rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwahiyo kama Taifa tumekubali kuwa bodaboda ni kazi rasmi?

    Habari! Kila kona kijiwe cha bodaboda. Kila kwenye kauwazi kijiwe cha bodaboda. Haya ndiyo maendeleo? Kwamba watu hawana mawazo mbadala zaidi ya kuwa bodaboda? Kwamba serikali imehalalisha bodaboda kuwa ajira rasmi? Watozwe kodi basi kama ni ajira rasmi. Wazee kwa vijana sasa wamekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha. Mwenyeji wa Rais...
  3. JamiiForums Tanzania Dar: RC Chalamila amevunja Uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi kwa Manispaa ya Ubungo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo August 17, 2023 amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi soko hilo kwa Manispaa ya Ubungo. Soko hilo lililokuwa likimilikiwa na kikundi cha watu wachache nakupelekea kuwepo kwa changamoto mbalimbali ambazo Mkuu wa Wilaya Mhe. Hashim...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia Hassan hadi sasa hajatoa tamko rasmi kuhusu mkataba wa DP World

    Ningependa kujua sababu za msingi za Rais Samia Suluhu Hassan kutowajibika kama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutoa tamko lake rasmi kuhusu mkataba tatanishi wa DPW ambao kwa kiasi kikubwa unapingwa na Wananchi waliyo wengi? Nini sababu ya ukimya wa Rais Samia Suluhu Hassan?
  5. JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

    Serikali imeamua kuzima mjadala wa Bandari kwa kishindo Kamata kamata inaendelea Zamu hii Dr. Slaa akamatwa leo jumapili tarehe 14/08/2023....
  6. F

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Nchimbi ametenguliwa ubalozi Brazili Disemba 2021, kwanini habari zitolewe rasmi Agosti 2023? Ipo shida serikalini?

    Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana? Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
  7. JamiiForums Tanzania Mambo/vitu gani vilikushangaza sana ulipokuja rasmi kuishi Dar es Salaam?

    Ni ndoto ya watu wengi mikoani na hata nchi za jirani kama Zambia, Malawi, Burundi na Rwanda siku moja kutia mguu Dar au kuishi kabisa mjini Dar. Hata mimi ilikuwa ndoto yangu pia. Kile kibao kilichoandikwa DAR ES SALAAM pale Chalinze kinachoonekana wakati ukitokea Arusha kilikuwa kinanipa moto...
  8. JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi Liverpool ni epl tittle contender!

    Niliwapa man city kutetea na Arsenal kuwa challenger mzuri msim Huu 2023/2024,lakin KWA usajili wa moises caicedo KWA pound million 106 kwenda liverpool,sasa majogoo wa jiji liverpool ni team ya kuogopwa na vigogo wote pale epl! Midfield ya caicedo,macalister na Dominic szoboslai ni combination...
  9. JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa kwa watu wa mkoa wa Kigoma ni rukra kuvaa chapa (logo) ya JWTZ

    Ni marufuku kuvaa nguo ya jeshi kama wewe sio mwanajeshi, lakini kwa heshima yako wewe mwana Kigoma, kwa heshima ya mashabiki wa Mashujaa Football Club, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Jacob John Mkunda kakupa uhuru sasa utavaa Logo ya JWTZ kifuani kwako. Hii ni heshima kubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yazindua rasmi Ubalozi wake Jijini Algiers, Algeria

    Serikali ya Tanzania imezindua rasmi ubalozi wake jijini Algiers, Algeria. Ufunguzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax na kuhudhuriwa na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Nje na Diaspora wa Algeria, Ahmed Attaf, Balozi wa kwanza wa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023

    Karibu kwenye kilele cha Wiki ya Simba. Karibu kwenye Simba Day, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hii ni siku muhimu kwa Klabu ya Simba na wapenda michezo wote nchini Tanzania. Tunakushukuru na tanakukaribisha kwa furaha kubwa isiyo na kifani. Kwa kipekee kabisa, tunakushukuru sana...
  12. JamiiForums Tanzania Habari njema kwa Python developers, sasa rasmi python kuachana na GIL

    GIL ilikua ina tulimit sama ku apply parallelism bila ya msaada wa third-part library. Asubuhi hii nimekua na furaha kuskia sasa ni rasmi cpython core developers wameamua rasmi kuachana/kuwa option kutumia GIL tutegemee kwenye matoleo mapya python GIL itakua option kwa developers kutumia ldb...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Nanenane Mbeya, Wadau Kutoka Nje ya Nchi Kushiriki Kwa Mara ya Kwanza

    Rais Samia Suluhu Hassana anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maonesho ya kilimo maarufu kama Nanenane Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema viongozi wengine kitaifa watakaotembelea maonesho hayo yanayoanza...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya Kukitafiti kilichofanywa na DP World huko Djibouti, Angola na Senegal namuomba Rais Samia aachane nao rasmi

    Na pia GENTAMYCINE namuomba Rais Samia Suluhu Hassan awatazame upya Wasaidizi na Washauri wake kwani nimeanza kuona anahujumiwa na anaowaamini wakiongozwa na Mswahili mmoja asiyechoka na utajiri mkubwa alionao na pesa alizozificha kwa kuzigawa nchini Malaysia na Cyprus. Kama Angola, Djibouti na...
  15. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi, Fiston Kalala Mayele atambulishwa Pyramid FC ya Misri

    Club ya Pyramid FC ya Misri imetangaza kumsajli Mshambuliaji wa Kimataifa wa Congo DR Fiston Kalala Mayele (29) kutokea Yanga SC ya Tanzania. Mayele anaondoka Yanga baada ya kucheza misimu miwili Tanzania kwa maanikio makubwa msimu wa kwanza 2021/2022 alimaliza nafasi ya pili kwa ufungaji...
  16. JamiiForums Tanzania Ligi ya mpira ikiisha Watanzania huwa wapo serious na siasa. Ligi ikianza kelele za Simba na Yanga zitatumika kuwaleta DP World rasmi

    Kwa sasa Ligi imeisha kumetulia sana, habari za Dpworld zinakita kila kona ndio main talk ya nchi mithiri ya panya anaezurura kila kona pale paka akienda nje kupumzika kidogo. Hili suala limewekewa pause, linakuja kuplay ligi ikianza hasa kama Yanga na Simba zitakutana hapo ngao ya jamii. Ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Mali: Katiba Mpya yaondoa Kifaransa kama lugha rasmi

    Katiba mpya ya Mali imeondoa Kifaransa, ambacho kimekuwa lugha rasmi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi tangu mwaka 1960. Chini ya Katiba Mpya iliyopitishwa kwa wingi wa asilimia 96.91 ya kura katika kura ya maoni ya Juni 18, Kifaransa si lugha rasmi tena. Kifaransa itakuwa lugha ya kazi kuanzia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi: Timu 10 bora za CAF ikiwemo SIMBA zitaanzia mzunguko wa pili. Hao "wananchi" wataanzia mchangani/mzunguko wa kwanza!

    54 teams are engaged in CL 2023 / 2024. Accordingly, the 10 highest ranked clubs in the official clubs ranking, shall be exempted of the 1st preliminaryround.The remaining teams are divided into the following: highest ranked teams / less ranked teams / non rankedteams.7 pots have been created...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Aeshi Hilaly Mgeni Rasmi Kamati ya CCM Kata ya Mafulala

    MBUNGE AESHI HILALY MGENI RASMI KAMATI YA CCM KATA YA MAFULALA Kata ya Mafulala iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa leo imefanya mkutano mkuu wa CCM Kata na kuhudhuriwa na mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Mh. Aeshi Hilaly Khalfan. Mheshimiwa Aeshi akiwa katika...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya Afrika Kusini yaomba rasmi hati ya kukamatwa kwa Putin

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Serikali ya Afrika Kusini imetuma maombi rasmi kwa mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo atawasili nchini humo. Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance, kinasema kuwa haya ni makubaliano ya matakwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…