Mwamba wa Kaskazini alivyosalimiana na Rais walinzi inaonekana hawakumuamini walikuwa makini wakimtazama

Nguseroh

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
1,862
2,000
maxresdefault.jpg
D3EcemUXQAEqrFI-950x766.jpg
D3Ecc2JX0AAqrlh.jpg
 

kopites

JF-Expert Member
Jan 28, 2015
6,148
2,000
Acha ujinga Mandela ni shujaa ulimwenguni,lakini alikuwa anatumia passport ya bongo,Ili kuwakwepa wabaya wake
Wewe lema acha kujipa sifa ambazo huna. Eti mwamba wa kaskazini nani kakupa huo umwamba?na sasa hivi ubunge sahau
 

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
7,390
2,000
Kazi ya walinzi ni kuhakikisha usalama . Hivyo wap sahihi.

Niliona clip moja JPM (r.i.p) alitaka kushikana na mikono nadhani niZEE DEWJI jamaa wakamuwahi kumtenganisha.
 

the say

JF-Expert Member
Oct 25, 2014
2,125
2,000
Nimefungua Fasta nikajua ni j makini kuja kucheki ni utopolo Dah..... imeniuma sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom