raisi

  1. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Raisi ajaye tanzania: Sheria ni siasa zinafanyika mwaka wa uchaguzi tu, baada ya uchaguzi watu waonekane wanafanya kazi nothing more or less than that

    Marehem John Pombe alikua na njia nzuri sana ya kuendesha nchi, mwaka wa uchaguzi fanyeni siasa ila baada ya hapo watu waonekane wapo kazini, izi mambo za kila mtu anaongea hili ama lile akidhan anaielewa siasa ipigwe marufuku, kipindi cha magu alivooa amri ya siasa kipindi cha uchaguzi nchi...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sio Wikipedia tu, hata tovuti nyingi kubwa Samia hatambuliki kuwa ni Rais

    Nilitoa uzi kuhusu wikipedia kwa watu kama ni raisi utajua wasifu wake. Ila wikipedia inamtambua kipindi kafa magufuri kushika nafasi tu na chini wakaandika machafuko yote ila wadau wengine wakajitokeza kusema wikipedia unaweza kuandika hata wewe. Katika tovuti kubwa ukitafuta habari za...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ina maana Wikipedia nayo imekaataa uchaguzi na hakuna Rais Tanzania

    Who are you sasa kazi unayo nendeni wikipedia mkaone wasifu wake hatambuliki kuwa ni raisi 2025. Na wameshamsagia kunguni ya wasifu wake kwenye wikipedia.
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Dhana ya ‘Rais Mtarajiwa’

    Neno raisi mtarajiwa ni neno ambalo mara nyingi humaanisha mtu ambae kwa walo wengi wategemea yeye ndie awe raisi hivi karibuni, hata kama bado hajaapishwa au kuchukua majukumu ya kiofisi. Hiki si cheo rasmi lakini kisiasa au kiuandishi wa habari neno hili lina maana sana. Baada ya uchaguzi...
  5. Richard

    JamiiForums Tanzania Suali fikirishi. Je Ngao ya Uhuru na Umoja yalindwa kisheria na yaweza kubadilishwa kwa utashi wa raisi au taasisi ya uraisi kiholela?

    Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwenye mimbari inoonyesha ngao ya Uhuru na Umoja lakini ikiwa imeondolewa imebadilishwa na kuondoa historia yake. Hii ngao ina historia kubwa sana kwa taifa letu kuanzia wakati wa ukoloni hadi mwaka 1971 ilipokubalika iwe ni ngao inoonyesha mamlaka ilosimama...
  6. guzman_

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza nakiri - Tanzania haina Rais

    Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi. High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana. Mungu nipe wepesi.
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna kosa la Katiba ambalo Rais au kiongozi akimaliza muda wake anatakiwa kutokuwa Serikalini kabisa wala jambo lolote la Serikali

    Haya ndio matatizo ambayo Katiba iliyofanya yaani Rais kama kamaliza muda wake kutojihusisha na serikali. Leo hii tumejionea kwa Jakaya Kikwete yaani unaweza kusema bado yupo Serikalini na anafanya kazi kama Rais. Upande wa chama chao unaona kabisa kama ni mwenyekiti wa maamuzi...
  8. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Leo kuzindua Tume naipinga kipengele kwa kipengele

    HOJA YA MWANZO: Tume haina jipya… CCM kaeni na Chadema… 1: Tume hii haitakuwa na jipya kwa sababu ni tume ya kufunika ukweli, si kuutafuta. Hakuna tume inayoundwa na mtuhumiwa na ikaweza kutoa majibu ya kweli. Huwezi kuwa kiongozi wa tukio, mshukiwa wa kosa, mwigizaji wa tukio, halafu ujiteue...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Raisi Samia Suluhu Hassan Umeamka Kujichunguza?

    Rais Samia! Unateua makada wa CCM, waliotumikia serikali ya CCM, waliokuwa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, wanaolipwa pensheni na serikali ya CCM, ambao ni 'askari wa akiba wa CCM na serikali yake; unawafanya wajumbe wa tume uliyoiita Tume Huru ili ichunguze matukio ya uvunjifu wa...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Raisi mpaka sasa yupo chini ya jeshi ambaye kashinda asilimia 98 mbona anaogopa kuwa anapendwa.

    Kuna mda mwengine africa is africa stupidy ,Mimi na shangaa mpaka sasa raisi mwenye kuwa na asilimia kubwa mpaka sasa jeshi lipo naye kuwa kupendwa kwake imefikia asilimia yote anaogopa nini ?. Kauli za kusema kusamehee,katiba ndani ya mfupa na kuomba upamoja kama alikuwa asilimia 98 mbona...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo ukiweka dot to dot unaona kabisa Raisi museveni wa uganda na umwagaji wa damu na bomba la mafuta linalopita TZ kulinda maslahi

    Lisemwalo lipo na kama lipo basi linakuja ni kwamba pale ikulu ya tanzania kuna nini ambacho mpaka damu za watanzania zimemwaga kwa ubavu mkubwa. Je vikosi vilivyoombwa na kashafa kuwa wametoka uganda walikuja kwa ajili ya mslahi ya nani?. Tunajua mradi mkubwa wa mafuta umepita hapa na kwa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ian Khama: Simtambui Samia kama Rais wa Tanzania sababu uongozi kaupata kwa mauaji na ukandamizaji wa wananchi

    Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan kama kiongozi halali wa Tanzania.” Alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ulitawaliwa na vitisho, vifo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unabii wangu: Samia hatamaliza miezi 18 kama Rais wa Tanzania

    Nimetoa miezi 18 lakini muda ni mfupi zaidi naomba save huu ujumbe halafu tutaona sitatoa deals sana
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, rais mteule Samia Hassan akishaapishwa amejipanga vipi kuongea na mabalozi wa nchi za magharibi ambao aliwakatia mawasiliano Jumatano iliyopita?

    Kama tunavyofahamu jumatano ilopita kulikuwa na patashika khasa baada ya internet kuzimwa nchi nzima kupisha kazi ya Mafwele na vikosi vya mamluki kuwasaka, kuwatambua na kuwakamata kisha kuwatesa na kuwaua vijana wadogo. Haya kama hayatakuwa mauaji ya halaiki ni lazima yawe documented kwa...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tundu lissu atunikiwa tuzo bora ya demokrasia barani africa

    Tundu Lissu wapewa heshima ya kuwa bingwa wa demokrasia barani Afrika hii huwezi kuona machawa wakipost lissu sio muhaini ni kesi za vitoto vya shetani
  16. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo Zanzibar wanalia wizi Kura ya mapema: Watu wameletwa kwa Mabasi kupiga Kura bila mawakala ndani ya kituo

    Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Raisi mstaafu Kikwete, Mpango na Rostam kwenye msiba wa Raila Odinga

    Mwamba wa demokrasia Afrika amelala, Mwamba aliyefungwa jela kwa uhaini akitetea watu wake amelala, Mwamba aliyepinga matokeo ya uraisi mahakamani na mahakama ikabatili ushindi wa Raisi Uhuru Kenyatta amelala, mwamba ambae huwezi kumwelezea kwa maneno peke yake ikatosha amelala, Mwamba...
  18. Shammy-

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia anaonesha ukomavu wa kisiasa kwa mivutano ya kisiasa inayoendelea

    Katika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Idara ya maji (MWAUWASA) Mwanza mnamhujumu Rais

    Tuna miezi miwili hatupati maji mtani kwetu. Lakini toka ziara ya Mh Raisi ianze kutangazwa kuwa anakuja Mwanza maji hayakati. Ni siku tatu sasa maji yanatoka siku nzima. Najiuliza maswali mengi bila majibu. Kwamba Samia ametanguliza mabomba mlivyokuwa mnasema yameharibika au ni hujuma za...
  20. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Farao aliyepewa ufarao akiwa gerezani

    Na mwombea farao ang'amue ya kwamba kiburi,dharau,na upuuzi wake si bule Wala wa kujitakia Bali Kuna nguvu isiyo ya kawaida nguvu ipitayo nguvu zoote inayo msukuma farao kufanya hivyo kwa makusudi ili maandiko ya shekhe yahaya yatimie. Ingekuwa vema farao Ange kubaliana na matokeo kwamba...
Back
Top Bottom