rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mvuto wa Rais wetu ni faida kwa Taifa

    Rais wetu wa JMT ni raisi ambae amebahatika kuwa na mvuto ambao kwa hakika hatujawahi kuwa na Rais ambae anakubalika na makundi yote haswa baada kuanzishwa kwa vyama vingi hapa nchini . Mvuto wa Rais wetu kimsingi umechangiwa na vitu vingi kama vile ;Sura yake ,rangi ,na Sauti yake isoyonesha...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akutane na wakosoaji wote wa CCM na Serikali yake

    Wandugu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ameonyesha uungwana kwa kukubali kukutana na vyama vya upinzani kwa maslahi mapana ya nchi, tayari ameshakutana na wazee wa Dar es Salaam. Kwa uungwana huo aliouonyesha kujali makundi mbalimbali na kupata mawazo, kero, ushauri ninatabiri...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia akienda msikitini TV hazimuoneshi?

    Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada. Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter. Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi. Philip Mpango naye...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia, zile pesa ulizoziita za dhulma walizopokwa wafanya biashara na TRA itapendeza kama mtawarudishia wenyewe

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wanajukwaa. Ndugu zangu kwanza nitaanza kwa ku declear interest kwamba mimi ni mwana CCM ambae nilikuwa simuungi na sikubaliani na hayati Magufuli bila kificho kwani matendendo yake na uongozi wake haukuwa mzuri kwa maono yangu. Kwa maono yangu...
  5. JamiiForums Tanzania Sokomoko la zawadi ya gari ya Rais mstaafu Mwinyi

    Jana Rais Samia kwenye uzinduzi wa kitabu cha Rais mstaafu Mwinyi, alitangaza kuwa katika pia kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Rais wetu huyo wa zamani aliyetimiza miaka 96, serikali imempatia gari [jipya?] aina ya Mercedes Benz iliyo chini [sedan] kwa sababu aliyokuwa akiitumia [nadhani ni...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi. Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hivi ndivyo anavyotekeleza Kauli Mbiu ya Uhuru, Haki, Demokrasia na Maendeleo ya watu.

    Asalaam Aleykum Wasomaji wa JFs. Kwanza nitoe pongezi za awali kwa Mh Samia Suluhu kwa namna alivyoanza kuongoza nchi yetu ambayo kwa namna moja ama nyingine ilikuwa unapoteza mwelekeo chini ya mtangulizi wake hayati Baba Dr John Josefu Magufuli. Nasema pongezi za awali kwa kuwa ameonesha...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza vita dhidi ya vijana.

    Tazama mawingu angani ujue mvua itanyesha. Tazama ishara Kama yanatokea mabadiliko ya sera. Rais anasema anataka watu wote wafanye. Rais anasema vijana hawana sababu ya kuiba. Ile hotuba ya Jana,Mimi ningekuwa kijana ningekuwa na wasi wasi. Bado tu kusema kwamba atawafutia mashamba wakalime...
  9. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Katika hili la Rais Samia kuwaamini Wapinzani Freeman Mbowe ana mchango mkubwa, apongezwe

    Wote tunajua serikali ya Rais Samia ina waziri mmoja na manaibu waziri watano waliopitia kwenye mikono ya Mbowe kimalezi pale Chadema. Tunaye waziri Kitila Mkumbo na tunao manaibu waziri Mwita Waitara David Silinde, Gekui, Dr Mollel na Patrobas Katambi wote wakiwa wamelelewa na Mbowe. Pia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa. ======== Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
  12. JamiiForums Tanzania Haki na Demokrasia havitakuja Tanzania kwa Rais kuwapa vyeo Serikalini Viongozi wa Upinzani

    Jana nimemsikia Rais Samia Suluhu Hassan akidai kuwa ataanza kuteua nafasi za uongozi bila ya kuangalia vyama.Hilo halina ukakasi kwa mujibu wa sheria zetu ila kwangu mimi naamini kuwa hizo ni mbinu za kijanja janja za kurudisha utulivu wa kisiasa nchini baada ya ule uchafuzi wa wazi aliofanya...
  13. JamiiForums Tanzania Safari ya kwanza ya Rais Samia Ulaya ni vizuri iwe Ujerumani

    Binafsi nimeshaanza kuuona mwanga kupitia mboni za macho ya Rais Mama Samia. Ninamuona Rais Samia akizifuata nyao za Angel Makel wa Ujerumani. Kama Rais mwanamke ni vizuri covid 19 ikipungua aombe kwenda kumtembelea chancellor wa Ujerumani Mama Angel Makel kwa uzoefu na pengine kubadilishana...
  14. JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

    Wote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu) ambapo Mh Rais amemuagiza IGP kulishughulikia jambo hilo na kulikomesha haraka huku akiagiza yule...
  15. JamiiForums Tanzania Wazee mmemwambia mambo haya Rais? Au mnataka tuje tafutiana lawama home?

    Isije ikawa mlikuwa mnafurahia tu kuja kupata futru jioni. Halafu baadaye muanze kutusumbua sisi. Mmepata nafasi ya kuongea na Rasi je mmemwambia haya... 1. Vijana wenu hatuna kazi 2. Hamjalipwa au mnasumbuliwa mafao 3. Mna matatizo kwenye kupata huduma za Afya 4. Vijana wenu wanaonewa na Vyombo...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ina mikoa 26 na kila mkoa una wazee. Kwanini Rais wa JMT azungumze na wazee wa Dar pekee?

    Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa. Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua walau kila mkoa upeleke wazee kumi na kisha kuwaita Dodoma na kufanya nao mazungumzo. Kwani Dar es...
  17. JamiiForums Tanzania Wazee mmeamua kutusemea kwa Rais? Na sisi vijana tuna malalamiko yetu juu ya wazee hawa

    Wazee wanalalamika vijana hatuwapishi viti kwenye daladala, wazee wenyewe hawa hawa tunakimbizana nao kufuatilia mademu? Inaumiza mzee anastaafu halafu kiinua mgongo chake anatumia kuinulia mti nyama ili akakamue binti mkali. Kwani uongo? Hawa wazee wanahonga mabinti siku hizi sisi vijana...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake. Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa. Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Ukumbi wa Mlimani City kuongea na Wazee wa Dar es Salaam Tunakuletea updates hapa Mwenyekiti wa Wazee wa Dar, Salum Matimbwa Tumepata kadi za msamaha wa Bima, lakini Wazee hatupati baadhi ya vipimo na Dawa tukifika...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kazi inapoendelea kila Rais anapohutubia Makamu na Waziri Mkuu nao wapo. Imekaaje hii?

    Mabibi na mabwana awamu hii ina maajabu yake. Imekuwa kila Mama Samia anapokuwa anahutubia hapa nchini, basi waheshimiwa: Mpango, Majaliwa na vigogo wa juu nao never miss. Haiyumkiniki vigogo hawa walipenda pia kuwapo Kampala na Nairobi. Hiiiiii bagosha! Wajameni, hizi gharama za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…