rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sasa rasmi bei ya unga ni kubwa kuliko sufuria

    Leo nimenunua sufuria moja dogo kwa shilingi 2000 na bei ya unga mtaani kwangu kwa kilo ni sh 2200. Kwa lugha nyepesi ni rahisi kula masufuria na mboga kuliko kula ugali na mboga. Yapi maoni yenu wakuu.
  2. JamiiForums Tanzania CDF Mstaafu Mabeyo alivyoaga rasmi Watumishi wa Wizara

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Mstaafu, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo alivyowasili Wizara ya Ulinzi na JKT makao Makuu Mtumba, kwa lengo la kuaga rasmi kabla ya kustaafu kwa Umri wa Utumishi Jeshini. Akiongea wakati wa kikao cha Waziri na Menejimenti ya Wizara amesema kuwa mara hii...
  3. JamiiForums Tanzania Hatimaye wenye Simba SC yao ( Wazee wa Fitna na Umafia ) wamerejea rasmi Kuirudisha Simba SC tuliyoizoea

    CEO Barbara Gonzalez Siku zingine uache kuwa Mbishi hasa pale ukiwa unashauriwa kuwa pamoja na kwamba Wewe ndiyo kila Kitu kwa upande wa Malipo na Operations za Klabu ila ni lazima utambue kuwa huwezi kuwa na Mafanikio kama utawaweka pembeni Wazee wa Kazi Chafu na Umafia kwa Soka la Tanzania (...
  4. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nataka kuacha kazi ila nina mkopo Benki

    Habari za asubuhi? Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara. Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Dola ya Marekani kutumika rasmi nchini Zimbabwe baada ya mfumuko wa bei kuwa mkubwa

    Serikali ya Zimbabwe imetangaza mipango wa kutumia Dola ya Marekani kuwa fedha rasmi itakayotumika nchini humo kwa kipindi cha takriban miaka mitano ijayo, kutokana na mfumuko wa bei kupanda kwa kasi. Waziri wa Fedha wa Zimbabwe, Nthuli Ncube ametoa tangazo hilo baada ya mfumuko wa bei kufikia...
  6. JamiiForums Tanzania 7 PARIS, FRANCE – Rick Ross has five children, and one of them has officially made him a grandfather

    Erika Goldring/Getty Images RICK ROSS CELEBRATES BECOMING A GRANDFATHER FOR THE 1ST TIME PARIS, FRANCE – Rick Ross has five children, and one of them has officially made him a grandfather. On Friday (June 24), the Maybach Music Group boss took to his Instagram Story with a post revealing the...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya zuio la miaka 21, Tanzania yaruhusiwa rasmi kupeleka bidhaa ya nyama nchini Saudi Arabia!

    Baada ya zuio la miaka 21, Saudi Arabia imeruhusu kampuni mbili za kitanzania kuingiza nyama nchini mwao Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tueleweni jamani! Hii ni baada ya jitihada alizofanya kuongea na Serikali ya Saudi kutuondolea zuio hili Uchumi unafunguka kweli na nchi inafunguka...
  8. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi afungua kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani vijana kwa ajili ya kujiandaa na ushiriki wa Sensa

    KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AMEFUNGUA RASMI KAMPENI YA UHAMASISHAJI SENSA YA WATU NA MAKAZI VIJANA WATAKIWA KUWA 'MACHAMPION' WA SENSA KATIBU MKUU wa Jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi amefungua rasmi kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani...
  9. JamiiForums Tanzania Simba yatangaza rasmi kumaliza mkataba na SportPesa, mdhamini mpya mbioni kutangazwa

    Klabu ya Simba imekiri kuwa mkataba wa udhamini wa jezi kati yao na SportPesa umeshamalizika na kwa sasa wapo katika mazungumzo ya mkataba mpya na mdhamini mwingine. CEO wa Simba, Barbara Gonzalez amesema: “Mkataba wa SportPesa uliisha tangu Mei 11, 2022 lakini kibinaadamu tunaendelea hadi Juni...
  10. JamiiForums Tanzania Rally Bwalya atambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini

    “Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu. AmaZulu Football inajulikana sana kwetu Zambia kwa sababu watu wengi wanatazama PSL," kauli ya Rally Bwalya wakati akitambulishwa kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini. Timu hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania CCM yaridhia Katiba Mpya, kwamba ni takwa la Wananchi, je itaafikiwa na Wananchi?

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubaliana na umuhimu wa kupatikana katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa hivyo kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wake kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania wote. ==== 1...
  12. JamiiForums Tanzania Rasmi; Mnigeria Victor Akpan atua Simba S. C

  13. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge Daraja la II - 6 Posts

    EMPLOYER: Parliament of Tanzania APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kuandika majadiliano ya vikao vya Kamati na Bunge yaliyorekodiwa katika sauti; ii. Kuandika na kuhakiki michango ya maandishi ya Wabunge; iii. Kufanya uhariri wa awali wa nakala za...
  14. JamiiForums Tanzania Awamu ya sita inavyozikwa rasmi kwa kafara la sakata la Ngorongoro

    Wakuu, Awamu zote za serikali Ngorongoro haikuguswa kabisa! Wamasai waliachwa kama urithi wa ikolojia ya asili kwa Watanzania. Ngorongoro ilibaki kama utambulisho pekee asilia wa utamaduni wetu na tunu ya kujivunia ulimwenguni mwote. Wahusika wameamua KUTUMIA udhaifu wa serikali ya awamu hii...
  15. JamiiForums Tanzania Mwili wa Askari aliyeuawa Loliondo kwa mshale, waagwa na kusafirishwa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amemtaka aliyehusika na mauaji ya Askari Polisi kwa kutumia mshale wakati wa uwekaji wa mpaka Loliondo Mkoani humo ajisalimishe. Amesema hayo leo wakati wa kuaga mwili wa marehemu Garlus Mwita, ambao umepelekwa kwao Musoma Mkoani Mara.
  16. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu mkimpa tu 'Kura' zenu Injinia Hersi Said natangaza Kuhamia rasmi Simba SC

    Wengi wenu hamnifahamu ' Personally' hivyo koseeni tu mumpe Kura zenu za Njaa na Kutumika na GSM kwa kumpa Urais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kisha GENTAMYCINE nipandwe na Hasira zangu Kali za Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi kutoka nchini Rwanda na niitoshe 'Press Conference' ya Kutangaza rasmi...
  17. JamiiForums Tanzania Mzazi wako anapokuwa kwenye mahusiano rasmi yaheshimu kama kweli unampenda

    Wengi tungependa kuishi na kulelewa na wazazi wetu waliotuzaa lakini maisha yana changamoto nyingi. Kuna wanaozaliwa na wazazi wanapoteza maisha, wengine ni matokeo ya kubakwa, wengine ni mimba za ujanani wakati wazazi wote hawana dira za maisha. Wengi wetu pale unapomuelewa mtu na kuanza...
  18. JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa; mlio nje ya Ajira Rasmi kazeni Buti. Wenzangu jobless nafasi yenu kwa busara yangu ukajiajiri, utakuja kunishukuru

    Jiajiri utaepukana na mateso manyanyaso na kuabudia binadamu asiye na shukran. Marais na viongozi wetu wanafanyakazi ya ziada Sana. Katika utendaji kazi Kuna Mambo mengi yamefichikamana. Hutaona mapema. Jiajiri na hakikisha unaongeza ujuzi mara Kwa mara kw kile unachoamini utatusua. Hata kama...
  19. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi nathibitisha hakuna 'Upinzani' Tanzania bali kuna 'CCM Upinzani' tu Tanzania kwa sasa

    Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania. Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa...
  20. JamiiForums Tanzania Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

    Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu.. Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki.. "Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu" Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…