rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sikatai Tundu Lissu kurejea Tanzania, ila je, ameshahakikishiwa na kujihakikishia pia Usalama wake akirudi rasmi?

    Je, wale Maadui zake wapo au labda wameshakuwa Executed na waliopanga ile Mission dhidi yake? Je, ana uhakika kuwa hakuna Mabaki ya Maadui zake waliomfanyia Tukio baya Dodoma yamebaki na kwamba huenda kwa Hasira walizonazo kwa Kumkosa basi Safari hii akirejea watahakikisha Wanamaliza Shughuli...
  2. JamiiForums Tanzania Chawa wa mama yazinduliwa Rasmi

    Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋 Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan Kazi iendelee
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi hitimisho la matembezi ya UVCCM kitaifa Paje, Zanzibar kusheherekea kumbukumbu za miaka 59 ya Mapinduzi

    Wazalendo amani iwe kwenu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufungaji wa Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kuadhimisha Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Hafla itakayofanyika tarehe 10, PAJE - KUSINI...
  4. JamiiForums Tanzania NECTA kwa kushirikiana na serikali naona mnaenda kuizika rasmi elimu ya Tanzania

    Heri ya mwaka mpya kwa wadau wote,tumshukur Mungu hasa kwa yote anayoendelea kutujalia Wadau wengi ukiwauliza kuhusu matatizo na changamoto za elimu ya Tanzania bas watakutajia upungufu wa walimu, upungufu wa miundombinu kama madarasa, vyoo n.k Lkn najua wengi wetu hatujaingia ndani kabisa na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

    Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa. Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
  6. JamiiForums Tanzania Ronaldo atua rasmi Al Nassr

    Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo amesaini mkataba mpya na klabu ya Al Nassr ya nchini Saudi Arabia. Mkataba huo utamfanya kuwa mchezaji anyelipa zaidi na atasalia klabuni hapo hadi 2025. Ronaldo mwenye umri wa Miaka 37 amekabidhiwa jezi namba 7.Al Nassr ni...
  7. JamiiForums Tanzania Cody Gakpo atua rasmi Liverpool

    Kiungo mshambuliaji mpya Liverpool Cody Gapko aliyesajiliwa kutoka klabu ya PSV ya Uholanzi msimu huu amehusika katika magoli 21katika mechi 14 za ligi kuu ya Uholanzi alizocheza. Amefunga jumla ya magoli 9 na kutoa pasi za magoli (assist) 12, Liverpool wamemsajili Gapko kwa dau la pauni...
  8. JamiiForums Tanzania Leo namaliza rasmi Utata wa Manzoki kuja Kuichezea Simba SC Dirisha hili Dogo

    Wana Simba SC Wenzangu kuanzia leo anzeni Kumsahau na kuachana nae kabisa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki kwa nina Uhakika wa 100% na najiamini kabisa kuwa hatokuja tena Kuichezea Simba SC hasa kwa Dirisha hili Dogo labda itokee tu kwa Msimu ujao. Hivyo basi niwaombe Mwenyekiti wa Bodi ya Simba...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Hakainde Hichilema afuta rasmi Adhabu ya Kifo Zambia

    #JFDATA: Kati ya mwaka 2015 hadi Desemba 2021, Watu 28,670 Walihukumiwa Kifo duniani kote kwa njia ya Kunyongwa, Kupigwa Risasi, Kukatwa Kichwa na Kuchomwa Sindano ya Sumu. Mwaka 2021 pekee Watu 2052 Walipewa Adhabu ya Kifo kwenye Nchi 56 ikiwa ni Ongezeko la 39% na 579 kati yao Wameshauawa...
  10. JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati rasmi wa kuongea ukweli kuhusu Fiesal

    Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga. Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal. Tumeshakubali kwamba ameondoka. Hatumuhitaji please. Msije kushangaa akizomewa.. Na kwa wewe unaesema msimponde Fei kutaka kuondoka...
  11. JamiiForums Tanzania Feisal Salum (Feitoto) aaga rasmi Yanga

    Umekuwa wakati mzuri sana kuichezea klabu ya Young Africans SC (Yanga) klabu yenye historia kubwa na ya kuvutia chini na Afrika yote. Tumekuwa na nyakati nyingi mchanganyiko, tulifurahi pamoja pale furaha ilipokuja elekeo wetu na tulihuzunika pamoja nyakati mbaya zilipotutokea. Nitakumbuka...
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025, nitakuwa Raia wa Marekani rasmi

    Nina kitambulisho utaifa cha NIDA ambacho kitakachoisha mwaka 2025 ambapo automatic nakuwa sio mtu wa Taifa hili hadi ni-renew. Kutokana na michakato kuwa mingi ya kupata kitambulisho NIDA sitakuwa na muda wa kutafuta kingine hivyo inabidi nirudishwe nchini kwetu, Marekani ili nisiendelee kukaa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani ni nani? Nina barua yake

    Wakuu heshima kwenu! Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia. Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze kumfikishia.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa nani zaidi kati ya Messi na CR7 wafungwa rasmi kibabe: Inahitaji mtu awe na kinasaba cha ubishi kuendeleza mjadala huo!

    Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo. Nikiri kwamba mimi ni timu CR7 lakini nimenyoosha mikono!! Messi ni zaidi ya kuwa zaidi! Wenye vinasaba...
  15. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania: Ukabila na Ukanda sasa rasmi, mwanzo wa kuanguka umoja wa Kitaifa-Uchaguzi wa CCM umedhihirisha!

    Sisi tulio makabila madogo na tulio pembezoni, tulionya sana katika miaka y karibuni juu ya kujitokeza vashiri vya Ukanda, Udini na Ukabila katika siasa za nchi. Sasa zimeanza kujitokeza dhahiri na kwa kila mtu kujionea kwa macho yake yanayoendelea nchini. Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili...
  16. JamiiForums Tanzania Rasmi Urusi, Marekani zabadilishana wafungwa

    Nyota wa mchezo wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner amerejea nyumbani akitokea Urusi baada ya mabadiliko hayo huku Viktor Bout akirejea upande wa pili baada ya kuwa kifungoni kwa Miaka 12. Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Griner yupo salama na alikuwa njiani kurejea nyumbani akipitia...
  17. JamiiForums Tanzania Penzi la Harmonize na Kajala Limevunjika Rasmi

    Guys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala... Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa. Show ya mwisho ya Harmonize, Harmonize alikuwa anaongea na simu, yani very busy kwenye simu. Kajala...
  18. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tecno imezindua rasmi zigo la Disemba

    Kampuni ya Simu ya Tecno yazindua rasmi promosheni ya kufunga mwaka kwenye makao makuu yao Jijini Dar es Salaam wakiwa na balozi Kibwana Ally Shomari. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Meneja masoko wa kampuni ya TECNO Bi Salma Shafi amesema katika msimu huu wa Kombe la Dunia na sikikuu za...
  19. JamiiForums Tanzania Matokeo ya darasa la saba yametangazwa leo 1/12/2022

    BARAZA LA mitihani Tanzania (NECTA) Linatarajia kutangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi leo. NECTA wametoa taarifa hizo katika kurasa zake za mitandao ya kijamii. Unaweza kuangalia matokeo hayo katika tovuti za NECTA na tovuti nyingine mtandaoni. ======== Baraza la mitihani Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Wageni rasmi wenye tija

    Nimejaribu kuhudhuria sherehe mbali mbali kwa miaka kadhaa; sherehe za mashule, vyuo, mambo ya ujenzi n.k Na katika hizo sherehe nimeona tofauti kubwa kwa wale wageni rasmi, wanaopewa nafasi hizo. Katika risala, huwa kuna kipengele cha kuelezea changamoto walizonazo, na zinazoitaji utatuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…