HATA RAIS HUDANGANYWA; NJAMA ZA IKULU.
Na, Robert Heriel
Soma mpaka utakapoamua kuishia, masuala ya kuambiana andiko refu hayo achana nayo, nimeandika refu kwa sababu wapo wanaopenda maandiko marefu, wewe unayependa andiko fupi soma utakapoishia.
IKULU ni maskani yaliyorasmi anayoishi Rais na...