rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wahitimu wa Ualimu wajitolee kufidia uhaba wa Walimu, na wenye kigezo hiko wapewe kipaumbele cha ajira

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Sababu ya majibu ya kura za Urais kutofautiana ni kwa kuwa matokeo yote siyo rasmi

    Sababu ya mwendelezo wa matokeo ya Urais kutofautiana katika vyombo vya habari sababu imeelezwa ni kwa kuwa wamepewa ruhusa ya kuhesabu kutokana na vyanzo vyao lakini matokeo rasmi ni yake ambao yatatangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) baada ya zoezi la kuhesabu kura kukamilika...
  3. JamiiForums Tanzania Nimejiunga rasmi JF na mimi hatimaye

    Nimekuwa mfuatiliaji wa JF kitambo. Na kiukweli nimejifunza mengi nimeburudika na nimeona umuhimu wa kushiriki kama member. Hatimaye leo nimefanikiwa . Naomba mnipokee wana JF hasa GTs. Mungu ibariki JF.
  4. JamiiForums Tanzania Simba yampa mwaliko Rais wa CAF, Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi Simba Day 2022

    Klabu ya Simba imetuma maombi kwa Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day ambapo wanatarajiwa kucheza dhidi ya Saint George ya Ethiopia, kwenye Uwanja wa Mkapa, Jumatatu Agosti 8, 2022. Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA yafunguliwa rasmi Tabora

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Agosti 4,2022 amefungua mashindano ya umoja wa michezo na taaluma kwa shule za msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora. Source: 2eyezmedia
  6. JamiiForums Tanzania Leo EPL inaanza rasmi: Natabiri Arsenal kufa 2 kwa Crystal Palace

    Ikiwa ligi kuu ya uingereza inaanza leo kaa karibu yangu niweze kukubashiria matokeo sahihi ya weekend hii! Kwa kuanza Arsenal anakufa 2-1. Chelsea anadraw 1-1 Liverpool anashinda 3-1 Spurs anashinda 4-0 Newcastle anashinda 2-1 Aston villa anadraw 0-0 Leeds anadraw 2-2 Westham anashinda 1-0 Man...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mandonga anastahili kurithi mikoba ya Haji Manara na kuwa msemaji rasmi wa klabu ya Yanga

    MANDONGA ANASTAHILI KURITHI MIKOBA YA HAJI MANARA NA KUWA MSEMAJI RASMI WA KLABU YA YANGA Apoteza pambano lakini anafaa kuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga kwani anao weledi mkubwa wa kujieleza, ucheshi, uhamasishaji, kutokata tamaa & anakubalika sana na Watanzania wengi! Twende na Mandonga...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mradi uliokwama kwa miaka 24 wafufuliwa rasmi

    Waziri wa Nishati, January Makamba amefika kwenye Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe na kufika kwenye mradi wa kufua umeme kwa Njia ya Maji wa Rumakali (MW 222) wenye thamani ya Shilingi 1.4 Trilioni uliosanifiwa tangu mwaka 1998. Mbele ya Waziri Makamba, Wananchi wamesema walishakata tamaa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Amini usiamini, Tanzania hadi sasa ina flyover mbili (2) tu zinazofanya kazi rasmi

    Maana kwanza nicheke, hivi hii nchi tunaambiwaga ina watu milion 60 ni kweli au ni nadharia? Yaani flyover 1 kwa watu milioni 30?! Hivi hii inaingia akilini kweli? Hebu tusubiri Sensa tuone, hadi majibu ya Sensa yatoke ndio ndio nitaamini
  10. JamiiForums Tanzania Pombe ni Ndugu wa madeni

    Salamu wakuu. Kwanza namshukuru Mungu mmoja kwa imani yangu kunijalia afya na pia kunifanya niwe mbali na pombe yaani kunywa pombe. Kimaisha nashukuru hapa nilipofika lakini bado safari ni ndefu japo kuwa umri wangu bado kijana sana. Mimi nilikuwa mnywaji wa pombe mzuri sana nilianza na...
  11. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi Mzigo Umekata, Aziza Kazimaliza zote Boss hakutoa Hela, ila Wabunge ndiyo walichangishana Kuokoa Jahazi

    Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
  12. JamiiForums Tanzania Mnamuonaje Yassin Mustapha? Singida Big Stars tumemsajili rasmi

    Watu wa Soka, Tumefanikiwa kuinasa saini ya Beki Imara kutoka Klabu ya Yanga, Yassin Mustapha Salum. Atakuwa nasi kwa mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC. Beki wa maana sana huyu! !
  13. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kibatala ajiondoa kumtetea Freeman Mbowe kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili

    Kumezuka tetesi ya kujitoa kwa uwakilishi wa wakili Peter Kibatala katika kesi ya ugaidi iliyokuwa ikimkabili mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani CHADEMA, ambapo taarifa hizo ziandai kuwa kuanzia wakati huo wakili Peter Kibatala alikuwa amejitoa rasmi katika kesi ya Freeman Mbowe.
  14. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi, TAMISEMI imemshinda Bashungwa, imebidi Waziri Mkuu aingilie kati, ndio wizara yenye kelele za uozo

    Bashungwa, Waziri kijana, ambaye ilitarajiwa "damu iwe inachemka" awe anapanda na kushuka,anakaba huku na kule, ameonekana Mzee kuliko Waziri Mkuu. Waziri Mkuu anaenda Arusha, anaenda Singida, anajua mambo ambayo alitakiwa Bashungwa awe ameshayajua na kuchukua hatua....hamna kitu. Alikuwa na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo Mgeni Rasmi kikao cha Wakuu wa Shule za umoja wa wazazi Tanzania

    CHONGOLO MGENI RASMI KIKAO CHA WAKUU WA SHULE ZA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA- ASUBUHI HII. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, Leo Ijumaa tarehe 15 Julai, 2022 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha Wakuu wa Shule za Umoja wa Wazazi Tanzania. Kikao hicho...
  16. JamiiForums Tanzania Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

    Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC. Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani...
  17. JamiiForums Tanzania Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

    Leo tarehe 12/7/2022 ni siku muhimu sana kwa wapenzi wa space exploration. Furaha hii inachangiwa na NASA wakishirikiana na agencies wengine kuweza kutoa rasmi picha na tafiti za kwanza kabisa kutoka katika darubini 🔭 ya JWST. Kabla ya kuendelea ningependa kushare na wewe msemo huu kuwa ili...
  18. JamiiForums Tanzania Rayvanny aaga rasmi WCB- Wasafi, ashukuru kwa fursa aliyopewa ya kuwa mwanafamilia wa Wasafi

    Msaani Rayvanny ameweka vedio fupi kwenye akaunti yake ya Instagram, anayoeleza kuwa alikuwa WCB, Wasafi kwa muda wa miaka 6, amepata vitu vingi ikiwemo tuzo kubwa mbalimbali pia kuwa msanii wa kwanza kupanda katika majukwaa makubwa Duniani. Amesema kuwa anamshukuru Diamond kwa kumpa nafasi...
  19. JamiiForums Tanzania RASMI: Singida Big Stars tumeinasa saini ya Abdulmajid Mangalo kutoka Biashara United

    Watu wa Soka, Kuanzia sasa Abdulmajid Mangalo ni BIG STAR. Tumemuongeza kikosini Nahodha huyu kutoka klabu ya Biashara United na tutakuwa nae kwa mkataba wa miaka miwili. Mangalo ni mchezaji anayemudu kucheza nafasi mbalimbali uwanjani hususani beki wa kati, amesaini nasi baada ya kumalizana...
  20. JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu Bwana Johnson amesema alijaribu kuendelea kuwa madarakani na inamuuma kuona hataweza kumalizia mipango yake aliyojiwekea. Boris Johnson amesema kuwa inamuuma kupoteza kazi bora kabisa katika Dunia Boris Johnson...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…