Ngāti Rangi is a Māori iwi (tribe) of New Zealand, whose tribal district is mainly around Ohakune and the Upper Whanganui River in the central North Island. Ngāti Rangi trace their ancestry to the chief Paerangi. They believe they were in New Zealand before the main migration of Māori to the country.
Kutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu.
Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na mihogo, maandazi na vitumbua kwa sababu wanapenda tu au kwa sababu chai ya rangi ni tamu kuliko ya maziwa.
Hamjambo wote!
1. Mapema wiki hizi kumekuwa na ongezeko la mabasi ya Mwendokasi Ruti ya Kimara Mbezi.
2. Mabasi ni mapya na mazuri.
3. Kiyoyozi na WiFi kama zote. Password utajua pakuipata.
4. Serikali kwa hilo ipongezwe kwa sababu kama yakiwa hayapo watu wanalalamika na kukosoa. Basi yakiwepo...
Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.
Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini...
Kikawaida kuna rangi tatu za taa kwenye dashboard ya gari yako. Rangi hizi standard : red, orange, na green. Zingatia kwamba green wakati mwingine huwa ni blue, inategemea na aina ya gari uliyonayo ila haibadilishi maana halisi ya ka,zi yake ni kama tu vile huwa magari mengine symbol ya...
Nimeipenda rangi nyeusi ila kuna sehemu nimeambiwa huwa inanyonya sana joto
Je nichukue rangi ipi au mchanganyiko wa rangi gani.
material ipi nzuri kwa bei isiyozidi laki 3, gari ina siti tano
Nimejaribu mzigo OG wa Denim, Levi's na Lee zote lazima zichuje rangi, ila ukweli hizi zitachuja mdogo mdogo tofauti na zenye ubora mdogo.
Utakuta wafanyabishara wezi wanawaaminisha wateja wao kuwa wanauza jeans zisizochuja rangi.
Nani alikwambia jeans haichuji rangi? Tofauti ni kiwango cha...
Habari wakuu,
Naomba kujua kwa mabasi ya shule inabidi yawe na plate number za njano ama plate number nyeupe? Naona baadhi ya magari yana rangi nyeupe na mengine njano.
📍 – Bunju “B”
Kwa wanaopita barabara ya Bagamoyo jioni, hasa eneo la Bunju ‘B’, hali ya foleni imekuwa ya kawaida kila siku.
Tatizo kubwa ni:
Daladala kuegesha kiholela barabarani badala ya kuingia kituoni
Kusubiri abiria kwa muda mrefu (kupakia taratibu)
Wafanyabiashara wadogo (machinga)...
Salama wakuu.
Naombeni idea ya rangi nzuri ya kupaka ndani ya nyumba.
Nimejaribu kuperuzi rangi nyingi mbali mbali nimeshindwa kufika muafaka.
Ni rangi gani nzuri ikipakwa ndani panakaa murua.
Nategemea kutumia kampuni ya plascon.
Kuna rafiki yangu analalamika kuwa uchumi wa nchi yetu umemilikiwa na watu ambao kwa mtazamo wake anadai siyo watanzania.
Anadai miradi yote mikubwa kwa sasa nchini inafanywa ama kumilikiwa na Waarabu, wahindi, wazungu na hivi karibuni na wachina na wale weusi wachache wanaoonekana ama ni...
Hii ni special kwa wanaume wajinga wajinga wasio jielewa wale familia yake inaendeshwa na mke wake.
Hawa mara nyingi sana husema mwanamke kama anataka kukuchiti atachit tu hata kama umchunge namna gani.
Wanaume hawa huwapa hela wake zao wakafanyiwe massage 💆♀️ (waogeshwe na mwanaume mwingine)...
Wakuu kheri ya mwaka mpya.
Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara.
Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa...
Ukweli ambao watu wengi hawaujui kuhusu Pweza ni kwamba ni kiumbe pekee cha majini chenye mioyo mitatu. Mioyo miwili husukuma damu kwenda kwenye mapafu ya baharini (gills), na moyo mmoja husukuma damu kwenda sehemu nyingine za mwili. Damu yake ina rangi ya bluu kwa sababu hutumia madini ya shaba...
Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametimiza ahadi yake ya kuwakabidhi pikipiki vijana wawili waliojitolea kumsaidia kwenye kampeni kwa kujipaka rangi kama ishara ya sapoti. Ahadi hiyo imetekelezwa rasmi jana wakati wa Mkutano wake wa Shukrani, ambapo vijana hao walipokea...
Nimekuwa ninarejea mambo yalivyokuwa wakati bado niko shule ya msingi na sekondari miaka hiyo hasa upande wa siasa za CCM( leo hii chama cha rangi ya Alizeti). Mikutano mikuu ya CCM ilivyokuwa inawakilishwa na mikoa mbalimbali. Lakini mmojawapo ya mikoa ambayo ilitambulishwa mwaka 1985 ni mkoa...
Zimekuwepo tabia za wazungu kuwabagaza wachezaji wenye asili ya Africa kutokana na wivu walionao tu na ubaguzi wa rangi
Nakubali Lamine Yamal ni kijana mdogo japo ni star, Kwa umri wake laZima bwana mdogo afanye makosa mengi ila kama watu wazima ilitakiwa kumsimamia na kumsaidia vizuri...
Muhindi kumzurumu muhaya ni ngumu sana,
Ili ni funzo mnielewe
Nauliza Mh Raisi Samia watu WALIOKUWA wanauza UNGA nchini akiwemo huyu Mohamed aliyekamatwa na Mzee Magu na kukili kosa na kulipa cash money ya prebegaining dheni akakimbia nchi
Ndo unajitapa uliwarejesha nchini?
Nani hasiye...
RICHARD TURNBULL
UWEKEZAJI KWENYE MATUMIZI YA AKILI
UINUAJI WA HAKI NA SIASA ZA KUJITEGEMEA
KUHAKIKISHA RASILIMALI ZINANUFAISHA NCHI PIA
KUIMALISHA MFUMO BORA WA ELIMU NA AFYA
KUIMALISHA NA UTUNZAJI MZURI WA RELI WA BARABARA
BANDARI YA TANGA NA DAR ES SALAAM ZILIBORESHWA ZAIDI
KWA KUJALI UKUAJI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.