NECTA kwa kushirikiana na serikali naona mnaenda kuizika rasmi elimu ya Tanzania

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Dec 24, 2014
609
1,006
Heri ya mwaka mpya kwa wadau wote,tumshukur Mungu hasa kwa yote anayoendelea kutujalia

Wadau wengi ukiwauliza kuhusu matatizo na changamoto za elimu ya Tanzania bas watakutajia upungufu wa walimu, upungufu wa miundombinu kama madarasa, vyoo n.k

Lkn najua wengi wetu hatujaingia ndani kabisa na kujua matatizo mengine zaidi.
Nikiwa katika harakati za matembezi yangu ya mwisho wa mwaka, safari hii nilibahatika kukutana na baadhi ya waalimu kama sita wa masomo tofauti nadhan walikua tayari wametoka kwenye uchakataji wa mwisho wa vijana wetu wa kidato cha pili na nne.

Kama mdau wa elimu niliyoyasikia kupitia hao walimu kama ni kweli basi elimu yetu haipo mwisho kabla haijaanguka kabisa na kuzikwa rasmi.

Mimi kipindi hicho nilikuwa nikisika mwalimu kapata nafas ya kwenda kufanikisha hatua muhimu kabisa ya vijana wetu bas nilikua nawaonea wivu kwelikweli mana nilijua lazima maslah yatakuwa bora kwelikweli lkn hadi pale nilivobahatika kukaa na hao walimu sita wa masomo tofauti na hapo ndio nikagundua bado kuna tatizo la msingi sn na kama serikal na NECTA wakileta masihara bas tunaenda kuizika rasmi elimu yetu.

Hivi tunaweza amin kwamba hawa walimu licha ya kwamba inaitwa kaz maalumu lkn eti mwisho wa siku huyu mwalimu anapewa sh laki tano (500,000)ya kazi licha ya kufanyishwa kazi siku nzima hadi usiku.

Kwa masikitiko niliyoyaona kupitia walimu hawa naamini wanaenda huko kwa sababu hawana cha kufanya lkn pia hawana furaha kabisa na hicho kinachoitwa kaz maalumu na mwisho wa siku naona siku zijazo kuna uwezekano kazi hii ikawa inafanywa tu irimradi na hivo kupoteza weledi wote na hivo mwisho wa siku kupata watoto ambao uwezo wao haueleweki.

Yan hata tu zile posho mpya zilizotangazwa na serikali hivi karibun pia hawa walimu hawajapewa kwa kisingizio kuwa bado hazijaanza fanya kaz lkn cha ajabu kada nyingine kama polisi, wanajeshi, watendaji, madaktari na wengineo wanaendelea kulipwa hizo posho mpya lkn inapokuja suala la mwalimu kulipwa kila mtu analeta uhuni usiokuwa na maana kana kwamba mwalimu sio mtumishi wa nchi hii.

Walimu hawa pia wanadai kumbe inaonekana kila mwalimu kwa siku katengewa kama sh25000 au 30,000 kama sikosei hio ni kwa ajili ya chakula, vinywaji na malazi lkn cha ajabu kinachofanyika hakilingani kabisa na hio pesa yan kila mtu anataka kupiga hapo hapo.

Mimi naamini serikali inatoa hela nyingi sn tena kwenye tukio la muhimu kama hilo la kumalizia kuwachuja vijana wetu lkn najua kuna watu wachache sana wanatake advantage kitu ambacho si sahihi.

Hivi kweli unamtoa mtoto wa mtu Ruvuma huko unakuja kumpa shilingi laki sita sijui saba au tano hela ambayo amezoea kuipata kwenye mitihani yao ya ndan ya MOKO lkn unakuja kumpa huyu mwalimu bila kuangalia athari zake mbelen.
Tena mbaya zaidi hela yenyewe inatolewa mwishon wakati kazi imeisha kitu ambacho kinaonesha kutojiamin na kuficha ukweli makusud mana kama mnajiamin na kazi yenu kwanini msiwaambie hao walimu mwanzon kabisa wa kazi kiwango watakachopokea had hio kaz inakuja kuisha na kwanini mnafanya siri kwenye tukio muhimu la nchi kama hilo maana ndo sehem pekee ambapo maisha ya vijana wetu yanaandaliwa lkn watu wanaleta uhuni kana kwamba hawajui athari zake.

Ni wakati wa serikali kwa kushirikiana na NECTA kuanza kulipa umuhimu mkubwa wa kimaslahi suala hili nyeti la nchi ili kuongeza weledi zaid na kupata vijana kweli wenye sifa na wanaostahili lkn ikiwa tu watazingatia utulivu wa akili kwa mwalimu huyu kwa kujitahidi angalau kutimiza maslahi yao kama inavyotakiwa.

Mwanajeshi anakwenda kulinda aman nje anapewa hela nzur ni kwa sababu anashika silaha lkn huyu mtu anaetengeza watoto wetu kila siku tunashindwa mpa hata milion 2 kweli tunaishia kumpa malaki tano sijui sita huko.

Kama imeshindikana na inaonekana labda kwenye elimu kuna mzigo mkubwa pelekeni mapendekezo ya sisi wazazi kuchangia sh 5000 kwa mtihani wa kidato cha nne na sh3000 kwa mtihani wa kidato cha pili ili angalau kukidhi baadhi ya mahitaji ya hawa wataalamu wetu.

Hii haikubaliki jamani hebu hawa wataalamu wetu waanze kutazamwa kwa jicho la tatu mana tunachokitafuta tutakuja kukipata baada ya miaka 15 au 20 mbeleni huko

Mana kuna msemo usemao taifa linalodharau elimu ni taifa linalojichimbia kifo chake chenyewe

Naomba kuwasilisha kama mdau muhimu wa elimu
 
Hebu jaribu kusema kwenye serikali Lawama iende wapi hasa. Ili tuboreshe uwezo wa kulaumiana..Nani Kanyima elimu na maslahi kipaumbele?. Ili tushauri avuliwe cheo
IMG-20230105-WA0020.jpg
 
Nilifikiri unaongelea hoja za namna ya kuboresha mapungufu yaliyopo pale baraza la mitihani.

NAKALA:

mpwayungu village -Aione kwenye jalada.
Matatizo ni mengi sn lkn hili sidhan kama liwewahi ongelewa na nadhan ndilo lauhimu sn,

Kwan ukiboresha nadhan hata hayo mapungufu ya ndan yanaweza yasionekane sn
 
Suala la malipo hilo linakuwa ni bajeti ya serikali na si baraza la mitihani sababu hata viongozi waandamizi wa baraza wanasubiri malipo yao kutoka serikalini sababu serikali ndiyo mlipaji mkuu.

Kingine tambua walimu wana roho mbaya kuliko kuliko watumishi wote duniani. Inavyoonekana na wewe ni mwalimu sasa waliona wakikwambia wamekunja m2+ utawaletea kiwingu cha njaa.
 
Tangu siku nyingi NECTA na serikali wameisha iharibu elimu. Wamepotezea wanafunzi muda kwa kuwafundisha vitu na kuwapa mitihani ambayo matokeo yake yataua kabisa hata kile kidogo walichofundishwa.

Hii kali, unamfundisha mtu miaka minne au sita unampa mtihani asipofikisha alama zilizopangwa eti ndiyo ufaulu unamtangazia amefeli mtihani hata kuuza panado duka la dawa haruhusiwi.

Kulikuwa na umuhimu gani kumfundisha mtu kemia, fizikia na bayolojia wakati akihitimu hayatumia maarifa hayo kwa kutangaziwa amefeli wakati mwanafunzi haendi shule kufeli?

Cha ajabu serikali haioni tena umuhimu wala kujua wahitimu hao waliotangaziwa wamefeli wanaenda wapi na kufanya nini kwa ajili ya maendeleo yao na ya taifa kwa ujumla
 
Heri ya mwaka mpya kwa wadau wote,tumshukur Mungu hasa kwa yote anayoendelea kutujalia

Wadau wengi ukiwauliza kuhusu matatizo na changamoto za elimu ya Tanzania bas watakutajia upungufu wa walimu, upungufu wa miundombinu kama madarasa, vyoo n.k

Lkn najua wengi wetu hatujaingia ndani kabisa na kujua matatizo mengine zaidi.
Nikiwa katika harakati za matembezi yangu ya mwisho wa mwaka, safari hii nilibahatika kukutana na baadhi ya waalimu kama sita wa masomo tofauti nadhan walikua tayari wametoka kwenye uchakataji wa mwisho wa vijana wetu wa kidato cha pili na nne.

Kama mdau wa elimu niliyoyasikia kupitia hao walimu kama ni kweli basi elimu yetu haipo mwisho kabla haijaanguka kabisa na kuzikwa rasmi.

Mimi kipindi hicho nilikuwa nikisika mwalimu kapata nafas ya kwenda kufanikisha hatua muhimu kabisa ya vijana wetu bas nilikua nawaonea wivu kwelikweli mana nilijua lazima maslah yatakuwa bora kwelikweli lkn hadi pale nilivobahatika kukaa na hao walimu sita wa masomo tofauti na hapo ndio nikagundua bado kuna tatizo la msingi sn na kama serikal na NECTA wakileta masihara bas tunaenda kuizika rasmi elimu yetu.

Hivi tunaweza amin kwamba hawa walimu licha ya kwamba inaitwa kaz maalumu lkn eti mwisho wa siku huyu mwalimu anapewa sh laki tano (500,000)ya kazi licha ya kufanyishwa kazi siku nzima hadi usiku.

Kwa masikitiko niliyoyaona kupitia walimu hawa naamini wanaenda huko kwa sababu hawana cha kufanya lkn pia hawana furaha kabisa na hicho kinachoitwa kaz maalumu na mwisho wa siku naona siku zijazo kuna uwezekano kazi hii ikawa inafanywa tu irimradi na hivo kupoteza weledi wote na hivo mwisho wa siku kupata watoto ambao uwezo wao haueleweki.

Yan hata tu zile posho mpya zilizotangazwa na serikali hivi karibun pia hawa walimu hawajapewa kwa kisingizio kuwa bado hazijaanza fanya kaz lkn cha ajabu kada nyingine kama polisi, wanajeshi, watendaji, madaktari na wengineo wanaendelea kulipwa hizo posho mpya lkn inapokuja suala la mwalimu kulipwa kila mtu analeta uhuni usiokuwa na maana kana kwamba mwalimu sio mtumishi wa nchi hii.

Walimu hawa pia wanadai kumbe inaonekana kila mwalimu kwa siku katengewa kama sh25000 au 30,000 kama sikosei hio ni kwa ajili ya chakula, vinywaji na malazi lkn cha ajabu kinachofanyika hakilingani kabisa na hio pesa yan kila mtu anataka kupiga hapo hapo.

Mimi naamini serikali inatoa hela nyingi sn tena kwenye tukio la muhimu kama hilo la kumalizia kuwachuja vijana wetu lkn najua kuna watu wachache sana wanatake advantage kitu ambacho si sahihi.

Hivi kweli unamtoa mtoto wa mtu Ruvuma huko unakuja kumpa shilingi laki sita sijui saba au tano hela ambayo amezoea kuipata kwenye mitihani yao ya ndan ya MOKO lkn unakuja kumpa huyu mwalimu bila kuangalia athari zake mbelen.
Tena mbaya zaidi hela yenyewe inatolewa mwishon wakati kazi imeisha kitu ambacho kinaonesha kutojiamin na kuficha ukweli makusud mana kama mnajiamin na kazi yenu kwanini msiwaambie hao walimu mwanzon kabisa wa kazi kiwango watakachopokea had hio kaz inakuja kuisha na kwanini mnafanya siri kwenye tukio muhimu la nchi kama hilo maana ndo sehem pekee ambapo maisha ya vijana wetu yanaandaliwa lkn watu wanaleta uhuni kana kwamba hawajui athari zake.

Ni wakati wa serikali kwa kushirikiana na NECTA kuanza kulipa umuhimu mkubwa wa kimaslahi suala hili nyeti la nchi ili kuongeza weledi zaid na kupata vijana kweli wenye sifa na wanaostahili lkn ikiwa tu watazingatia utulivu wa akili kwa mwalimu huyu kwa kujitahidi angalau kutimiza maslahi yao kama inavyotakiwa.

Mwanajeshi anakwenda kulinda aman nje anapewa hela nzur ni kwa sababu anashika silaha lkn huyu mtu anaetengeza watoto wetu kila siku tunashindwa mpa hata milion 2 kweli tunaishia kumpa malaki tano sijui sita huko.

Kama imeshindikana na inaonekana labda kwenye elimu kuna mzigo mkubwa pelekeni mapendekezo ya sisi wazazi kuchangia sh 5000 kwa mtihani wa kidato cha nne na sh3000 kwa mtihani wa kidato cha pili ili angalau kukidhi baadhi ya mahitaji ya hawa wataalamu wetu.

Hii haikubaliki jamani hebu hawa wataalamu wetu waanze kutazamwa kwa jicho la tatu mana tunachokitafuta tutakuja kukipata baada ya miaka 15 au 20 mbeleni huko

Mana kuna msemo usemao taifa linalodharau elimu ni taifa linalojichimbia kifo chake chenyewe

Naomba kuwasilisha kama mdau muhimu wa elimu
Acha uongo marking mtu alipwa posho si chini ya 1.5m
 
Nchi Haina vipaumbele

Wanachojali wao ni matumbo yao

Walimu ni mtu muhimu sana katika Taifa hili lakini Hana thamani kabisa.

Kazi ya kudeal na kichwa Cha mtu hadi kkwe educated and civilised sio kazi nyepesi.

Wanasiasa msiishishie kwenye kujenga madarasa na vyoo boresheni maslahi ya walimu waifanye Kazi yao kwa bidii
 
Walimu wana stress na maisha magumu mno. Afu kada imeshushwa hadhi.

Akati ni kada muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu baadae na kizazi kijacho...
Kila mdau anapopata nafas ya kupiga kelel na afanye hivo nadhan serk yetu inahitajika kuipigia kelele sn
 
Suala la malipo hilo linakuwa ni bajeti ya serikali na si baraza la mitihani sababu hata viongozi waandamizi wa baraza wanasubiri malipo yao kutoka serikalini sababu serikali ndiyo mlipaji mkuu...
Hata kama lkn kumbuka huwez cheza na elim ya nchi

Ni hatar kubwa sn
 
Tangu siku nyingi NECTA na serikali wameisha iharibu elimu. Wamepotezea wanafunzi muda kwa kuwafundisha vitu na kuwapa mitihani ...
Umeandika kwa kutumia akili kubwa sn

Mawazo yenye kujenga kama haya nadhan ndo muhim sn kwa mustakabali wa elim yetu
 
Nchi Haina vipaumbele

Wanachojali wao ni matumbo yao

Walimu ni mtu muhimu sana katika Taifa hili lakini Hana thamani kabisa...
Bado kuna safar ndefu ya kwenda lkn kama serk ikijitambua bas eneo la elimu litakuwa eneo salama sn katika nchi
 
Suala la malipo hilo linakuwa ni bajeti ya serikali na si baraza la mitihani sababu hata viongozi waandamizi wa baraza wanasubiri malipo yao kutoka serikalini sababu serikali ndiyo mlipaji mkuu.

Kingine tambua walimu wana roho mbaya kuliko kuliko watumishi wote duniani. Inavyoonekana na wewe ni mwalimu sasa waliona wakikwambia wamekunja m2+ utawaletea kiwingu cha njaa.
Acha kuleta utani kwenye mambo ya msingi ya nchi
 
Back
Top Bottom