Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Marekani inaweza kumuua Supreme Leader Ali Khamenei kwasababu ni "easy target" na inajua wapi alipo ila haitafanya kwa sasa
======
Trump: US could kill Iranian leader but won't - "for now"
Donald Trump says the US knows where Iranian Supreme Leader Ali...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 19 Juni, 2015
https://www.youtube.com/watch?v=j2aFvrKFZxM
Rais Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega...
Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na...
Nimemsikia naibu waziri ofisi ya Rais Serikali za mitaa Dkt. Festo Dugange Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa nakisema kuwa mheshimiwa rais amepeleka pesa nyingi kwenye maeneo mbalimbali.
Kama rais ndiye anatoa pesa "yake", hii pesa ya umma inayotengewa serikali inakwenda wapi?
Je...
Moja kwa moja kama ilivyo kwenye kicha cha habari hapo juu, yeyote aliye na speech zilizoandikwa za rais akiongelea kuhusu mustakabali wa maendeleo ya taifa letu tukufu, basi anaweza kutuwekea hapa ili tuweke kumbukumbu sawa.
Kufuatia taarifa ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu la kutaka nchi 36 kutaka kufanyia kazi baadhi ya mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kuzuia raia wa Kitanzania kuzuiwa kuingia Marekani Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema " Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya...
Jana katika ziara ya Mhe. Rais katika Wilaya ya Itilima Mhe. Mpina Mbunge wa Kisesa alipewa muda kusema machache kuhusu Jimbo lake la Kisesa. Mhe. Mpina alisema kero za Jimbo lake likiwemo kwa nini mnunuzi wa pamba anakuwa ni mmoja katika kila Wilaya jambo ambalo ni la msingi.
Pia Mhe. Mpina...
Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye...
Habari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga...
Pamoja na yote yanayotokea ila ni lazima Rais wetu tumlinde kwa nguvu zote. Rais ni tunu ya taifa, hivyo alindwe kwelikweli.
Naipongeza sana PSU & TISS kwa kazi nzuri ya kumlinda Rais wetu.
Rais Samia kateleza ulimi alipokuwa anatoa ufafanuzi wa hoja za Luhaga Mpina. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma kama alivyodai. Bali mbunge ni mwananchi anayewawakilisha wenzake Bungeni.
Mbunge ni mwakilishi wa wananchi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Wakuu hizo Kauli za Leo ni sawa na Hadithi ya Sungura sizitaki Mbivu hizi !!.
Rais Samia baada ya Mitandao kumuonyesha kua miaka yake mitano anayoipigania Kwa Nguvu zote, Kasi yake ukopaji italifanya Deni la Mama kufikia Trillion 180 kufikia 2030, Sasa ameamua kuja na Gia ya kwamba huko nje...
🎙ENG. HERSI KUHUSU KARIA 👇
🗣"Nikuhakikishie sisi kama wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya utendaji, nipongeze wazo zuri ambalo kaka angu Mangungu amelitoa na mimi naliunga mkono kwa asilimia 100%, sisi wajumbe wa mkutano mkuu tumelipitisha."- Eng...
“Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga wenyewe isipokuwa mmoja ndio wa mtu binafsi niliokwenda kuufungua asubuhi leo. Lakini mitano yote ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
Nasemaje nasemaje Israel msisklize nyau yeyote na kama mkiacha kupiga kisa mumeskliza yeyote anayetumwa hakika sitawasamehe, naacha ushabiki wangu na kutamani mpigwe tu, hii ngoma ilikua imekaa vizuri hadi sipati usingizi naangaza tu macho kweny vyombo vya habari kila mkipiga nahisi kilele...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemshukuru na kumpongeza Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mstaafu Prof. Ibrahim Hamis Juma, kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kukuza ushirikiano wa Mahakama na mihimili mingine ya Dola ikiwemo Serikali na Bungeni ambapo Rais Samia amesema sio dhambi kwa...
Uchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea.
kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena.
Je ni nani atakuwa Rais mpya ?
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa shirikisho la riadha Tanzania ~RT Bw. Leornard Thadeo ametangaza uchaguzi wa rais na wajumbe kufanyika tarehe 16:08:2025 katika hoteli ya Aden Palace, Jijini Mwanza.
Aidha ametaja nafasi zinazogombewa ni rais wa shirikisho Nafasi (1) , makamu wa rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.