rais

  1. JamiiForums Tanzania Kwa hoja ya Rais Mama Samia, ninadhani hoja ya Dkt. Kigwangalla tulitumia rungu kumdhibiti

    KIGWANGALA alitoa hoja ya namna anavyodhani tunaweza kukabiliana na corona kwa sasa. Kwenye hoja zake alisema haoni hata umuhimu wa tanuru la kujivukiza pale hospitali ya Mhimbili. Wakati wa uchangiaji wa hoja ya Mhe Kigwangala wengi walimshambulia personal na kusema kuwa kwa nini hakushauri...
  2. M

    JamiiForums Tanzania "Hats Off" Rais Samia Suluhu hii ni moja ya Hotuba za kuwekwa kwenye rekodi

    Wanajukwaa habari zenu, Ni siku nyingine baada ya mapumziko marefu ya Pasaka, kama tunavyofahamu leo kulikuwa na zoezi la kuapishwa Makatibu na Manaibu Katibu wa wizara mbali mbali, pamoja na wakuu wa mashirika na taasisi mbalimbali. Baada ya zoezi la uapisho zilifuata salamu kutoka kwa Waziri...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenye hili la pembejeo za kilimo, Rais kaongopewa na ni hatari kwa taifa

    Leo wakati Mhe. Rais Samia Suluhu wakati anaawaapisha Makatibu/Manaibu na viongozi wa Utumishi alihutubia na kuzungumzia changamoto za baadhi ya Wizara alizungumzia kwa ufupi sana Changamoto za KILIMO. Amesema kuna changamoto ya Nzige kwa majirani hili si TATIZO la MKULIMA wa Tanzania. Amesema...
  4. JamiiForums Tanzania Rais mama Samia Suluhu: Wizara ya kilimo hamjali wakulima wanateseka wanalima soko hakuna nendeni watafutieni masoko ya nje

    "Wizara ya kilimo kuna shida, Mkulima anazalisha mazao yake hana kwa kuuza, Nendeni watafutieni masoko Nje na mkipata masoko ya mazao msiwapangie WAKULIMA waacheni wakauze wenyewe"
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda falsafa ya Rais Samia ya Watendaji kutumia akili badala ya nguvu. Je, CCM wamemuelewa?

    Nimeielewa sana falsafa ya Rais Samia kuwataka watendaji wote kutumia akili badala ya nguvu wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi. Kwa mfano kumfukuza Tundu Lissu bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili. Kumsimanga Prof Assad ni matumizi ya nguvu Kuwaingiza akina...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ataka nafasi 6,000 za walimu kujazwa

    Ni nafasi za zilizoachwa na Walimu waliostaafu,walioacha kazi Serikalini na waliofariki. Rais Samia Suluhu amesema haya.... "Natambua kuna Walimu wengi tu karibu Elfu 6 au zaidi ambao wamestaafu, wamefariki n.k na kunahitajika wa kuziba nafasi hawa sio ajira mpya ni wa kuziba nafasi, Utumishi...
  7. JamiiForums Tanzania Ni siku 21 leo, endelea kulala salama kipenzi chetu Rais John Pombe Joseph Magufuli

    Tunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wako John Pombe Joseph kwa taifa letu. Tunashukuru kwa kutuachia serikali makini na imara chini ya aliyekua msaidizi wako na rais wetu kipenzi Mama yetu Samia Suluhu Hassan. Kama alivyokuahidi ukiwa hai kwamba upumzike maana yeye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

    Mzuka wanajamvi! Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali. Hata ukiwaambia kajenga international Airport...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Ukarimu wa Makamu wa Rais

  10. JamiiForums Tanzania Mwalimu Shukia: Elimu Bora ni zao la Walimu bora

    Nimesoma hii kitu ya Mwalimu Richard Yesaya Shukia, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu Dar es Salaam imenitafakarisha sana 1. Niungane na watanzania wenzangu kwanza; kukupa pole kwa kuondokewa na mpendwa wetu, Hayati Rais John Pombe Magufuli; pili NIKUPONGEZE kwa kuwa Rais wa Tanzania wa awamu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Rais Samia Suluhu wachukue Maria Sarungi Tsehai, Mwele Malecela na Fatma Karume kwenye Serikali yako

    Mh Rais najua unapitapita kwenye mitandao, najua viongozi wengi unaochagua unaletewa majina baada ya kufanya vetting lakin mwisho wa siku wewe ndio unafanya final selection Sasa Mh Rais Samia kuna Hawa watu Mwele Malecela, Maria Sarungi na Fatuma karume walishitupwa nje ya system na utawala wa...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo si Rais kama mtu, bali tatizo ni "vetting system" kuwa corrupted & compromised

    Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in less than 24hrs inatengua uteuzi huo huo... Hili lilijitokeza mara kadhaa ktk utawala wa Rais Hayati...
  13. JamiiForums Tanzania Mpeni muda Rais Samia Suluhu aipange Serikali yake

    Sijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la...
  14. JamiiForums Tanzania Nashauri Rais awekwe mbali au apunguziwe access na mitandao ya kijamii

    Kwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii. Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani maamuzi yake yanaweza athiriwa na opinions za watu ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zisiwe...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan wakumbuke walimu wa masomo ya sanaa (arts)

    Tangu utawala wa Mh. Hayati Dr. John Magufuli uingie mwaka 2015 huo ndio ukawa mwisho wa ajira kwa walimu wa Arts. Kwa heshima kubwa na taadhima ninakuomba Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan uwaajiri. Idadi yao ni kubwa kwa sababu walitengwa kwenye mfumo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwenu nyie watoza kodi ; Rais Samia kawambia kilichosemwa mwaka 1776. Mnakwama wapi nyie TRA na wizara ya Fedha na Mipango?

    In The Wealth of Nations (1776), Adam Smith argued that taxation should follow the four principles of:- fairness-that taxation should be compatible with taxpayers' conditions, including their ability to pay in line with personal and family needs; certainty-meaning that taxpayers should be...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania CCM mwacheni Rais afanye kazi kwa uhuru, msimshinikize

    Msingi wa uzi huu ni kuwakumbusha CCM kuwa pamoja na Rais kutokea chama chao cha CCM, but once akishakuwa Rais anakuwa mali ya wananchi mali ya Watanzania wote, chama kinabaki kuwa kama mshauri tu lkn sio kushinikiza. Kuna mambo mengi yameanza kujitokeza dhahiri yakifanyika kumshinikiza Rais...
  18. JamiiForums Tanzania Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, Kwa Tanzania Bora Naomba zingatia haya!

    Mods naomba msiunganishe huu uzi maana una maudhui ya kipekee! Amani iwe nawe Mama! Kwanza napenda kukupongeza kwa jinsi gani umeonekana kuwa unasikiliza maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi haraka. Haya nimeyaona kwenye teuzi zako mbalimbali kuanzia Bandari, Katibu Mkuu Kiongozi na sasa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Taletale: Nilimwambia Rais Magufuli (RIP) nina elimu ya Masters!

    Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters. Source...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, fanya uapisho Alhamis ya April 8, jipe muda wa kupitia CV za wateule wako.

    Wateule wapya wanaapishwa Jumanne April 6, itakuwa vyemo tarehe isogezwe mbele ili kujiridhisha CV yakila mteule. Tukumbuke kuwa baadhi ya majina analetewa na washauri wake, wengine wanaleta kwa maslahi binafsi na washauri wengi ni walewale wa awamu zilizopita. Rais wetu usiwe na haraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…