Matokeo ya darasa la saba yametangazwa leo 1/12/2022

Newbies

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
1,476
2,147
BARAZA LA mitihani Tanzania (NECTA) Linatarajia kutangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi leo. NECTA wametoa taarifa hizo katika kurasa zake za mitandao ya kijamii. Unaweza kuangalia matokeo hayo katika tovuti za NECTA na tovuti nyingine mtandaoni.

========

Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) Limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi 2022

Angalia matokeo hapa:
Matokeo ya darasa la saba 2022
 
Matokeo ya darasa la saba mwaka 2022 yalikua yakisubiliwa kwa hamu na watanzania walioweni. Matokeo hayo mara nyingi hivi karibuni yamekua yakitoka mapema tu baada ya kufanyika kwa mtihani wa lasaba.
kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 30 mwei wa kumi,.
Necta imetangaz kuwa matokeo ya la saba 2022 yatakuwa live leo muda wowote.

katika thread hii tutakuwekea updates zote za matokeo hayo ya darasa la saba. Usibandike ndani ya JF

Update zingine zitakuwa kwa link hii hapa chini
 
Hivi kwa shule ambazo matokeo yanaonesha *W inamaanisha nini?

Je ni withheld kwa maana ya kushikiliwa au Ndio kufutiwa kwenyewe?

Je na kwa Wanafunzi waliandikiwa hivyo au kufutiwa wanaweza kuruhusiwa kuendelea na masomo kwa shule za Private?
 
Hili swali pia nami najiuliza!
 
Hivi kwa shule ambazo matokeo yanaonesha *W inamaanisha nini?

Je ni withheld kwa maana ya kushikiliwa au Ndio kufutiwa kwenyewe?

Je na kwa Wanafunzi waliandikiwa hivyo au kufutiwa wanaweza kuruhusiwa kuendelea na masomo kwa shule za Private?
Hiyo ndo basi tena. Labda afanye mtihani kama private candidate
 
BARAZA LA mitihani Tanzania (NECTA) Linatarajia kutangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi leo. NECTA wametoa taarifa hizo katika kurasa zake za mitandao ya kijamii. Unaweza kuangalia matokeo hayo katika tovuti za NECTA na tovuti nyingine mtandaoni.

========

Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) Limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi 2022

Angalia matokeo hapa: Matokeo ya darasa la saba 2022

Not Found

The requested URL was not found on this server.
 
Ha ha haaaaa...hapo lazima jamaa achanganyikiwe Ila kuiba pepa kubaya jamani
Kweli ni kubaya, na hapa Ndio inakuwa kubaya Mara mbili au tatu! Mtoto nimemsomesha kwa gharama kwa miaka kumi katika shule husika, hlf mwishoni ndio yanatokea haya mbaya zaidi si kwa utashi wangu wala wa mtoto bali kwa tamaa za wamiliki wa shule (hisia zangu). Unaona jinsi inavyoathiri Wazazi na Mtoto husika?

Fikiria darasa zima linafutiwa matokeo kwa ujinga, upumbavu na uzembe wa shule!
 
Back
Top Bottom