rais

  1. Ukiondoa ubabe na mfumo mbaya ndani ya CCM Mkapa alikuwa ni Rais mzuri after Nyerere

    Kama binadamu Mkapa alikuwa na udhaifu wa kuwa mbabe au ujivuni kiasi flani. Lakini kama kuna kiongozi ambaye ingekuwa mfumo wetu upo vizuri aliyekuwa na akili alikuwa Mkapa. Alijiamini kupita kiasi.angekuwa amejishusha kiasi flani alikuwa ana uwezo wa kuifikisha nchi mbali sana. Alikuwa na...
  2. F

    Nilichogundua kwa watumishi wa umma zama hizi za Rais Magufuli

    Habari Wana wa JF. Niende madani. Tangu Rais Magufuli aingie madarakani mwaka 2015, kumekuwa na mabadiliko katika utumishi wa umma. Kuna mengi ila nizungumzie haya machache. 1. Mosi, Watumishi wa umma wengi wamefungua maduka madogo ya rejareja ili kujikimu kimaisha. 2. Pili, Watumishi wengi...
  3. GE2020 Songwe: Dkt. Magufuli afanya kampeni Tunduma, afuta tozo ya mama kamandoo

    Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma. MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki wanatozwa 50,000. Naifuta leo moja kwa moja hiyo tozo. Kwa hiyo pasitokee mtu yoyote kutoka wizara...
  4. Rais Magufuli ni Jemedari kweli wa Vita ya Ufisadi na Rushwa-Jua fedha, majengo, na vitu vingine kibao vilivyorejeshwa Serikalini. Big up JPM

    Moja ya kazi nzuri aliyofanya Mheshimiwa Rais Magufuli ni kupiga vita ufisadi na rushwa kwa vitendo. Mashauri makubwa ya ufisadi 407 yamepelekwa mahakama ya mafisadi na mashauri 385 yamesikilizwa. Aidha kupitia Takukuru mashauri 2,256 yalifunguliwa ambapo mashauri 1,926 tayari yametolewa uamuzi...
  5. GE2020 Juliana Shonza: Kwetu sisi wewe ni Rais, Oktoba 28 tuepuke matapeli wa kisiasa

    Leo Rais Magufuli amefika Vwawa mkoani Songwe katika mkutano wa kampeni, pamoja na mambo mengine Rais Magufuli aliongelea Songwe kama sehemu ya mwisho kupewa hadhi ya mkoa hivyo ataujali kama mtoto wa Mwisho kwenye familia. Pia alimkaribisha Juliana Shonza kuongea na wananchi ambae anamaliza...
  6. F

    Lissu aisimamisha Kilimanjaro, Moshi mjini wamsubiri hadi usiku, waimba rais, rais, rais hawataki Lissu awanyamazishe

    Watu wenye vifijo na bashasha za kila aina wamemsubiri Tundu Lissu tangu asubuhi uwanja wa Mashujaa. Hawataki kunyamazishwa na mtu waimba rais, rais, rais duh Lissu ni ana mvuto. https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/09/2535222_BdH_lQCAKL9EjZkc.mp4
  7. GE2020 Prof. Lipumba: Rais Magufuli ni mgombea Urais kama mimi na anasimama sehemu yoyote anasalimia na hazuiwi lakini mimi mnataka kunizuia

    RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA" KATA YA DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA" DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI...
  8. T

    GE2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

    Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waleo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa. Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati...
  9. GE2020 Prof. Lipumba: Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana

    NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA" USHETU,SHINYANGA Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana. Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya mazingira ya kufanya biashara ya mwaka 2020 – (Doing Business 2020), Tanzania ni nchi...
  10. GE2020 Profesa Lipumba akiwa Ushetu, Shinyanga: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais niunde serikali ya umoja wa kitaifa

    NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDE SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA" USHETU, SHINYANGA. Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majerahay anayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini...
  11. GE2020 Prof.Lipumba akiwa Ushetu, Shinyanga: Nichagueni Oktoba 28, niwe Rais nitaunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa

    NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA" USHETU, SHINYANGA. Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majeraha yanayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini...
  12. D

    GE2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

    Dah mambo magumu jamani!
  13. D

    GE2020 Ushauri wangu kwa Magufuli na CCM: IKiwa Magufuli ataacha kupiga kampeni atapata kura nyingi kuliko anavyoendelea kupiga kampeni

    Huu ni ushauri wangu wa dhati na wa kweli kwa Rais Magufuli na CCM wote. Magufuli aache kupiga kampeni. Nasema hivyo kwa sababu naamini kuwa kadiri anavyozidi kupiga kampeni wapo wapiga kura lukuki anawapoteza kirahisi kabisa. Nasema ukweli na ndivyo ulivyo. Aidha kama atalazimika kuendelea...
  14. J

    GE2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

    Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976. Ni kampeni za kihistoria, karibu. ========== Updates; MIGORI, IRINGA LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakurugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea...
  15. C

    GE2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu. Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
  16. W

    GE2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
  17. J

    CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

    Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa. Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria. Rip Mlelwa Maendeleo hayana vyama! Mkuu wa mkoa wa Njombe...
  18. GE2020 Prof. Lipumba akiwa Nkome Geita Vijijini: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii tumalize tatizo la wavuvi

    NKOME, GEITA VIJIJINI WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA" Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Prof. Lipumba amesema hayo katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kata ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…