rais

  1. JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo kura za marudio ya uchaguzi wa Rais zilivyolindwa na wananchi nchini Malawi. Hakika kuna la kuifunza Tanzania

    Hakuna ujanja wa kutumia wakurugenzi , watu wasiojulikana wala polisi . Mungu ibariki Malawi
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Kura ya maoni inaonesha Rais Magufuli anakubalika na wananchi kwa 90% na CCM inakubalika kwa 70%

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya 70% wanaikubali CCM. Komredi Polepole amesema hayo jijini Mbeya alikoendesha harambee ya kuichangia...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

    Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020. Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza Wilayani Monduli, Arusha kudhamini Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM akiwa pia ndiye pekee...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

    Rais Magufuli amempigia simu waziri wa madini Mh. Dotto Biteko na kumpongeza mchimbaji mdogo Samimu Laizer aliyeiuzia Serikali kipande kikubwa cha Tanzanite chenye thamani ya sh 7.8 bilioni. Rais Magufuli amemtania Laizer kwa kusema sasa ataenda kuongeza mke na ikimpendeza aoe mwanamke wa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni ngumu sana kumwelewa Rais Magufuli. Alisema Urais ni kazi ngumu halafu inachapishwa fomu 1

    Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo: 1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama 2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama...
  6. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Corona: Hatimaye Rais Museveni asalimu amri, apinga ufanisi wa curfew za usiku, aungana na Magufuli

    Ikumbukwe hapa kuwa ni Rais Magufuli pekee barani Afrika aliyekataa kuwafungia wananchi ndani yaani lockdown licha ya shinikizo kubwa kutoka kwa Chadema na ACT wazalendo. Rais Museveni wa Uganda amesema uamuzi wa kuwafungia wananchi ndani ni kuwatesa na kuuwa uchumi wa nchi. Museveni amesema...
  7. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Rais Dkt. Magufuli Kutuanikia Madhaifu (Mapungufu) ya Wateule wake Mwenyewe kila anapowatumbua ina tija Kimaendeleo na Kiuwajibikaji?

    Hivi Mwalimu anayefundisha Darasa lake mwenyewe na kila mara Wanafunzi wake Wanafeli tu tatizo ni Wanafunzi au Yeye Mwalimu mwenyewe?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Rais Magufuli hata Dr Kigwangalla alikuwa namba 3 nyuma ya Bashe na Selelii

    Nachukua fursa hii kukubaliana na mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwamba kuwa wa kwanza kwenye kura za maoni siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea. Kwa mfano Dr Kigwangalla mwaka 2010 alikuwa mshindi wa 3 lakini ndiye aliyeteuliwa kugombea. Mwaka huu Dr Kigwangalla amegawa baiskeli kwa wapiga...
  9. JamiiForums Tanzania RPC Shana umekoswakoswa ya dhahabu Mwanza na umekoswa mgogoro wa Arusha; hii ya kujipendekeza CCM kupitiliza itakuletea shida. Linda maadili

    Jf Imara Rais JPM amesema alikua anawatizama tu na aliwapa muda wa kuyamaliza wakashindwa. Akamuagiza Waziri Jafo awasuluhishe bado ikashindikana. Mwisho akaamua kutimua wote. Hapa JPM ametumia busara sana. Happy Wa Joseph (BIBI) anasema ukiona watoto wanagombania chakula wakati kinawatosha...
  10. JamiiForums Tanzania CCM kukata Majina, alichokisema Mh. Rais, demokrasia na hatma ya Tanzania

    Ijapokuwa demokrasia ndio mfumo wa siasa wenye ubore zaidi duniani hadi sasa ukilinganisha na mifumo mingine, hivyo kutufanya wengi wetu kuutetea mara kwa mara; kuna mambo kadhaa ya msingi tunapaswa kufahamu. Demokrasia kamili na uhuru katika hatua yake ya juu kabisa, vinafanya kazi kwa ufanisi...
  11. JamiiForums Tanzania Rais anayetawala kwa kutegemea alivyoamka ni hatari sana kwa Taifa

    Ile kauli ya Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere(rip) kuwa tunataka Rais atakaye HESHIMU Katiba ya nchi na kwamba hatuwezi kuwa na Rais anayelala na mkewe usiku na halafu kesho yake asubuhi anatoa tamko. Leo imejidhihirisha kwa Rais Magufuli aliposema kuwa kumbe: MAAMUZI YAKE YA UTEUZI NA...
  12. J

    JamiiForums Tanzania RC Geita: Rais Magufuli ni Nabii aliyebarikiwa na Mungu wagombea wengine wanamsindikiza!

    Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli. Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine...
  13. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli imewatandika wengi wateule

    TUMEMSKIA MH RAIS MAGUFULI LEO? Na Elius Ndabila 0768239284 Leo Mh Rais akimuapisha Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya za Morogoro, Monduli na Arusha mjini ametoa hotuba ambayo inaweza kuwa msumali wa moto kwa baadhi ya viongozi. Hotuba ya Mh Rais ilikuwa na dhima nyingi, lakini ninataka...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli Kwa Somo la Managing Diversity. Tanzania, Bado Tuna Tatizo la Ukosefu wa Political Tolerance

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo pia huchapishwa kwenye magazeti mbalimbali ya ndani nchini Tanzania. Makala ya leo, ni kumpongeza na kumshukuru Rais Magufuli kwa kufundisha somo la "Managing Diversity" kwa wateule...
  15. JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Wanachama 11 wachukua fomu za kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania

    Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema . Mungu ibariki Chadema ======= ----UPDATE---- Ndugu wanahabari Chama cha Demokrasia...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump aanza vibaya kampeni huko Oklahoma, ashindwa kujaza uwanja wa watu 19,000. Avilaumu vyombo vya habari na waandamanaji

    Rais wa Marekani, Donald Trump amefanya kampeni yake ya kwanza tangu kuanza kwa mlipuko wa CoronaVirus ambapo watu wachache wamejitokeza Mapema wiki hii, Rais Trump alisema watu takriban Milioni 1 wamenunua tiketi za kampeni hiyo iliyofanyika Tulsa, Oklahoma lakini uwanja unaomudu watu...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anafanya makusudi kutokuidhibiti Corona ili waangalizi wa uchaguzi mkuu wasije nchini mwezi Oktoba

    Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa. Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…