rais

  1. Rais wa Zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo azuiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu ujao

    Rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo amezuiwa kugombea urais katika uchaguzi ujao baada ya mahakama kuidhinisha uamuzi wa tume ya uchaguzi. Wakili wake Claude Mentenon amelimbia shirika la habari la AFP amesema kuwa kuna matatizo menginezaidi ya kisheria ndani ya Ivory coast dhidi yake...
  2. Agenda ya kubadili Katiba si ya Rais Magufuli, ni agenda ya wapambe

    AGENDA YA KUBADILI KATIBA SI YA RAIS MAGUFULI, NI AGENDA YA WAPAMBE. Nawasalim wana JF Nimeamua kuandika andiko hili ili kutoa ufafanuzi wa maneno na taarifa zinazosambaa mitaani, mitandaoni na viunga mbalimbali vya taifa letu kuwa Rais Magufuli ana mpango wa kubadilisha “ Katiba ili aweze...
  3. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Rais ndiyo Nembo

    "Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe" "Ningekuwa sina mahusiano mazuri je...
  4. Prof. Lipumba akiwa Dodoma Mjini: Mkinichagua kuwa Rais wa nchi hii nitatoa huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito na watoto

    MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA" DODOMA MJINI Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo. Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa...
  5. Rais unayeutaka Urais tueleze kwanini tukuamini tena baada ya mgawanyo na mpangaranyiko wa umoja wa Kitaifa

    Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani nchini Tanzania kwa mwaka 2020,huenda ukawa uchaguzi bora kuliko yote au uchafuzi kuliko yote toka tuingie chaguzi chini ya mfumo wa vyama vingi 1995. Ubora au udhaifu wa uchaguzi huu unajengwa na kauli za mtukufu rais ambaye ndiye mwenye mamlaka ya...
  6. GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  7. GE2020 Dkt. Bashiru: Rais Magufuli hataongeza hata sekunde moja baada ya Awamu yake kuisha

    Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda. Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka...
  8. GE2020 Bodaboda, Machinga na Mama N'tilie, Mungu awape nini tena juu ya Rais Magufuli?

    Turudi nyuma kidogo. Wafanyabiashara wadogowadogo mnakumbuka mateso mliyoyapata tena kwenye ardhi yenu ya nyumbani Tanzania? Bodaboda, machinga na mama n'tilie. Mkabughudhiwa kufanya shughuli zenu kwenye maeneo flanflan ya nchi kama vile nyie sio binadamu na kwamba hamtakiwi. Yani kwenye ardhi...
  9. Z

    Hongera ZEC kwa maamuzi ya akili. NEC ni tatizo katika Uchaguzi wa Bara

    Nilisikiliza maamuzi ya ZEC juu ya pingamizi la mgombea wa ACT, Maalim Seif. ZEC iliona makosa ya ujazaji fomu lakini haikuona kama makosa hayo ni sababu ya kuharibu Uchaguzi. Kwa maana kwamba, kosa la ujazaji halikuwa na lengo la kunufaisha mgombea au kuufanya Uchaguzi usiwe wa haki n.k...
  10. GE2020 Sauti ya Umma (SAU): Ilani ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    YALIYOMO; 1. UTANGULIZI 2. VIPAUMBELE VYA SERIKALI YA SAUTI YA UMMA(SAU) 3. AFYA 4. ELIMU 5. MAJI 6. KILIMO MIFUGO NA UVUVI 7. MALI ASILI 8. MIUNDO MBINU 9. VIWANDA NA BIASHARA 10. SANAA UTAMADUNI NA MICHEZO Kwanza Kabisa Nimshukuru Mwenyezi Mungu Kwa Kutuongoza Na Kutusimamia Katika Safari Na...
  11. Hotuba ya Rais Magufuli mbele ya Mgeni wake Rais Museveni imejaa Hofu ya Kampeni

    Hapa niandikapo, Rais Magufuli amehitimisha hotuba yake. Sasa hivi anaongea Rais Museveni. Hotuba ya Rais Magufuli imejikita katika kuchambua faida ya bomba la mafuta toka Uganda. Lakini kilichojitokeza hasa ni ile "tone" ya Magufuli. Alikuwa anarudiarudia maneno, hana amani, tofauti na...
  12. Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

    Rais Museveni ametembelea tanzania Kikazi === Rais John Magufuli wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wamesaini makubaliano ya kuanza ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga, Tanzania Rais Magufuli: Tumeshuhudia uwekaji wa saini wa ujenzi...
  13. Z

    Rais Magufuli alishasema hatabadili Katiba ili kusalia madarakani. Kwanini Kabwe, Membe, Tundu Lissu mnamenea mnamnenea uongo ?

    Zitto kabwe alichokiandika kwenye Gazette la South Africa (Tanzania’s election: Time for urgent action) ni ni mandalizi ya kuanzisha vurugu kabla na baada ya uchaguzi. Agenda ya kuwadanganya wananchi eti wasimchague Magufuli kwa kusingizia eti akichaguliwa tena atabadiri katiba ni hoja ya...
  14. Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

  15. A

    Huku Kwetu Kuko hivi, Vipi Huko Kwenu?

    Wapendwa watanzania wenzangu, salaam. Kuna matukio naona yametoweka kabisa au kupungua sana huku Kwetu: 1.Ujambazi wa silaha 2.Ajali za barabarani, hasa mabasi na bodaboda 3.Migogoro ya wakulima na wafugaji 4.Vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga 5.Mgao wa umeme 6.Dharau za...
  16. GE2020 Ukimsikiliza sana Tundu Lissu utagundua sifa hizi kuu kwa huyu Rais mtarajiwa

    1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu. 2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu...
  17. M

    GE2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

    Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu. Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
  18. Serikali yetu sikivu ya Rais Magufuli ninaiomba iwalipe fidia wenye ulemavu wa ngozi(Albino),Waliokatwa mikono yote na wengine mmoja na mguu...

    Kama serikali pendwa imewakumbuka wasanii waliotutoka mfano Steve Kanumba(Bongo Movies)aliyepewa milioni 20,mzee Majuto(Vichekesho)Milioni 50,na wengine,basi tunaiomba iwakumbuke na wenye ulemavu wa ngozi(albino)waliovamiwa na kukatwa mikono yote miwili bila hatia,sasa wanalelewa na masista, Ni...
  19. GE2020 NCCR MAGEUZI: Ilani ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    1. ILANI YA CHAMA CHA NATIONAL CONVENTION FOR CONSTRUCTION AND REFORM (NCCR-Mageuzi) ITAKAYOTUMIKA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 UTANGULIZI: Mabadiliko ndiyo kitu pekee kinachodumu, na hayaepukiki. Kasi ya mabadiliko ya leo yanatokana na teknolojia. Hivyo basi, kazi kubwa ya mwanadamu ni...
  20. Baadhi ya viwanda vilivyozinduliwa na Rais Magufuli kati ya mwaka 2017 na 2019

    Kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani Pwani Viwanda vya mradi wa upanuzi wa mtambo wa maji wa Ruvu Juu na uzalishaji wa mabomba. Mradi wa Upanuzi wa mtambo wa kusafisha maji Ruvu juu Mlandizi Mkaoni Pwani Mradi mkubwa wa kusafisha na kuzalisha Maji kwa miji ya Pwani na Dar es...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…