raisi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tusione aibu kumpongeza Mbowe na Rais Samia

    Kuna watu wa Chadema ndaki ndaki wanaoenda kupinga kila kitu kiasi cha kumpiga madongo mwenyekiti wao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza Mbowe lakini vilevile hawawezi kupongeza Rais hata kama kafanya mazuri. Lakini kuna kundi la CCM nalo ni kama Chadema...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize, Rais anavyosema Utamaduni wetu kwenye siasa ni upi hasa?

    Rais anavyosema mikutano ya siasa ifanyike kwa kuzingatia utamaduni wetu. Tanzania haina utamaduni mmoja kama nchi nyingi za Asia. Tanzania kuna tamaduni nyingi sana kuna makabila ambayo wanajifunika mpaka uso lakini makabila mengine wana kaa nusu uchi! sasa utamaduni wa Tanzania ni upi. Kama...
  3. Execute

    JamiiForums Tanzania Rais Samia analipa kodi kiasi gani kwa mwezi kutoka kwenye kipato chake?

    Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi. Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bado sijaelewa jambo moja: Hivi tunataka kuendesha SGR sambamba na reli ya zamani?

    Kuna kila dalili kwamba SGR itakapokamilika bado tutakuwa na reli ya zamani ikitoa huduma. Hapo mwanzo nilifikiri kwamba reli ya zamani itaendelea kutoa huduma kwa matawi ya Tabora - Mpanda, na labda Dar -es Salaam kwenda Tanga, Moshi na Arusha, ambako sijasikia lolote juu ya kuwepo kwa SGR...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini rushwa iwe suala la Rais pekee?

    Tanzania kama nchi tujiulize ni kwanini suala kubwa na linalohusu wengi kama rushwa liachiwe Rais pekee. Yaani suala la rushwa linabidi liwe la kimfumo na sio la kiongozi mmoja tu wa nchi. Watanzania inabidi sisi tutoe tu mawazo na kupiga kelele kwenye rushwa na tutake majibu. Mfano kama huna...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hata siku moja mwekezaji habembelezwi kuja kuwekeza nchini, tafadhali zingatia yafuatayo watakuja wenyewe

    Huwa naziona jitihada nyingi za raisi Samia kubembeleza wawekezaji kuja kuwekeza nchini, hadi namuonea huruma kwa sababu naelewa anapigia debe kitu ambacho sio rahisi kufanikiwa. Napenda kumwambia Raisi Samia kwamba wawekezaji hawavutwi au kushawishiwa kwenda kuwekeza kwenye nchi fulani, huwa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana awataka Marais wa Afrika kuacha kuwa 'omba omba'

    Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni kuhusu bara hilo. Amesema "Tukiacha kuwa ombaomba na kutumia pesa zetu, Afrika haitakuwa na haja ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia atakumbukwa maisha kwa ushindi wa 55% au atasahaulika kwa ushindi wa 80% mwaka 2025?

    Hilo ndilo swali la msingi 1. Je Raisi anataka kukumbukwa maisha kwa kujenga mifumo na kutupa katiba bora Tanzania 2. Atasahaulika kwa kuiba kura na kugushi uchaguzi na kujipa 80% ya ushindi ambayo ni fake? Haya ni maamuzi yake. Mafisadi wote wanataka achague namba 2 kwani wanajali matumbo tu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, ziara nyingi za Rais ni mbinu za Mafisadi?

    Nimesikia habari za ndani kwamba kwa makusudi mafisadi na watu wenye nia mbaya wanataka kumweza Raisi na ratiba zake nje ya ofisi ili asigindue ufisadi unao endelea. Hii ni kuanzia malalamiko ya maandishi, mikataba mibovu na kuhusu majadiliano na upinzani. Kama ni kweli watu wenye nia nzuri...
  10. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wasemavyo watu wa karibu wa Rais Putin

    Bilionea rafiki wa Putin: Ni wakati wa kuwaonyesha Magharibi nguvu za kijeshi za Urusi Mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa wanaounga mkono uamuzi Vladimir Putin wakuivamia Ukraine mwenye jumri wa miaka 71 Yuri Kovalchuk, amesema kuwa vita inaweza kuonyesha uthabiti wa Urusi kwa nchi za...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna sheria inayowaelekeza CCM kutomkosoa mwenyekiti wao wa chama?

    Kuna jambo huwa naangalia naona kama hawa Wana CCM wakitaka kumkosoa raisi wengi wao wanazunguka zunguka Tu hawaendi straight. Mara nyingi lawama zimekuwa zikienda.kwa mawaziri. Ila ukichunguza Kwa undani kabisa mhusika mkuu ni raisi wa jamhuri ambaye Hana maamuzi yenye mantiki. Hawa wanaCCM...
  12. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Kusafiri kwa lengo la kuimarisha uchumi wa Tanzania ni moja ya Kazi ngumu anayofanya Rais Samia

    Uchumi wa Kidiplomasia ni uchumi ambao unatumia diplomasia kufanikisha malengo ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.Uchumi wa kidiplomasia unaongeza wawekezaji,uuzaji wa bidhaa nje,misaada,utalii,makubaliano ya kibiashara na mikopo nafuu.Ili malengo ya aina hii ya uchumi...
  13. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi siku zake zinahesabika

    Wakuu inakuaje? sasa twende kazi. Siku mbili tatu hizi kumekuwa na hali ya sintofahamu kati ya serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na ile ya Rwanda, kila mmoja akimtupia lawama mwenzake na kutishia kuvunjilia mbali uhusiano wao wa kidiplomasia nk. Kwa upande wa Congo ndio wanaonekana...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Raisi tunaomba Mradi mmoja wa ziada wa Gas Kinyerezi kabla ya 2025 hata wa MW 500

    Kiuhalisia Bila Raisi Kikwete kuleta Mradi wa Kinyrrezi 1,2 na 3 na extension one, tungekimbia nchi Kwa mgao mkali wa umeme, matumizi yameongezeka zaidi ya asilimia 50, hivyo Mzee kikwete alitusaidia sana, na Sasa tuna umeme wa gas ambao ndo huu tunagawana hawana. Ombi langu Kwa Raisi Samia, ni...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge kuihoji Bodi ya Mikopo sakata la upendeleo utoaji wa Mikopo

    Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda. Prof. Mkenda ameituhumu HESLB kukataa kutoa ushirikiano na taarifa kwa Kamati yake kuhusu uwepo wa upendeleo wa utoaji Mikopo...
  16. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania 4R (reconciliation, resilience, reforms & rebuilding) za Rais Samia sio maneno bali anaishi nazo katika matendo yake

    Katika hatua madhubuti ya kurejesha nchi katika hali ya maelewano,usalama,na maendeleo endelevu kufuatia siasa za uhasama zilizorithiwa kutokana historia ya vyama vingi na mapungufu mbalimbali ndani ya vyama vya upinzani pamoja na serikali. Raisi Samia Suluhu Hassan ameamua kujenga nchi yenye...
  17. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan Suluhu wapunguzie adhabu Wafugwa hawa

    Poleni na majukumu ya kila siku wana jukwaa. Wiki mbili zilizopita nilikua Kanda ya Kaskazini mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Tanga nilipata bahati ya kutembelea Magereza ya Karanga(Kilimanjaro-Moshi) Kisongo(Arusha) na Maweni(Tanga) niliona vijana wadogo umri miaka 19-23 wakiwa gereza...
  18. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa nini kwenye ziara za Rais za ndani?

    Poleni na majukumu ya kila siku wadau wa Jamii Forums Kama tulivyoona na kusikia Raisi Samia Hassan Suluhu anaendelea na ziara zake leo yupo mkoani Kigoma. Binafsi kuna jambo linanishangaza ni Rais kua na wasanii wengi wa mziki wa Singeli na Bongofleva je, hawa wasanii wana maana gani je ni...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tukio la kumkatisha msoma report ya mwenge asiendelee kueleza madudu ya miradi si sawa na Raisi aliangalia tu

    Niseme tu kwa kipindi cha Jpm sidhani kama angekubaliana na situation ile ila huyu Mama hata sielewi uongozi wake,moja ya madudu kumbe kwenye mashule ndio wahandisi wa majengo ???? ...
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Raisi wa ufaransa hatofautiana na waziri wake wa ulinzi kuhusu Ukraine

    Kauli zao zatofautiana kuhusu Ukraine ikishambuliwa kwa nuclear UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments The French leader should not have revealed his hand to Russia, Ben Wallace says UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments UK defense secretary Ben Wallace ©...
Back
Top Bottom