rais

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ikulu Wiki Hii:Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia katika wiki

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii 📆 16 - 22 Juni, 2025.
  2. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Rais ndiye anayehararisha Rushwa kwa 100%

    Ndio. Kuna speech moja amesikika akisema "Wewe kula chako kaa kimya",naam tena alikuwa akiongea Katika majukumu yake kama mkuu wa nchi aliyeapa kuilinda na kutetea katiba ambayo inapinga dhulma kama rushwa. Kwa muktadha huu huwezi kunikatalia nikisema huyu ndie kiongozi wa genge la kutoa...
  3. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kiasi gani Rais kujinyonga au kujiua?

    Nimekumbuka mwaka 2009 huko Korea ya Kusini Rais wao Roh Moo-hyun alijiua. Wale walinzi huwa ni kwa ajili ya maadui wa nje au hata dhidi yake mwenyewe?
  4. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza Kikao kizito...
  5. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Rais Mpya Ataomba Msamaha kwa Taifa – Kwa Moyo wa Toba na Upendo wa Kweli

    Great Thinkers Katika siku zijazo, historia ya taifa letu Tanzania itakumbwa na upepo wa toba na maridhiano ya kweli. Rais ajaye baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuomba msamaha wa hadhara kwa Wakristo na taifa zima, akianza na tukio zito lililotikisa dhamira ya uhuru wa...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Rais Trump anampenda sana Mungu: Sikiliza alivyohitimisha hotuba yake baada ya kuvisambaratisha vinu vya nyuklia – Iran

    Katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu - White House, mara baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran, Rais Donald Trump amehitimisha hotuba hiyo kwa maneno ya kugusa sana moyo, yanayoonesha wazi kuwa anamcha Mungu kwa dhati na kutambua uongozi wake mkuu. Namnukuu...
  7. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kikwete, kwa heshima na taadhima hujatimiza wajibu wako kama Mzee wa Taifa, Rais Mstaafu kumshauri Rais wetu

    Nadhani ni wajibu wako mkubwa , tena wa heshima kumhsauri Rais wetu unapoona kuwa kuna kitu hakiendi vizuri. Washauri wake wengine wanaangalia inclination yake na wao wanapitiliza humo humo. Hawawezi kumwambia ukweli kuwa hili achana nalo, halitaleta afya kwa Taifa. Wanaogpa kumkasirisha...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais kutoa zawadi hadharani (Bahasha) ni dalili za rushwa

    wakuu === Rais Samia akitoa zawadi kwa watumbuizaji siku ya leo, alipotembelea kituo cha utamaduni na makumbukusho ya wasukuma Bujora,Kisesa mkoani Mwanza. MAONI YANGU Hiki kitendo nakifananisha na rushwa kuelekea uchaguzi mkuu kwa sababu hakuna ulazima wakutoa zile zawadi hadharani angeweza...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa aliyesema rais amechanganyiwa na kuhamasisha tuwavamie polisi angekuwa CHADEMA asingekuwa amekamatwa?

    Amesikika akisema rais amechanganyikiwa kwa kusema Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani Pia akaongeza kuwa amefanya utafiti kuwa idadi ya askari wa jeshi la polisi ni laki moja hivyo Watanzania mil 65 tukilianzisha tunawamudu. Je, angekuwa ni kada wa CHADEMA angesalimika?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete atetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?" Ameyasema hayo leo Juni 21 katika...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika Julai 14 – 17, 2025

    Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mgeni Rasmi aliyealikwa kufungua mkutano huo wa kimataifa ni Rais wa Jamhuri ya...
  13. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tunawaza mikopo tu, kwani hakuna namna zaidi ya kujikwamua kiuchumi?

    Rais wa Cuba kutwa akisimama kwenye majukwaa hautamsikia akizungumzia mipango endelevu ya kiuchumi na investment pamoja maendeleo ya kiteknolojia katika nyanja tofauti na kwa jinsi gani zinaweza kujenga uchumi stahimilivu wa nchi yake! Yeye akisimama kuzungumza utasikia "Tumepata mkopo wa...
  14. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  15. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Aliyesemwa kuwa amechanganyikiwa ni Mgombea wa CCM si Rais, Polisi acheni kutumika kisiasa

    Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa. Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya kauli ya Rais Samia "Tusilazimishe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufanya mengine"

    Habari za leo wapendwa, Katika muendelezo wa ziara za mh.Rais katika kanda ya ziwa ,mengi yanatokea,na mengi yataendelea kutokea. Hii inashaabiana moja kwa moja na kauli ya wahenga inayosema "kwenye wengi kuna mengi" Binafsi sishangazwi sana na mijadala mbalimbali inayoendelea kwenye mitandao...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shija Richard, mtia nia Urais TFF kumpeleka Rais wa TFF kamati ya maadili

    Shija Richard ambae ni mtia nia ya Kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka nchini TFF, amesema amerudisha fomu yake ya Urais wa TFF bila ya kupata Endorsement hata moja. Richard Shija ambae aliwahi kuja mjumbe wa kamati ya Utendaji Yanga SC amesema wakati anapambana kupata Endorsement...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

    Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe 1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20) 2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10) 3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10) 4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10) 5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka...
  19. Inside10

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: "Tusilazimishe Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Kufanya Mengine"

    Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hamad Masauni atakuwa Rais wa Zanzibar baada ya Dkt Husseni Mwinyi kumaliza muda wake 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030. Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni...
Back
Top Bottom