz atahamia Yanga?

    Msanii Diamond Platnumz aliweka wazi kuwa alianza kushabikia mpira na kuishabikia timu ya Simba mara baada ya kupata hamasa kutoka kwa swahiba wake Haji Manara. Kama hiyo haitoshi ,Diamond alilaani sana kipindi ambacho mabosi wa Simba walipoanza kumtolea maneno machafu Haji Manara na...
  16. JamiiForums Tanzania Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

    Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga ====== Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo...
  17. JamiiForums Tanzania Mafunzo rasmi ya uchawi:Je hirizi na tunguri zinatoaje taarifa kwa mmiliki wake?

    Mshana Jr tusaisidie majibu mujarabu
  18. JamiiForums Tanzania Lugha ya ishara kuwa lugha rasmi DRC

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imepanga kuiweka lugha ya ishara kuwa lugha ya tano rasmi nchini humo ukiongeza kwenye Kiswahili, kilingala, Kituba na Tshiluba. Lugha hiyo ya ishara itakuwa inafundishwa shuleni ili kuwasaidia watu ambao wanategemea lugha ya ishara kupata huduma za...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini masharti ya marehemu wakiyasema kabla ya kukata roho

    Asikudanganye Mtu popote pale ulipo kuwa kauli za Watu waliokufa namaanisha Marehemu wakizisema huwa hazitimii. Ni kwamba huwa hawatanii kabisa na wayasemayo hutokea na hutimia. Mwaka jana nilihudhuria Msiba Mmoja ambapo kumbe Marehemu wakati anakata Roho alisema akifa azikwe Dar es Salaam na...
  20. JamiiForums Tanzania Ninaomba tafsiri rasmi ya Communication skills

    Wanajopo habari ya Jumapili, Wale mnaokumbuka kozi/somo tajwa hapo juu, yani, COMMUNICATION SKILLS, ninawaomba Kiswahili chake rasmi. Shukrani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…