raisi

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hizi account hapa JF zipo ikulu na ofisi ya raisi pamoja na CCM

    Imefikia mpaka wanatumia domain ya serikali kujiunga JF.Na wengine wapo ofisi ya raisi. Kuna siku kuna mmoja hataropoka kuwa kuna mtu anatumia neno " kuna watu wanajibu mavi" basi ujuwe ni mtu maarufu hapa JF
  2. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Mnataka Tuoe? Sasa ili Raisi wa Chama cha Wakataa Ndoa nipeleke NEC muswada wa kuvunja Chama cha Wakataa Ndoa naomba haya yafanyike ....

    INTRODUCTION: Ndio ni mimi Raisi wa wakataa ndoa TZ na Africa kwa ujumla..!! Mmekuwa mkitupigia "Kelele" kuwa tuoe mkitoa sababu kibao na wengine mmeenda mbali mpaka kututukana. Tunasema ASANTE...!! MAIN BODY: Sasa ili tupate maridhiano kati ya Wakataa ndoa na Wapenda Ndoa NAOMBA HAYA...
  3. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka sakata la kijana ibrahimu aliyempiga kofi Raisi Mwinyi ?

    Nikurejeshe mwaka 2010 ilikua balaza la Maulid kijana mmoja anafahamika kwa jina La Ibrahim aliweza kumfikia Raisi wa wakati huo na kumpiga kofi , sababu ilikua ni nini? Fuatilia video hapa chini . https://www.facebook.com/reel/1724090805496548/?mibextid=9drbnH&s=yWDuG2&fs=e
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni kisema kuwa raisi ni kilaza mtasema sisi ni magaidi.

    kuna mada hapa naona JF wana kwepa history ya huyu mama mpaka history yake. JF upenda kulifanya jambo kuwa kama chapati na supu maana mengi tumeona na mlipata matatizo na wengine walipata pesa wafanyakazi wenu. kitakacho endelea hapa tanganyika msifute ili kesho muonekane ndio mlikuwa vyanzo...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Neno ugaidi limeingia rasmi kusibitisha kisasi cha wanzanzibar na raisi samia.

    Bila kujua watanganyika sasa mtaitwa wote magaidi kama mlivyo wafanyia wajomba zake wale uhamusho. Hii ni visasi na sio vya kusema anaficha ni kwamba anaonuesha wazi wazi kuwa kinacho fata ni kufuta Tanganyika. Msipo nielewa leo mtanielewa kesho.Tanganyika inafutwa kwa yoyote mwenye kuhoji ni...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nilipomuona Tundu Lissu akiwa mahakamani akiongea na watanzania kuhamasisha ukombozi, kwa kweli nimemuona raisi wangu wa kweli ajaye

    Mheshimiwa Tundu Lissu ameongea na waTanzania akiwa mahakamani, kwa kweli nimefurahi sana na nimekuwa na strong feeling kuwa huyo ndiye Raisi wangu mpendwa ajaye atakayetutawala na kutupa uhuru wetu wa kweli, kurudisha haki na utu wetu. Huyo ndio Raisi wangu ajaye atakaye tufundisha uzalendo...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania kuna wabunge wanashangaza sana ana kwambia tumalize Gen z ndio kina sababisha uvunjifu wa amani.Hivi ana elewa ilo neno maana mtoto raisi yupo

    Bungeni kuna vituko sana yani ni vilaza wa kambare matopeni. Unaposema Gen Z ni kuingamiza hata uwelewi kuna mtoto wa raisi wako na mwanao. Ulijua ni chama kipya.
  8. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tumetenga milioni mia kwa ajili ya kuhamasisha Amani ,Ahsante Raisi wetu kwa kuliona hili hitaji la kila mmoja .

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali imetenga Shilingi milioni 100 kwa ajili ya kuwazawadia wananchi watakaotoa taarifa sahihi zitakazosaidia kubaini na kuzuia vitendo vya uvunjifu wa amani nchini. Amesema hatua hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano kati ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waheshimiwa Spika na Wabunge semeni ukweli msipepese macho; Raisi huapa kuulinda muungano wa JMT; kwa yanayoendelea nchini, mnaona anafanya hivyo?

    Raisi anapoapishwa, anatamka kwa namna iliyo wazi sana kwamba ataulinda muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), na hiki ni kipengele kikubwa sana cha kiapo chake. Raisi ana mamlaka upande wa Tanganyika na Zanzibar, hivyo anapaswa kuuulinda muungano katika pande zote hizi mbili...
  10. Rev.Kishoka

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu. Lengo langu si...
  11. Stability

    JamiiForums Tanzania Watu weusi mlipigwa mchana kweupe na mkakubali

    Ukweli ni kuwa Obama hakuwa raisi wa kwanza mweusi hapo US bali Raisi wa kwanza chotara.
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hormz ngoma nzito Rais wa Iran ambiwa na IRGC kaa pembeni..

  13. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Wakili Pascal Mayala kwanini matokeo ya Raisi hayawezi kupingwa popote?

    Habari ya hasubuhi. Sio kwa nia mbaya ni vile watanzania wengi hatujui sheria na katiba kwa hyo ningependa kufahamu hasa majibu kutoka kwa huyu mwandishi wa habari na wakili wa kujitegemea. Kuna mambo mengi nahitaji ufafanuzi wa kisheria mfano Suala la Matokeo ya raisi kutopingwa popote...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Raisi Mpya wa Botswana: Kama umeshawahi kuiba mali ya Serikali anza kukimbia sasa hivi

    Rais Duma Gideon Boko wa Botswana ametoa onyo kali kwa watu wanaotuhumiwa kufuja rasilimali za umma, akitangaza kuwa serikali yake itafuatilia urejeshaji wa fedha zilizoibiwa bila kujali ni lini wizi huo unaodaiwa ulitokea. "Ikiwa umewahi kuiba kutoka kwa serikali, anza kukimbia sasa hivi!"...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Raisi wetu anastahili kupongezwa sikuhizi magereza mtu akitoka anatoka na ujuzi kamili wa kujiajili haji kuwa mzigo mtaani

    Nilifurahi kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya kuwa Kinara wa Dhana ya Urekebishaji wa Wafungwa Magerezani kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Patrobas Paschal Katambi kwenye hafla ya hafla ya kuhitimisha...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia ameonyesha utu kwa vitendo kutembelea magereza

    Watanzania tujisikie farari kumpata mama anatujari na ana utu
  17. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi! Raisi mtaafu J.Kikwete.???

    Kwamaana hakuna mwingine ni yeye aliyebakia, sasa anatuvusha vipi katika hali hii. Katika kipindi hiki kigumu yuko wapi? Hasa ukizingatia umahili wake katika kutatua migogoro, mbalimbali ya kisiasa na kiutawala sehemu mbalimbali Duniani. Nchi imeharibika ikiwa mikononi mwake hivyo ni wajibu...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya bunduki alieonekana nayo mlinzi wa raisi mapema leo baada ya kashi kashi katika hafla ya chakula cha jioni?

  19. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Inawezekana Samia aliwalenga zaidi ICC aliposema ripoti ya Jaji Chande ni mali ya Raisi na asitokee mtu wa kuidai

    Binafsi nafikiri hiyo ndio sababu kubwa ingawa mtazamo wa wengi ni kuwa anakwepa watu kuichambua na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika hiyo ripoti. Inawzekana ICC wakaidai hiyo ripoti kabla ya kutoa uamuzi wao juu ya Samia na wenzake kama wsshitakiwe au laa kwahiyo wanakwepa /wanajihami
  20. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Rais wa Syria na kiongozi wa zamani wa ISIS kucheza wimbo wa rapper wa Marekani Missy Eliot?

    haya hao ndizo leaders wa islam ambao wanachapa wengine viboko kwa kuvaa suruari, wanakataza watoto wasiende shuleni kwa sababu ni elimu wa "mfumo Kristo", kwamba wakakariri Kurani madrasa, sasa angalia yeye mkuu wa al-qaida na raisi wa mpito wa siria ahamed huseni Al-sharaa akijiburudisha na...
Back
Top Bottom