Exhibition Fight Mwakinyo vs Twaha Kiduku

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,427
21,118
Ili kuondoa kisingizio kisichokuwa na sababu ya msingi ya kumkwepa Twaha Kiduku.

Ninashauri liandaliwe Exhibition Fight kati ya Hassan Mwakinyo vs Twaha Kiduku.

Exhibition fight hakuna bondia atakayepungukiwa chochote akipigwa na hakuna atakayetangazwa mshindi kama raundi za mchezo zote zitakwisha, mshindi atatangazwa kama tu atashinda kwa Knockout.

Sasa kisingizio cha Mwakinyo cha kuhofia kupoteza nafasi yake nadhani halitakuwa na mashiko kwa sababu hata akipigwa bado ataendelea kubakia kwenye nafasi yake.

Tunachotaka ni heshima na tuondoe ubishi uliopo.
 
Screenshot_20210904-172750.png
 
Mkuu ule sio mdundiko kwamba unacheza unaburudika,ile ni vita ambayo wewe unalia mashabiki wako wanacheka.
 
Hiyo ni ndoto,sawa na kusema itokee siku kiba afanye ngoma na mond yaan ndoto ya mchana kabsa
 
yaani wapigane tuu kufurahisha umma hamna wanachoshindanieaaa woooiiiii

raha ya pambano lazima kuwe na zawadi ya ushindiii
 
Mwakinyo hana shida ya kufurahisha umma. Kama wanataka kufurahisha umma waandae pambano kati ya Kiduku na kingwendu. Dulla Mbabe na Joti nadhan umma utafurahi sana kwa kweli
 
Wakata vimeo mbona mnahangaika sana kutaka huyo bondia mavi wenu atembelee nyota ya Mwakinyo tu? Agangamale ajibebe mwenyewe. Hivi kweli Simba inaweza kushiriki kombe la mbuzi? Wacheni chuki za kichoko choko jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom