ramani

  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata ramani ya hall dogo

    Wakuu mmebarikiwa sana na MUNGU. Nimekwenda kuomba kibali cha ujenzi halmashauri nikaambiwa nipeleke ramani. Nachotaka kujenga ni hall la kufanyia ibada. Nimeulizia kwa wachoraji naambiwa bei kubwa sana. Sasa kama unaweza kupata ramani ya hall la mita 15 kwa 15 na ramani hiyo iwe inakubalika...
  2. JamiiForums Tanzania Ramani: Ukraine wamefaulu kurejesha ardhi zaidi ya nusu ya iliyokuwa imenyakuliwa na Warusi

    Hivi, Putin ana lipi lakuwaambia Warusi, kwamba vifo vya wanajeshi wao havikua na umuhimu wowote maana walichokua wameiba kimrejeshwa kizembe sana tena ndani ya siku chache tu... Justin Bronk of the Royal United Services Institute (Rusi) told the BBC that Russian positions in Kharkiv had...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya ramani, kusimamia na kujenga nyumba

    NATOA HUDUMA ZIFUATAZO KATIKA UJENZI : KUCHORA RAMANI ZA MAJENGO KUSIMAMIA UJENZI KUFANYA MAKADIRIO YA UJENZI HII NI MOJA YA KAZI ZANGU NILIZOFANYA KUANZIA KUCHORA MPAKA KUSIMAMIA UJENZI ( 0758 614 119 ) NDUGU WATEJA HII MICHORO INAONESHA RAMANI INAVYOPASWA KUWA NAOMBA TUTAZAME...
  4. JamiiForums Tanzania Ambatana au kaa karibu na Watu ambao wanaweza kukupa ramani ya mafanikio!

    Ni mazungumzo ya vijana wawili wanao fahamiana...ni uwanjani katika mchezo wa soka pale kitaa cha Tabata. Jioni hiyo niliamua kwenda kucheki mazoezi ya mpira kwani kiwanja Hicho hakipo mbali Sana na ninapoishi. Na haya ndio mazungumzo Yao: Kijana wa Kwanza '' Kaka hiyo fani yako ya umeme vipi...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta ramani nzuri ya kizungu

    Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu. Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu. Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Ramani za nyumba za kisasa kwa ajili yako

    Tunachora Ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu sana Wasiliana nasi kwa whatsapp 0717040837/0767267664
  7. E

    JamiiForums Tanzania Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu

    Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu sana kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu/ whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

    One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp +255678418272
  9. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini watishia kuzifuta katika ramani ya dunia Japan na Korea Kusini

    "TUTAANZA KWA KUZIFUTA JAPAN NA KOREA KUSINI KWENYE USO WA DUNIA", Kim Jong Un Akihutubia Kongamano la Chama cha wafanyakazi Jijini Pyongyang, Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un, Amewatahadharisha NATO na Mkuu wa US wasijaribu kueneza chokochoko Karibu na Jamhuri yake kwa Kufanya Mazoezi...
  10. JamiiForums Tanzania Kupunguza migogoro ya ardhi Wizara ya Ardhi iweke ramani na taarifa muhimu online

    Ramani za miji kwa maeneo yaliyopimwa ni public document. Migogoro mingi ya ardhi inakuwepo kutokana na double allocation. ( Ardhi moja kuuziwa kwa watu wawili). Itungwe sheria itayopelekea ramani za maeneo yaliyopimwa na ambayo bado kuwa online na kuwa access upon payment of a certain fee...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ramani mpya baada ya ujio wa DRC ndani ya EAC, mshindwe wenyewe

    Sasa EAC tumetimia watu milioni 300, soko la watu wote hao na GDP ya bilioni 250 dola za Kimarekani, jameni watu tuchangamkieni hizi fursa, wa kulala waendelee na kusubiri maembe yadondoke, ila tuliozoea kupambana tuendelee mbele kwa mbele... Sema nimependa sana namna rais Uhuru amechakarika...
  12. JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa kabla ya WWI Arkansas na mwaka 2022 kuna wao ramani kuwa na nyumba kama hii

    Miaka hiyo umeme ulikuwa ni kwa wachache wenye uwezo na maji kulikuwa na visima vya mdundiko katikati ya miji. Wakati wa baridi kulikuwa na gogo la moto linalotoa joto. Bill ya kulipa ilikua ni kodi ya kichwa tu. Kuna watu wana nyumba zenye hali mbaya zaidi ya hii si vijijini tu bali hata mijini.
  13. JamiiForums Tanzania Hii ramani inafikirisha sana, Urusi imeshindwa kuparamia haka kanchi

    Ama kwa kweli ukubwa sio nguvu ila ujuzi na matumizi ya ubongo, kainchi saizi ya mkoa mmoja wa Urusi kameitoza Urusi kamasi imepoteza majenerali, meli, wanajeshi maelfu na hasara nyingine nyingi mpaka Urusi imeomba msaada Syria na kwingine. Licha ya hasara yote hiyo, Urusi imeambulia tumiji twa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Vipimo vya Ramani hii

    Habari wakuu. Mwenye vipimo vya hii ramani naomba
  15. JamiiForums Tanzania Jana nilijua SImba SC tunaenda labda Kutambulishwa Kocha Mkuu mpya au Mchezaji kumbe ni Kuonyesha tu 'Beacons' na 'Ramani' za Bunju

    Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi kile. Mnaacha kutuambia Kocha Mkuu anakuja lini, Usajili utakuwaje na kwanini Msimu huu tumetoka...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa hili la Mtu kuomba Ramani ya nyumba yako

    Salama wadau, Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road Zaidi ya mara nne nimeshawatimua watu wanapiga picha nyumba bila ruksa yangu tena hapo ni weekend...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii ninunue bati ngapi

    Nimeweka floor plan, ni kajumba kadogo dogo 1-master, 1-single Public toilet, Kitchen with 2 verandah, msaada ninunue bati ngapi wakuu?
  18. JamiiForums Tanzania Ninamtafuta mtu wa kuchora ramani tuyajenge

    Ninahitahi ramani ya guest house, vyumba 10-+ yenye jiko, dining na bar. Vyumba self contained na tutavuna maji ya mvua hivyo kuwe na nafasi ya kuchimba kisima kirefu.
  19. JamiiForums Tanzania Ramani ya fundi Maiko, inachorwa bila proportions lakini nyumba inasimama

  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa ramani ya nyumba za wapangaji

    Wana Jamiiforums wenzangu khabari za jioni, kwa wataalam wenye talanta na taaluma za mambo ya ujenzi Naomba msaada wa RAMANI ya nyumba ya wapangaji. Ahsante.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…