Katika Kikosi Kijacho cha Simba SC nisipokuwa nawaona hawa Wanaanza na hawa Wanasubiri naacha Kuishabikia rasmi

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali...

1. Kibu Denis
2. Osmane Sakho
3. Yusuph Mhilu
4. Jonas Mkude

Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench....

1. John Boko
2. Meddie Kagere
3. Chris Mugalu
4. Thadeo Lwanga

Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
 
Yote hayo ni majukumu ya Kocha. Sisi wengine kazi yetu ni kushangilia tu.

Hivi mnataka Simba tu ndio iwe inashinda?. Ligi itakuwa hainogi, tuache na wengine nao wawe wanashinda na kupata furaha. Bocco na Mugalu ndio wafungaji bora wa msimu uliopita na ndio walioipa ubingwa Simba.

Ndio maana Mo hajaingilia majukumu ya Kocha, kaamua aumie akiwa chumbani kwake, kwa kuwa anajua mpira una matokeo ya aina tatu.
 
Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali...

1. Kibu Denis
2. Osmane Sakho
3. Yusuph Mhilu
4. Jonas Mkude

Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench....

1. John Boko
2. Meddie Kagere
3. Chris Mugalu
4. Thadeo Lwanga

Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
Wewe ni mjinga sana na huenda sio shabiki wa Simba ila ni Manara. Sema jf ndo vile tunatumia id fake
 
Ila tuache utani simba ktk sehem muhim ambayo watakuja kujuta mwaka huu ni kiungo mkabaji na namba tisa kumkosa aucho alaf bado wakazalau kwa kumwamin lwanga watapata shida sana kucheza na timu zenye kiungo wasumbufu yule lwanga sio mkabaji mzur yupo slow na anacheza sana faulo
 
Wewe ni nani?

-Okay. Kumbe ni Mighter!

Kama nani?

-Maybe n Mganga

Maana kuna uzi wako unahamasisha Club ya Simba ibadilishe waganga na mbinu nyingi za kishirikina.

Unampangia nani sasa? / Una mcommand nani sasa?
i. Coach? ii. Bench ?

Panic zipo katika soka...Lakini hapa kwako sion kama n mtu ulipanic bali nakuona kijana Mjinga tu.
 
Ila tuache utani simba ktk sehem muhim ambayo watakuja kujuta mwaka huu ni kiungo mkabaji na namba tisa kumkosa aucho alaf bado wakazalau kwa kumwamin lwanga watapata shida sana kucheza na timu zenye kiungo wasumbufu yule lwanga sio mkabaji mzur yupo slow na anacheza sana faulo
Msimu uliyopita Lwanga hakucheza hiyo nafasi?
 
Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali...

1. Kibu Denis
2. Osmane Sakho
3. Yusuph Mhilu
4. Jonas Mkude

Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench....

1. John Boko
2. Meddie Kagere
3. Chris Mugalu
4. Thadeo Lwanga

Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
Ongezea Ajib mkuuu,
 
simba inajenga timu now ili kuweza kuwa bora zaid kama enzi za kina chama. Hii transition period ina try and error nyingi.
Kama ww ni shabiki maandazi hama timu au acha ushabiki huku ukisubiria timu irudi kwenye makali yake.

Afu simba mashabiki wengi wetu hatuna mioyo migumu kama YANGA. Embu imagine mtu anakosa vikombe mara nne mfululizo lakn hahami timu, na bado wanajaza uwanja na kwene mechi watu wanaenda mbali na matokeo mabaya.

Sisi huku timu kupoteza tumichezo tuwili na droo moja watu wanapaniki, mapresha kibaoooooo. Utafikri hatujawahi kufungwa, kudroo na Yanga na timu zingine wakati akina miksoni na Chama wapo. Acheni hizo tuvute subira wakuu. Mambo mazuri yanakuja.

Nb: Inabidi mashabiki wa ARSENAL watoe darasa kwa mashabiki wa timu yetu kwa kwli
 
Msimu uliyopita Lwanga hakucheza hiyo nafasi?
Ndio maana kunakua na usajili unaangalia wap kuna shida unarekebisha ,na kingine kucheza msimu uliopita sio ishu ishu kufanya vzur ata msimu uliopita ni vile simba tu ilikua vzur ukichanganya na udhaifu wa timu pinzan ndio maana alisaidia kwa kiasi chake lkn msimu huu wale wote ambao msimu uliopita tupo nao ktk ligi au champion ligi wengi wameangalia sehem gan ina shida wamerekebisha angalia mfano yanga leo hii ata mukoko bado hana uwakika wa namba eneo la kat wapo vzur sisi kuendelea kutegemea ukabaji wa lwanga mechi kubwa nying kama marefa wakiamua tutacheza pungufu
 
Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali...

1. Kibu Denis
2. Osmane Sakho
3. Yusuph Mhilu
4. Jonas Mkude

Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench....

1. John Boko
2. Meddie Kagere
3. Chris Mugalu
4. Thadeo Lwanga

Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
unamng'ang'ania mkude huyu mchezaji ameshapitwa na wakati si ajabu nyie ndio mnaong'ang'ania kina Ajibu waendelee kubaki Simba wakati mchango wao ni zero.
Simba kuna makosa walifanya kwenye usajili kama kutosajili washambuliaji wa nguvu kwani washambuliaji wetu wote Bocco, Mugalu hata Kagere benchi limemharibu hawawezi kupunguza beki. Fraga alikuwa anataka kurudi sana Simba ila ubahili umemfanya wasimrudishe lakini hiki kikosi wachezaji wakipewa nafasi tutaona mengi mazuri
 
Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali...

1. Kibu Denis
2. Osmane Sakho
3. Yusuph Mhilu
4. Jonas Mkude

Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench....

1. John Boko
2. Meddie Kagere
3. Chris Mugalu
4. Thadeo Lwanga

Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
Dah, aisee mashabiki wa bongo vichwani hampo sawa kabisa, yaan mnataka timu mwanzo tu wa Ligi ifanye vizuri, hao unaotaka waanzie bench wote ni wazuri Sana tu,na msimu uliopita walifanya vizuri pia, Ni mapema Sana kukosoa timu
 
Ila tuache utani simba ktk sehem muhim ambayo watakuja kujuta mwaka huu ni kiungo mkabaji na namba tisa kumkosa aucho alaf bado wakazalau kwa kumwamin lwanga watapata shida sana kucheza na timu zenye kiungo wasumbufu yule lwanga sio mkabaji mzur yupo slow na anacheza sana faulo
Amekuwa mzito kama Mkude yaani mzito sanaa sijui kawekewa nini miguuni.
 
Y
Ila tuache utani simba ktk sehem muhim ambayo watakuja kujuta mwaka huu ni kiungo mkabaji na namba tisa kumkosa aucho alaf bado wakazalau kwa kumwamin lwanga watapata shida sana kucheza na timu zenye kiungo wasumbufu yule lwanga sio mkabaji mzur yupo slow na anacheza sana faulo
Yaani kwa kifupi dunia ya soka ishaachana na aina ya viungo wakabaji wasiokuwa na ubunifu, wale viungo wa kumsubiri adui aje umkwatue ni enzi za akina Vieira, Makelele na Roy Keane.

Dunia ya sasa ya soka inataka ukiwa kiungo mkabaji basi lazima uwe mbunifu wa kupiga pasi murua zenye kufika kwa walengwa, uchezeshe timu katika eneo lako la kiungo cha kukaba kama wanavyofanya akina Jorginho, Fernandinho na wengineo!

Sasa Lwanga sio mbunifu yeye nguvu nyingi🚮🚮
 
Back
Top Bottom