raisi

  1. luangalila

    JamiiForums Tanzania Yanga wakitaka wawanyamazishe mashabiki wa Simba S.C basi wakashinde Sudan hata goli 2 kwa 0 tu

    Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi. Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine aidharau Urusi kupita kiasi

    Baada ya kuona majeshi yake yamefanikiwa kuwarudisha wanajeshi wa Urusi kwenye baadhi ya maeneo yaliyotekwa, sasa Rais wa Ukraine, Zelensky ameanza kuidharau Urusi pakubwa na kutoa utabiri wa kushinda moja kwa moja kama kwamba anapigana na mtoto mdogo. Kwenye hotuba yake hapo jana alisema kwa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Rais gani atakuja kumaliza tatizo sugu la mgao wa Umeme?

    Tatizo la Mgao wa Umeme limekuwepo kwa muda mrefu sana, Toka enzi za Nyerere, na Sasa tatizo hilo linaendelea kuwepo , sisi watu wazima tumeona mgao Kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa mgao upo kwa Samia. Hili ni Tatizo kubwa sana, japokuwa Wamebadilishwa mawaziri na watendaji wakuu...
  4. Slowly

    JamiiForums Tanzania Jicho la Mwewe: Kufukuzwa kazi kwa Balozi Mulamula ni matokeo ya ziara za Rais nchi za nje

    Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama...
  5. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mbolea ya ruzuku ikichelewa wakulima wa kutotegemea mvua tutapata hasara kubwa

    Ombi kwa mheshimiwa Raisi Mama Samia. Mpango wa mbolea ya ruzuku ni mzuri sana na wenye tija kama utatekelezwa kwa wakati. Serikali yako imesikiliza kilio cha wakulima cha muda mrefu. Hongera sana. Pongezi pia ziwafikie washauri wako na wazira ya kilimo kwa ujumla. Mpango huu umeanza kuwa...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa msaidieni Rais. Misamaha ya kodi ni chaka, TRA mpaka wizarani kunanuka rushwa

    Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba! Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Akiendelea kuwa waziri Basi ndie Rais ajae tutake tusitake. Atakuwa na timu Bora na zaidi ya Tillion 2 kibindoni

    Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana. Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka. Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu aliunda pesa za kutosha. Mwaka 2015 Akaanza kampeni za uraisi kirahisi Sana. Akalipia matangazo ya redio...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ikiwa leo hii Rais Samia anatia sahihi makubaliano ya ulinzi na usalama na Msumbiji basi kuna kitu kiliharibika hapo nyuma

    Leo hii nimesoma habari kwamba Tanzania na Msumbiji tumetia sahhi makubaliano ya ulinzi na usalama. Kwanza sikuamini kama ni Msumbiji kweli, au nchi nyingine. Yaani Msumbji, ile ninayoijua mimi, ambayo maelfu ya wanajeshi wa Tanzania walikufa huko katika kuisaidia kupambana na majeshi ya uasi ya...
  9. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, Raisi Mstaafu aliyejaaliwa hekima nyingi

    Wasalamu wana JF, Wakati tukimaliza matanga ya bibi yetu Elizabeth, nimetafakari sana mienendo ya viongozi wetu hapa Tanzania. Hakika, Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na madhaifu yake ni mtu mwenye hekima nyingi. Huyu mzee alitufumbua kuhusu kuchanganya akili za kuambiwa na za kwetu. Hali...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Amin usiamini Africa Mara zote Raisi na Makamu wake huwa haziivi

    Hawa wakubwa bwana wanapenda Sana maigizo. Wakiwa madarakani utadhani ni wa moja la hasha. Fuatilia historia nyingi za Raisi na Makamu wake mara zote siyo nzuri. Kwa Tanzania Makamu wa Raisi huchaguliwa Kwa mkakati maalumu na huwa siyo chaguo la Raisi aliyeko madarakani. Tanzania makamu wa...
  11. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia unaujua msemo huu?

    Raisi wangu, kwa heshima na taadhima napenda kukusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama kuna ule msemo unaosema kuwa "ukicheka na nyani shambani mwisho wake utakuja vuna mabua" Yanayoendelea nchini kupitia hao panya wa barabarani bila shaka unayajua, lkn inaonesha bado haujawa...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania IMF yaidhinishia Tanzania mkopo wa Trilioni 2.4

    Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari za vita ya Urusi na Ukraine. Kiasi cha Dola za Marekani Milioni 151.7 kitatolewa mara moja. Taarifa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Inyala, Mbeya ninampinga Makamu wa Rais Dr. Mpango kwa agizo lake "quick fix" na kumsihi awe serious na maisha ya Watanzania

    Katika taarifa yake kuhusu ajali ya pale Inyala Mkoani Mbeya iliyoua watu kadhaa pamoja na DED wa Igunga, Gazeti la Mwananchi limetoa taarifa kwamba ajali hiyo imetokea ikiwa ni siku tatu zimepita baada ya Makamu wa Rais Dkt. Mpango kutoa maagizo kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuanza ukaguzi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mtanzania Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Rais wa Zambia

    Mfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliano ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana, Dominican Republic na hata chaguzi za CCM Zanzibar. Theddy Ladislaus alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mbona unajifichaficha?

    Kwako Mheshimiwa Rais, kuna mambo yanatendeka hapa nchini yanakuhitaji wewe moja kwa moja useme ndiyo au hapana. Hawa wasaidizi wako tumeshawachoka. Maana stories ni zile zile ooh tunalifanyia kazi na hakuna kinachoendelea. Swala la tozo na kodi unatakiwa uje front useme tulipe au la. Siyo...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Putin hatakuwepo katika mazishi ya raisi aliyemtangulia

    Soma hapa na jiulize kwa nini Ibaki kusema tu Putin yupo smart sana na mambo yake. Vladimir Putin Will Not Attend Mikhail Gorbachev Funeral: Kremlin "The farewell ceremony and funeral will take place on September 3 but unfortunately the president's work schedule will not allow him (to attend),"...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Ripoti ya CAG, Dr. Othman Abbas Ali abaini madudu, wizi na mauaji. Uongozi wa ZAECA wakalia kuti kavu. Rais Mwinyi akunjua makucha

    CAG Dr. Othman Abbas Ali akikabidhi ripoti ya Ukaguzi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar 2021, Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar, Dr. Othman Abbas Ali akikabidhi ripoti za Ukaguzi wa Wizara, Mashirika pamoja na...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mkimaliza ziara tunaomba gharama za mafuta za msafara wa Raisi

    Salama wandugu Mama yupo mtaani akifungua baadhi ya miradi na kuona maendeleo ya nchi. Sasa si vibaya sana tukapewa gharama yote ya mafuta ya msafara wake Kupata gharama hizo tuweze kutoa ushauri magari yapunguzwe au yafungwe mifumo gesi asilia yote . Haileti maana bei ya mafuta IPO juu lakini...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Rais na Waziri wa Kilimo kuhusu chakula nchini mnapotosha Taifa

    Wandugu, Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa. Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi wa Saudia afa katikati ya hotuba akimsifia Rais Al Sisi

    Balozi maarufu wa Saudia na tajiri mkubwa bwana Mohamed Al qahtan, amefariki huko jijini Cairo nchini Misri wakati akitoa hotuba yake. Mara baada ya kumsifia Rais Alsisi kwa kuashiria picha yake iliyokuwa nyuma yake kwa kusema huyu ni kiongozi wa watu wote mpaka siku ya mwisho ghafla alianguka...
Back
Top Bottom