Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC.

Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani kununua mchezaji huyo. Kiasi cha Tsh Milion 400 ndicho kilitumika kuipata saini ya kinda hilo linalo tegrmewa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Burkina Faso.

Ilimbukwe Stephane Aziz KI ameamua kujiunga na mabingwa hao akikataa offer mbalimbali ikiwemo ile ya wapinzani wao wa jadi Simba SC.

Stephane Aziz KI amekamilisha kufanyiwa vipimo vya afya siku ya tarehe 14 mchana katika Health Facility maalumu ya wanamichezo inayoitwa “G Medical Center” inayomilikiwa na Boss wa GSM.

Aidha Stephane Aziz KI atajiunga na wachezaji wenzake baadae wiki hii kukamilisha utatu mtakatifu unaoitwa: MOMAKI

Bernard Morrison
Fiston Mayele
Stephane Aziz KI

1.png

2.png
 
Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC.

Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani kununua mchezaji huyo. Kiasi cha Tsh Milion 400 ndicho kilitumika kuipata saini ya kinda hilo linalo tegrmewa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Burkinafaso.

Ilimbukwe Stephane Aziz KI ameamua kujiunga na mabingwa hao akikataa offer mbalimbali ikiwemo ile ya wapinzani wao wa jadi Simba SC.

Stephane Aziz KI amekamilisha kufanyiwa vipimo vya afya siku ya tarehe 14 mchana katika Health Facility maalumu ya wanamichezo inayoitwa “G Medical Center” inayomilikiwa na Boss wa GSM.

Aidha Stephane Aziz KI atajiunga na wachezaji wenzake baadae wiki hii kukamilisha utatu mtakatifu unaoitwa: MOMAKI

Bernard Morrison
Fiston Mayele
Stephane Aziz KI
 
Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki alfajiri hii ametambulishwa rasmi kujiunga na mabingwa wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans (Yanga)

Ki Aziz anajiunga Yanga akitokea timu Y Asec Mimosas ya Ivory Coast, na anakuwa ni mchezaji wa tano wa kigeni kusajiliwa na Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa ligi na kwenye mashindano ya kimataifa
 
Una uhakika Simba walituma offer kwake? Au unajitekenya mwenyewe? Simba walishasema tangu mwanzo huyo dogo hakuwa kwenye mipango yao.

Binafsi nilishangaa, kama ni mchezaji mzuri how comes asipate offer vilabu vikubwa huko?#kuna watu wamekurupuka#Muda utaongea
 
Hata Mayele alivyokuja tuliyasema hayahaya.

“Kama kweli ni mchezaji mzuri basi angepta timu huko nje, ama sehemu nyingine”

Tumekwisha kalilishwa kuwa wachezaji wazuri ka Shaban Djuma, Diarra, Feisal, Aucho na Mayele hawawezi kucheza Yanga SC.

Tunawaomba tuendelee kuamini hivyo hivyo.

Hakuna aliye amini pia Stephane Aziz Ki anaweza kucheza Yanga SC ndio maana wengi walikesha mpaka saa 9 kuona na kuthibitisha usajili wake.
 
Una uhakika Simba walituma offer kwake? Au unajitekenya mwenyewe? Simba walishasema tangu mwanzo huyo dogo hakuwa kwenye mipango yao.
Binafsi nilishangaa, kama ni mchezaji mzuri how comes asipate offer vilabu vikubwa huko?#kuna watu wamekurupuka#Muda utaongea

IMG_0650.jpg

Hersi alifahamu wengi hawato amini.

Ndio maana akawaweka Macho na mkeshe kwa lazima mpaka saa 9:10 Usiku.

Huu si uwasilishi wa habari bali ni ushabiki

Kama mwenyeji kidogo na jukwaa hili basi utakuwa si mgeni na ID iliyotumika kupost hii taarifa.

Akili zikiwa timamu hutojali kukisia ushabiki wa mleta uzi.

Mimi ni shabiki maarufu wa UTOPOLO FC hapa jukwaani. Wala si muandishi wa habari.

Unaweza nunua gazeti ifikapo asubuhi ili kuhakikisha kama kweli Aziz Stephane Ki amejiunga na Yanga SC au ni ushabiki tu.
 
Ongerenii yanga kwa kumleta mchezaji mipancha pancha kwangu naona mmesajili garasa tu bora Yipe huyu hakuna kitu mchezaji kachoka sana huyu ongereni.
FB_IMG_16578447482187599.jpg
FB_IMG_16578444662315289.jpg
 
Unatambulishaje nchezaji saa nane usiku kama sio uchawi ni nini

Inategemea uko nchi gani.

Ila wafanya kazi walio wengi kwenye idara ya digital ya yanga sc wako likizo fupi nchini marekani.

Hivyo wakipost taarifa kule saa 10 jioni ya marekani huku unaipata saa 9 usiku.

Pole sana kwa UCHOVU.

Kukesha sio mchezo aisee, mwaka huu mtafika mmechoka mno.
 
Una uhakika Simba walituma offer kwake? Au unajitekenya mwenyewe? Simba walishasema tangu mwanzo huyo dogo hakuwa kwenye mipango yao.
Binafsi nilishangaa, kama ni mchezaji mzuri how comes asipate offer vilabu vikubwa huko?#kuna watu wamekurupuka#Muda utaongea
Kinyoooooonge sana mkuu, unaumia
 
Back
Top Bottom